Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga

Hili linawezekana maana kesi kusikilizwa mpk 21/10 nikajisemea mbona mbali sana
Hapo mkuu hakuna namna CDM hakuna ujanja lazima wakubali kushindwa tu kwenye hili na wao wanajua covid19 will prevail kwa namna yoyote ile
 
Hatuandiki kibwege kama unavyodhani
Hapo wala nisiume ume maneno. Huyo jamaa ana haki ya kufika Mahakamani sababu Mahakama ni ya wazi. Lawama za kipuuzi hatutaki. Leta hapa mahojiano yaliyokuwepo Mahakamani siyo kuleta malalamiko ya kibwege. Yaani kesi ya msingi hujaleta unakuja kutuambia sijui nani kafika. So What akifika? Anatuhusu nini sisi?
 
hata shetani lucifer akipelekwa mahakamani wataokwenda kuifuatilia kesi hiyo ni mashetani wenzake tambua hilo!
 
Hapo mkuu hakuna namna CDM hakuna ujanja lazima wakubali kushindwa tu kwenye hili na wao wanajua covid19 will prevail kwa namna yoyote ile
Naona jaji nae janja jamja mbona katoa mpk next wiki ijumaa, wkt chapu tuu angemaliza kesi.
 
Hili ndo lilikuwa jambo la msingi. Siyo kuleta ulalamishi wa kipuuzi tu kila wakati kama mama asiyekuwa na mwana. Sisi wengine tunachoka kusoma malalamiko ya kibwege yasiyo na msingi. Ally banangwa yupo mahakamani so what? Akiwepo yeye anazuia nini Kibatala kumkaanga huyo dada?

Mkue sasa. Tunataka kuona nchi inakuwa na vyama vyenye watu wenye akili na kujitambua. Matured. Utoto utoto acheni. Na kulalamika lalamika kila wakati ni tabia za kujihami na ku fail.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…