tereweni
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 619
- 370
naiona serikali ya umoja wa kitaifa bara
Sure.
Maana 50% itakuwa ngumuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naiona serikali ya umoja wa kitaifa bara
tehe tehe tehe!Shujaa kafanya nini? mpaka apate ushujaa.
Tusubiri taarifa rasmi
Kama itakuwa hvyo ni bora kuliko kumpitisha Membe.
Membe Magufuli na Amina ndio top 3
confirmed Makamba out of top 3
mkuu that is the worst senarioKura zinzpigwa na watu wa el ndio maana unaona matokeo hayo membe kachapwa na makamba sasa wanaenda kumchapa migiro na magufuli ili abaki amina na kuwakomoa jamaa waliomkata .labda mikakati ya goli la mkono ije kuharibu lakini tim el inataka kushangaza watu sio kujenga utamsikia magufuli chali
Kuweni makini sana. Mtu anaweza kuwa manzese anauza mitumba halafu anawazuga yupo Dom.
Ndio maana hata picha ya geti hawezi kuweka
Daah yan kama huu mchujo wa ccm ungekuwa na mambo ya primier bettng bas mikeka ingechanika mana kila wakat wanatoa majna ambayo hayatarajiw kuanzia top 5 had top 3 n mashambulz ya kustukiza tu