Siyo mara zote."Ukitaka kutawala kwa amani, ni sharti kwanza uwaweke adui/wapinzani wako chini ya mbawa za tai".
Wanajua wakimtendea visivyo wataamsha chuki kutoka kwa wananchi, unaposhangaa ya Mbowe kwanini haukushangaa ya makomandoo wanakamatwa kama wauza chips! Hao siyo.Mzee Mgaya anasema Freeman Mbowe awapo mahakamani huwa anarelax kama mzee wa Kanisa, sasa huyu ni gaidi kweli au wanashughulika na wrong person?
Hapo Kenya tu tuliona namna yule kijana wa kipare Rashidi Mberesero alivyokuwa anaingizwa mahakamani sura yake kavu kana kwamba anaishi kwa kula mawe, anasema Mgaya.
Hapo sijawazungumzia wale wa Guantenamo, amemalizia Mgaya.
Maendeleo hayana vyama!
Ukiwekewa niwekee na mimi.Tuwekee hata "PM" mkuu Halaiser tafadhalii.
John kwani weye ni supika wa Mzee Mgaya? πMzee Mgaya anasema Freeman Mbowe awapo mahakamani huwa anarelax kama mzee wa Kanisa, sasa huyu ni gaidi kweli au wanashughulika na wrong person?
Hapo Kenya tu tuliona namna yule kijana wa kipare Rashidi Mberesero alivyokuwa anaingizwa mahakamani sura yake kavu kana kwamba anaishi kwa kula mawe, anasema Mgaya.
Hapo sijawazungumzia wale wa Guantenamo, amemalizia Mgaya.
Maendeleo hayana vyama!
Vyote iwavyo- siku ya hukumu itajulikana tu kwa msaada wa watu wa Ujerumani na KASMkuu,kuna watu ni mazuzu na vilaza wa kutisha humu. Mtu analalamika eti kwamba wanaotuhabarisha hii kesi ni watu wa CDM, hawaleti kile kitu sahihi kilichotokea huko mahakamani, wanapotosha!
Cha ajabu ni kwamba hawataki wao kuleta kile wanachoita "sahihi" zaidi ya kufuatilia habari hizo hizo zisizo sahihi za wana CDM.
Uzuzu na ukilaza ni laana kama ilivyo chama cha mafisadi.
Mbona imo humu tayari??Ukiwekewa niwekee na mm
Binafsi sioni tatizo kwa amiri jeshi mkuu kuvaa magwanda ya majeshi anayoyakomandi...Kwani shida iko wapi rais akivaa hizo sare?
Unalo jibu na hasa kwanza ukijiuliza, je raisi asipovaa hizo sare kuna tatizo? Atavaa sare ngapi kulingana na majeshi na taaluma mbali mbali tulizo nazo? Kwa hoja yako tumtarajie avae za Magereza, Polisi, jkt, uhamiaji, zimamoto, Navy, madakitari, nurse, wahandisi, majoho ya mawakili, overall za wahandisi nk nk. Maandalizi ya sare ya kumtosha rais unajua gharama yake? Ni ufisadi mtupu.Kwani shida iko wapi rais akivaa hizo sare?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo ile sare aliyovaa jana imeghalimu bilioni ngapi?Unalo jibu na hasa kwanza ukijiuliza, je raisi asipovaa hizo sare kuna tatizo? Atavaa sare ngapi kulingana na majeshi na taaluma mbali mbali tulizo nazo? Kwa hoja yako tumtarajie avae za Magereza, Polisi, jkt, uhamiaji, zimamoto, Navy, madakitari, nurse, wahandisi, majoho ya mawakili, overall za wahandisi nk nk. Maandalizi ya sare ya kumtosha rais unajua gharama yake? Ni ufisadi mtupu.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpenzi. Chifu Hangaya hajamaliza hata mwaka madarakani wanamsema utadhani ana miaka mitano.Hawajiulizi, kwani yeye ndio Rais wa kwanza kuvaa hayo magwanda?
Bi hanganya kweli kuna mambo anafeli, ila pia kuna mambo wanamuonea bana.
vipi gaidi limeletwa?
Mizigo mingi inamuelemea...tozo,maji, umeme, kesi ya mbowe na haki za binadamu kwa ujumla...na bado anataka kugombea 2025ππ
kesi ya mboe inamuelemea Rais au inakuelemea wewe na wafuasi wake?Mizigo mingi inamuelemea...tozo,maji, umeme, kesi ya mbowe na haki za binadamu kwa ujumla...na bado anataka kugombea 2025ππ