voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
"Miongoni mwa wanachama hao wa CCM yumo anayeitwa ALLY BANANGA kutoka Arusha, ambaye bado haijajulikana sababu hasa za yeye kukurupuka kutoka Arusha hadi Dar kwa mambo yasiyomhusu."
Erythrocyte !
Kwa taarifa yako ni kwamba katika hao mnaowaita wasio na chama.Yumo mkewe na Ally Bananga pia.
Ila wewe kwa sababu ya kutoijua chadema kwa undani wake ndio maana unamshangaa Bananga kuwepo hapo!