Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga

Katika mambo yaliyonishangaza kwenye kesi inayoendelea, ambapo Watu 19 wasio na Chama wanapigania roho zao Mahakamani kwa kung'ang'ania uanachama wa Chadema, huku wakiwa wametimuliwa kitambo, ni Makundi makubwa ya wana-CCM ndani na nje ya Mahakama wakifuatilia kesi hiyo.

Miongoni mwa wanachama hao wa CCM yumo anayeitwa ALLY BANANGA kutoka Arusha, ambaye bado haijajulikana sababu hasa za yeye kukurupuka kutoka Arusha hadi Dar kwa mambo yasiyomhusu.

Yako mengi yanayoendelea kwenye viunga hivi, kaeni mkao wa kula.

Ally alienda kumsapot mke wake, ni mmoja Kati ya hao wabunge
 
Bananga lazima aje kumsindikiza mkewe Hawa Bananga kwakua yeye kwasasa ndiyo analipa ada za watoto n.k

NB:
Usishangae siku moja ukimuona Kafulila naye akija kumsindikiza mke wake hapo badala ya kushindia magazeti nyumbani.
 
Katika mambo yaliyonishangaza kwenye kesi inayoendelea, ambapo Watu 19 wasio na Chama wanapigania roho zao Mahakamani kwa kung'ang'ania uanachama wa Chadema, huku wakiwa wametimuliwa kitambo, ni Makundi makubwa ya wana-CCM ndani na nje ya Mahakama wakifuatilia kesi hiyo.

Miongoni mwa wanachama hao wa CCM yumo anayeitwa ALLY BANANGA kutoka Arusha, ambaye bado haijajulikana sababu hasa za yeye kukurupuka kutoka Arusha hadi Dar kwa mambo yasiyomhusu.

Yako mengi yanayoendelea kwenye viunga hivi, kaeni mkao wa kula.
Anaenda kumsupport mkewe?
 
Huyo mkewe ni mmoja ya hao vicheche lazima afuatilie maana anafugwa kwa mshahara haramu
 
Katika mambo yaliyonishangaza kwenye kesi inayoendelea, ambapo Watu 19 wasio na Chama wanapigania roho zao Mahakamani kwa kung'ang'ania uanachama wa Chadema, huku wakiwa wametimuliwa kitambo, ni Makundi makubwa ya wana-CCM ndani na nje ya Mahakama wakifuatilia kesi hiyo.

Miongoni mwa wanachama hao wa CCM yumo anayeitwa ALLY BANANGA kutoka Arusha, ambaye bado haijajulikana sababu hasa za yeye kukurupuka kutoka Arusha hadi Dar kwa mambo yasiyomhusu.

Yako mengi yanayoendelea kwenye viunga hivi, kaeni mkao wa kula.
CCM inapenda sana na kuwajali sana akina mama. Ni mama zetu, dada zetu na wapenzi wetu. Tuko nyuma yao kila walipo. Tunalaani sana chadema kwa kuwanyanyasa akina mama hawa 19. Haki itapatikana tu.
 
Hii kesi ikiendeshwa ki Hali Hawa wabunge 19 wanashindwa lakin ikiendeshwa kisiasa bc wanashindwa mahakama inatakiwa itende haki Kwan mpaka Sasa cjui Hawa wabunge wanawakilisha chama gani bungeni,na katiba Iko wazi kabsa kwamba mbunge lazma atokana na chama Cha siasa.
 
Hapa mnaicheza ngoma ya CCM bila kujua.
Subiri uone

SURATI%20ZUBAA%20%20Ndio%20surati%20zubaa%2C%20pengine%20tumesomewa%2C%20Sivyo%20tusingebung'a...jpg
 
Back
Top Bottom