Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

update: Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni: 1) John Magufuli 2) Asharose Migoro 3) Amina Salum Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kuwasilishwa MKUTANO MKUU WA TAIFA ili kupata jina moja (1) la mgombea Urais 2015.
 
Daah yan kama huu mchujo wa ccm ungekuwa na mambo ya primier bettng bas mikeka ingechanika mana kila wakat wanatoa majna ambayo hayatarajiw kuanzia top 5 had top 3 n mashambulz ya kustukiza tu
 
ha ha ha ajiandae ku account for yale makusanyo ya Ubungo bus station. Yeye na kila aliyekwenye timu ya Lowassa ni wachumia tumbo, wezi wakubwa, wavivu wametunyonya cha kutosha, watoke watokomeeeeeee hao hao hao wazomewe wapigwe mawe, kiboko yao JK, walikua wanamtukana macho kwa macho kila siku walisahau kuwa mwenzao rais wa nchi, hasira zao za kumwagwa wakafie mbele hao, huyu mzee kwanza anasema tu kwa kuwa timu ya Lowasa wapumbavu, hawakuwa na strategy kama mwanzo, badala ya kuwachukua wasomi waliobobea kakumbatia washikaji, kama kawaida yao sema safari hii hakukuwa na hela za bure za serikali hizo walizoiba Dowans, Richmond hazizai sasa atoe zile zake za maua anayopeleka ulaya manake alfa dry cleaner tumeihama hatutaki kupeleka hela zetu kwa mafisadi
 
Kura zinzpigwa na watu wa el ndio maana unaona matokeo hayo membe kachapwa na makamba sasa wanaenda kumchapa migiro na magufuli ili abaki amina na kuwakomoa jamaa waliomkata .labda mikakati ya goli la mkono ije kuharibu lakini tim el inataka kushangaza watu sio kujenga utamsikia magufuli chali
mkuu that is the worst senario
 
Hili nalo ni neno, nacheka sana hapa, ...
Kuweni makini sana. Mtu anaweza kuwa manzese anauza mitumba halafu anawazuga yupo Dom.
Ndio maana hata picha ya geti hawezi kuweka
 
Daah yan kama huu mchujo wa ccm ungekuwa na mambo ya primier bettng bas mikeka ingechanika mana kila wakat wanatoa majna ambayo hayatarajiw kuanzia top 5 had top 3 n mashambulz ya kustukiza tu

Mimi mikeka nilishachana minane,yaani
 
Jk watu walikua wanamuona ----,muoga hana msimamo kumbe sio ---- bwana daah! Vitisho vyote vile vya kujaza watu na wadhamini milioni kumi havikumtingisha!
 
Back
Top Bottom