pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hivi serikali kwanini isione aibu ktk hii kesi kws namna wanavyoteketeza kodi zetu kwa 'kesi za mchongo' tuoneeni huruma jamani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikupendeze The Sheriff, tumekaa mkao wa kujuzwa na GB zimejaa kibao!Hivi serikali kwanini isione aibu ktk hii kesi kws namna wanavyoteketeza kodi zetu kwa 'kesi za mchongo' tuoneeni huruma jamani!
Hivi kwa nini mnafosi serikali iachane na hii kesi, kwa nini msiache tu kesi ifike tamati ili tujue mbivu na mbichi? Maana kama ni washtakiwa tayari wameshasota gerezani vya kutosha hadi wamezoea.Hivi serikali kwanini isione aibu ktk hii kesi kws namna wanavyoteketeza kodi zetu kwa 'kesi za mchongo' tuoneeni huruma jamani!
SijakuelewaaaBila shaka, Msauzi. Kuna siku nililega?
Sasa huyu Swila anafanya kazi Temeke hapo. Nini kilimzuia asije juzi? Au alikuwa anaenda kupewa somo la mchongo?Inapector swila yani kama alifatilia ushahidi wa urio asingekubali kuja
Inaonekana swila ana roho ngumu sijui anazo pea mbili?
Sasa huyu Swila anafanya kazi Temeke hapo. Nini kilimzuia asije juzi? Au alikuwa anaenda kupewa somo la mchongo?
Huyu Utetezi tunaenda nae mpaka Ijumanne kama upande wa mashitaka watamaliza Leo Maana nae ni Shahidi muhimu Sana, ndo muandaa barua za kuomba uchunguzi na ndo mfungua kesi.Inapector swila yani kama alifatilia ushahidi wa urio asingekubali kuja
Inaonekana swila ana roho ngumu sijui anazo pea mbili?
wanapoteza muda kishamba ili hata maamuzi yakija baadaye kuwa hana hatia aonekane amekaa kaa jelaSasa huyu Swila anafanya kazi Temeke hapo. Nini kilimzuia asije juzi? Au alikuwa anaenda kupewa somo la mchongo?
Najua leo mawakilo wa serikali watafanya wawezavyo ili mradi cross examination isifanyike kesi iahirishwe mpaka jumatatuHuyu Utetezi tunaenda nae mpaka Ijumanne kama upande wa mashitaka watamaliza Leo Maana nae ni Shahidi muhimu Sana, ndo muandaa barua za kuomba uchunguzi na ndo mfungua kesi..
Here we Go..
Ngoja tuone kama naye kaletwa na gari la mawakiliAskari Swila ametajwa sana kwenye Hii kesi ngoja tuone
Hivi uongo uongo unakusaidia mini maana maisha ya uongo uongo ni magumu sana, hakusema hivyo"Halafu Wakili Kidando aliiongopea Mahakama kuwa shahidi anatokea mkoani.