Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

huu wimbo unaoimbwa "wacha waisome namba heeee....sisiemu mbele kwa mbeleee".... dah wimbo umeniuma huu!!.....yan maneno gan ya kutuambia sisi hayo!!!?

Wanamaanisha ccm wataendelea na ufisadi wao mbele kwa mbele,
 
Sioni shamrashamra kabisa kama tulivyozoea, naona ni sherehe ya kulazimishana, najaribu ku'imagin ingekuwa shamrashamra ya aina gani ingekuwa ni Mh. LOWASA?

Hao wajumbe hawakushikiwa pistol kichwani toka ile list ya 42, mpaka 5 mpaka 3! Kapita zote,
Kapita kwa asilimia 87.1%, ishu yako bado una kundi lile walilochinjiwa baharini! Kubali ukweli, mlishakatwa, kajipangeni jinsi ya kulipa mlichokopa!
Kiukweli bila kupepesa macho na masikiao, upinzani hapa waweke tageti ya kuongeza wabunge bungeni, sisiemu wameweka JABALI.
 
Mpaka saivi tushapigwa ngumi ya uso ukawa tujipange kuwapiga ngumi ya chembe hawa mabwege
 
Asha tumemla! Amina hauziki, tutamuuza wapi? Jembe magufuli from halmashauri kuu to mkutano mkuu!
Mbona tulisikia tetesi kuwa mlikuwa mpige kura za hasira kwa team yenu kumpigia Amina! Au kulikuwa na change of heart?
 
Watanzania ni wepesi sana wa kuzugika na kwa mtaji huo CCM itatawala kwa muda mrefu saaaana.

Hii inanikumbusha 2005. Watu wengi sana walifurahi lakini mwishowe ndo hao hao wakaishia kuvunjika moyo.

Na hapa natabiri tena kama nilivyotabiri miaka 10 iliyopita [natamani bcstimes.com ingekuwa bado ipo tuyarejee yote niliyoyatabiri wakati ule].

Huyu jamaa naye ni bomu kabisa na huenda ni bomu kuliko hata Kikwete.

Hana kabisa presidential cachet.

Hata uelewa tu wa kanuni za diplomasia nyepesi nyepesi unampiga chenga.

Mtaja nambia kama bado tuko hai......
 
Hao wajumbe hawakushikiwa pistol kichwani!
Kapita kwa asilimia 87.1%, ishu yako bado una kundi lile walilochinjiwa baharini! Kubali ukweli, mlishakatwa, kajipangeni jinsi ya kulipa mlichokopa!

Nasikitika kukutaarifu kuwa UKAWA imesikitishwa sana kwa kuletewa ushindani mayai kama huu, tulitarajia tuletewe mtu hasa wa kuweza kushindana na nguvu ya mgombea wa ukawa kumbe tunaletewa huyu mkariri idadi ya mayai ya kware nchi nzima.
 
Hmmm....ila Salma ana miondoko mizuri hahahahaaa

Anavotikisika hadi raha.....oops lemme get my mind out the gutter:teeth:.
The Boss..

Dah, mkuu kumbe na wewe macho hayana pazia? Sijui amefunga leo huyu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Watanzania ni wepesi sana wa kuzugika na kwa mtaji huo CCM itatawala kwa muda mrefu saaaana.

Hii inanikumbusha 2005. Watu wengi sana walifurahi lakini mwishowe ndo hao hao wakaishia kuvunjika moyo.

Na hapa natabiri tena kama nilivyotabiri miaka 10 iliyopita [natamani bcstimes.com ingekuwa bado ipo tuyarejee yote niliyoyatabiri wakati ule].

Huyu jamaa naye ni bomu kabisa na huenda ni bomu kuliko hata Kikwete.

Hana kabisa presidential cachet.

Hata uelewa tu wa kanuni za diplomasia nyepesi nyepesi unampiga chenga.

Mtaja nambia kama bado tuko hai......

Huyu ndiye afadhari ya waliopo mbele yetu, yawezekana akawa mbovu zaidi ya Kikwete, ila ndio afadhari. Mbona Obama nae yuko tofauti na matarajio ya wengi????
Tiiiiized baaaaaaaiiiiibiiiiiiiiiiiiiiiiii.
NOTE: Nimeshindwa kuweka vibendera!
 
Back
Top Bottom