Nakwambia huyu ni blood bastard, amenitukana bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, upset nikamrudishiaBusara huwa inanielekeza kuwa Brained individuals hutoa hoja bila matusi kwa kuwa angalau humtofautisha na anayejibizana naye. Otherwise huwezi kuwatofautisha.
Achana naye msitumie lugha ngumu kwa vyovyote vile kwa ufahamu wangu wewe ni mtu uliye elimika sitarajii kuona hiliNakwambia huyu ni blood bastard, amenitukana bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, upset nikamrudishia
Jaji alikua hakimu hana uzoefu wowote katumwa kutoa hukumu, WS ndio weupe kabisa hawana uzoefu wowote ndio mana serikali huwa haishindi kesi zaidi ya kulazmisha kuhukumu.majamaaa ni weupe sana mpaka una jiuliza hawa nao wamesoma vyuo vyetu kweli ama walipita bangalore university kama yule wakili wa MIC
Huko Arumeru Arusha kaiba 100m kwa kumpachikia mzee maeda pembe ya ndovu... Bado alikuwa anakashfa ya kuvusha bangi namanga kwenda KenyaHuyu mshahidi mwiz mwiz tu! Juzi kaiba kieleleo mahakaman jaji kauchuna! Sasa kaibia majibu kwenye kibom jaji anataka kumfever tena! Tabu tupu
Ndio kusema Jaji kakimbia mahakamani?Jaji alikua hakimu hana uzoefu wowote katumwa kutoa hukumu,WS ndio weupe kabisa hawana uzoefu wowote ndio mana serikali huwa haishindi kesi zaidi ya kulazmisha kuhukumu
Anapita mulemule kwa meko,hapa tumepigwaMama katokelezea...
Kiboko ya mazwazwa...
Hii kesi majaji watatoka nduki wote,istoshe majaji wenye uzoefu wa kesi hawapewi kesi hii maana wataitupa haina mashiko,kuna majaji wazoefu dimelo na sumary ukiwapa kesi hii wanaitupaNdio kusema Jaji kakimbia mahakamani?
Apology!Achana naye msitumie lugha ngumu kwa vyovyote vile kwa ufahamu wangu wewe ni mtu uliye elimika sitarajii kuona hili
Kuna clip Kule Jamhuri ya Twitter, akipepesuka leo wakati akikagua gwaride la makamanda. Alionekana kuishiwa nguvu ghafla. Msaidizi wake akamsaidi Kwa kutumia bega lake.Kuna watu wanamdanganya huyo mama kuwa magu alikuwa anapendwa sana, hivyo na yeye ameamua kuiga kila kitu ili na yeye eti apate mvuto! Ndio maana naye kaingia kwenye ulimbukeni ule ule wa kutaka media covarage kwenye kila kitu.
Majaji wote be it wa High Court, Court of appeal wanaanzia kuwa mahakimu (ukiacha wachache wanaotokea kwenye uwakili/Uanasheria wa serikali)Jaji alikua hakimu
Nikuchanganyana tu.Kama sheria iko wazi ilikuwaje kinotibuku kichukuliwe na mahakama.kwa mtindo huo kesi ndogo zitazaliwa hadi 2025.Ndipo kesi za msingi zitaanzaMaamuzi atayatolea kesho, kama nikuachana na shahidi na ushahidi wake wote alio utoa,
au kuendelea nae..
Watataga wanaopepesuka na na kurembua kwenye ”Redi kapeti “ atatuacha amfuate KICHAA mwenzie, mda si mrefu, mshahara wa Dhambi ni Mauti.Lazima mtage safari hiiView attachment 2011301
Nyerere wakati akienda mstari wa mbele vita na nduli alikuwa alivaa combat za mgambo, ndio rank ya mafunzo ya kijeshi alioyapitia. Hawa kubwa sare za jeshi ni kujimwambafai.Ni uelewa wako finyu tu mkuu ndio maana ulikuwa unaona ni ushamba
Kwani shida iko wapi rais akivaa hizo sare?Nyerere wakati akienda mstari wa mbele vita na nduli alikuwa alivaa combat za mgambo, ndio rank ya mafunzo ya kijeshi alioyapitia. Hawa kubwa sare za jeshi ni kujimwambafai.
Huyu chapwa24 ni taabu kweli...You are very right! Amenitukana, sijapenda katu and as long as simjui na sitaweza kumwadhibu, namtukana as well! For sure I know that abusive language is not a line of my age, but when it comes to undisciplined blood bastards, then I have to adopt the wrong way anyway! Apology if I have offended you!
Kuna clip Kule Jamhuri ya Twitter, akipepesuka leo wakati akikagua gwaride la makamanda. Alionekana kuishiwa nguvu ghafla. Msaidizi wake akamsaidi Kwa kutumia bega lake.