Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

Hivi serikali kwanini isione aibu ktk hii kesi kws namna wanavyoteketeza kodi zetu kwa 'kesi za mchongo' tuoneeni huruma jamani!
 
Onyo- usiweke uchadema kwenye updates ni hatari na italinganishwa na vyanzo vingine
 
Quorum yetu ipo vile vile, tupo tayari kufuatilia.
 
Nadhani huyu ndio shahidi wa mwisho kutoa ushahidi wake wa mchongo ama
 
Hivi serikali kwanini isione aibu ktk hii kesi kws namna wanavyoteketeza kodi zetu kwa 'kesi za mchongo' tuoneeni huruma jamani!
Hivi kwa nini mnafosi serikali iachane na hii kesi, kwa nini msiache tu kesi ifike tamati ili tujue mbivu na mbichi? Maana kama ni washtakiwa tayari wameshasota gerezani vya kutosha hadi wamezoea.
 
Askari Swila ametajwa sana kwenye Hii kesi ngoja tuone
 
Sasa huyu Swila anafanya kazi Temeke hapo. Nini kilimzuia asije juzi? Au alikuwa anaenda kupewa somo la mchongo?

Halafu Wakili Kidando aliiongopea Mahakama kuwa shahidi anatokea mkoani.
 
Inapector swila yani kama alifatilia ushahidi wa urio asingekubali kuja

Inaonekana swila ana roho ngumu sijui anazo pea mbili?
Huyu Utetezi tunaenda nae mpaka Ijumanne kama upande wa mashitaka watamaliza Leo Maana nae ni Shahidi muhimu Sana, ndo muandaa barua za kuomba uchunguzi na ndo mfungua kesi.

Here we Go..
 
Huyu Utetezi tunaenda nae mpaka Ijumanne kama upande wa mashitaka watamaliza Leo Maana nae ni Shahidi muhimu Sana, ndo muandaa barua za kuomba uchunguzi na ndo mfungua kesi..

Here we Go..
Najua leo mawakilo wa serikali watafanya wawezavyo ili mradi cross examination isifanyike kesi iahirishwe mpaka jumatatu
 
Halafu Wakili Kidando aliiongopea Mahakama kuwa shahidi anatokea mkoani.
Hivi uongo uongo unakusaidia mini maana maisha ya uongo uongo ni magumu sana, hakusema hivyo"

"
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Huyo Ndiye Shahidi tukiyekuwa naye kwa Leo na hatuna Shahidi Mwingine, Hivyo tunaomba hairisho la. Siku 2 kwa Maana ya Tarehe 2 na Tarehe 3 ili tuweze Kuendelea Ijumaa Tarehe 4 Ndipo tutakuwa Tume Procure Shahidi Mwingine.

Kwa sababu Shahidi ambaye tulipanga baada ya Shahidi huyu hakuwezi Kufika Kwa sababu Ya Sababu zilizo Nje ya Uwezo Wetu hivyo Katika Mazingira Hayo na ili Kupata Uhakika Wa Kuendelea Ijumaa, Tunaomba Hairisho Ili hata kama kama tukishindwa tuweze Kupata Shahidi Mwingine."
 
Back
Top Bottom