Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
Pinda ana hasira wakati hajapoteza hela nying hata haizidi 20M! Wakati Lowassa kapoteza zaidi ya 200B
hivi yuko wapi sijamuona.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pinda ana hasira wakati hajapoteza hela nying hata haizidi 20M! Wakati Lowassa kapoteza zaidi ya 200B
Wewe nae toa UPOPOMA wako hapa.Kwani huyo wa msoga ananihusu nini? Mimi naongelea mwanaume wa shoka Lowassa sio huyo bwana legelege JK.mtoto wa msoga huyo...hatabiriki eti..we si umeona panya alivyotolewa ndani ya mtungi!!..
Smart, ungenukuu au kutoa source. Usijari - as usual!
Membe yupo ukumbini?
Pinda ana hasira wakati hajapoteza hela nying hata haizidi 20M! Wakati Lowassa kapoteza zaidi ya 200B
hivi yuko wapi sijamuona.....
Jk amechoka kabisa anaongea kwa shida .
Membe yupo ukumbini?
Ahahahah..kikwete kachanganyikiwa membe kukatwa ati ndugu mwenyekiti
200b!!! wakati hapa nawaza nitapata vipi tuition fee ya semester ijayo. Maisha sio sawa.Pinda ana hasira wakati hajapoteza hela nying hata haizidi 20M! Wakati Lowassa kapoteza zaidi ya 200B
magufuli hatukutaki....UKAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA![]()
CCM mjiandae kufa kama nzi ndani ya glass ya bia.