Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga

Bananga hivi sasa ana lishwa na mkewe ambae nae yumo kwenye hilo kundi la wabunge wa NEC ya Magu.
Amehudhuria asije nyimwa msosi.
Bananga kawa mwanamume wa Dar. Ana lelewa.
Noma kweli yaani !!
 

Ally alienda kumsapot mke wake, ni mmoja Kati ya hao wabunge
 
Bananga lazima aje kumsindikiza mkewe Hawa Bananga kwakua yeye kwasasa ndiyo analipa ada za watoto n.k

NB:
Usishangae siku moja ukimuona Kafulila naye akija kumsindikiza mke wake hapo badala ya kushindia magazeti nyumbani.
 
Anaenda kumsupport mkewe?
 
Huyo mkewe ni mmoja ya hao vicheche lazima afuatilie maana anafugwa kwa mshahara haramu
 
CCM inapenda sana na kuwajali sana akina mama. Ni mama zetu, dada zetu na wapenzi wetu. Tuko nyuma yao kila walipo. Tunalaani sana chadema kwa kuwanyanyasa akina mama hawa 19. Haki itapatikana tu.
 
Hii kesi ikiendeshwa ki Hali Hawa wabunge 19 wanashindwa lakin ikiendeshwa kisiasa bc wanashindwa mahakama inatakiwa itende haki Kwan mpaka Sasa cjui Hawa wabunge wanawakilisha chama gani bungeni,na katiba Iko wazi kabsa kwamba mbunge lazma atokana na chama Cha siasa.
 
Hapa mnaicheza ngoma ya CCM bila kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…