Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

Kupatwa kwa Mahakama. Jaji Mkakati katika ubora wake.
 

mkuu upo mbele ya muda.

kua ww umeliona hilo kabla ya Mh Mbowe?

Viongozi wote wachama hawajaliona hilo, ila wewe kada wa ccm, ndo umeliona hilo..

Mpinzani wako mwombee njaa, chakushangaza ww unamwonea huruma, hadi kutoa tips za nini kifanyike ili apone..

Inatia shaka kwa kweli

🌍
🇹🇿
✌🏼
 
Nyie ndo upande wa mashtaka leteni updates.
Mkuu,kuna watu ni mazuzu na vilaza wa kutisha humu. Mtu analalamika eti kwamba wanaotuhabarisha hii kesi ni watu wa CDM, hawaleti kile kitu sahihi kilichotokea huko mahakamani, wanapotosha!
Cha ajabu ni kwamba hawataki wao kuleta kile wanachoita "sahihi" zaidi ya kufuatilia habari hizo hizo zisizo sahihi za wana CDM.
Uzuzu na ukilaza ni laana kama ilivyo chama cha mafisadi.
 
Mapumziko gani haya ya kutoka saa saba hadi sasa saa 10 na ushee...?

Au mleta updates kachoka na ameamua kulala...?

Au mambo ni magumu kiasi cha kuelekea kumshinda Jaji huyu..?
anawasiliana kwanza na mamlaka ya uteuzi na TISS wampe maelekezo. Siyo yy anaendesha ile kesi.
 
Hii kesi kama umefuatilia tangu mwanzo, maamuzi ya majaji, kuna kila dalili Mbowe anaenda lupango...it's a sad truth 😥
.
nikweli, japo haitakua rahisi kiasi hicho.

Huenda wakampeleka huko, ila sio kwakile kitachothibitika mahakamani,

bali kwakile ambacho kishakua planned, nawatu fulani washakitolea maamuzi,
au kwakuongelea bila kujuakua walichokisema kitakua na influence kiasi gani kwenye mwenendo na maamuzi ya kesi husika..

Pamoja kwamba hayo yanaweza tokea, ila ule ukweli,
udhaifu
na matumizi mabaya ya madaraka wengi tutakua tumeshauona,
kama tunavo jionea hivi sasa..
 
wenye akili huwa hawapamani na majaji, huwa wanapambana kuingiza hoja za kisheria ili jaji asipozifuata iwe sababu ya rufaa.
seems hujui kinachoendelea mahakamani au hujui judiciary yetu ikoje. So my friend, kote High Court na Court of Appeal 1+1=3 in their natural mahematics. Sasa huko CA ndiko utapata haki? Kataa dunia ijue kuwa ulionewa ukaamua kukaa kimya waamue wanavyotaka.
 
hujui unachoongea na umekata tamaa mno, unahitaji mwanasaikolojia usija kujitia kitanzi wewe pimbi.
 
hujui unachoongea na umekata tamaa mno, unahitaji mwanasaikolojia usija kujitia kitanzi wewe pimbi.
Busara huwa inanielekeza kuwa Brained individuals hutoa hoja bila matusi kwa kuwa angalau humtofautisha na anayejibizana naye. Otherwise huwezi kuwatofautisha.
 
Hili jibu siyo hadhi yako. Unaweza kuwa unabishana na Mjukuu wako.
You are very right! Amenitukana, sijapenda katu and as long as simjui na sitaweza kumwadhibu, namtukana as well! For sure I know that abusive language is not a line of my age, but when it comes to undisciplined blood bastards, then I have to adopt the wrong way anyway! Apology if I have offended you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…