Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

Kusema ukweli hakuna haki duniani. Watu wanasota rumande kwa kosa la kula njama, na njama zenyewe hazioneshewi Kila siku ni yaleyale. Kama Jaji atatumia confession kuwatia hatiani kina Mbowe basi atakuwa ametenda kosa la Maisha.
 
CCM ni watu wabaya saana ndugu; kumtesa mbowe hivi kisa KATIBA MPYA.
 
Ni aibu tupu kwa serikali mambo kuwa wazi namna hii hawa mashahidi ni aibu tupu
 
Shahidi wa leo ndiye kawasafisha kabisa watuhumiwa. Kwa kweli isingekuwa kuna maagizo ya mtawala kuwa Mbowe lazima afungwe jela hii kesi ingeshaondolewa mahakamani,lakini kwa vile Maza furaha yake ni kumfunga Mbowe basi vibaraka wake lazima watekeleze hata kwa gharama ya kujidhalilisha na kuzidhalilisha taaluma zao.
 
Nakuonya toka mwanzo- U S I C H A K A C H U E ukifanya tutajua pia ujue hutakuwa na uwezo wa kufuta atakayoandika Jaji so uwe mstaarabu

Hii ni aibu kubwa kwa hao mashaidi uchwara..
IMG_1553.jpg

A level na division 3 point 21 imekaaje hiyo?
IMG_1557.jpg

Yaani shahidi wa michongo ni mwendo wa kujichanganya tu...
IMG_1558.jpg

Aibuu hii ni kubwa sana kwa wapanga michongo....
 
Shahidi wa leo ndiye kawasafisha kabisa watuhumiwa. Kwa kweli isingekuwa kuna maagizo ya mtawala kuwa Mbowe lazima afungwe jela hii kesi ingeshaondolewa mahakamani,lakini kwa vile Maza furaha yake ni kumfunga Mbowe basi vibaraka wake lazima watekeleze hata kwa gharama ya kujidhalilisha na kuzidhalilisha taaluma zao.
Hapa wa kuangalia ni mhumili wa mahakama hasa Jaji mkuu, Maza yeye kasha wauzia kesi, huwezi kimlaumi tena kwasabb kila muhimili hujitegemea
 
Shahidi wa leo ndiye kawasafisha kabisa watuhumiwa. Kwa kweli isingekuwa kuna maagizo ya mtawala kuwa Mbowe lazima afungwe jela hii kesi ingeshaondolewa mahakamani,lakini kwa vile Maza furaha yake ni kumfunga Mbowe basi vibaraka wake lazima watekeleze hata kwa gharama ya kujidhalilisha na kuzidhalilisha taaluma zao.
.... ndio maana maajenti kumwomba Mbowe aombe msamaha wanaongezeka kila siku kumfichia aibu aliyefungua kesi. Tatizo Mwamba kakaza kinoma! Mzee Juma Duni Haji: Wanaotaka Mbowe aendelee kusota Mahabusu wako Ulaya
 
Wakili wa serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji huyo ndiye shahidi tuliyekuwa naye kwa leo, Hivyo tunaomba hairisho la kesi hii mpaka tarehe 26 January mheshimiwa Jaji Kwani shahidi ambaye tulikuwa tumempa taarifa, tulimtegemea awe amefika leo ili aweze kuendelea kesho, Ametupa taarifa mchana huu kuwa amepata dharula.. Hivyo hajaweza kusafiri leo, atasafiri kesho Kuja Dar es Salaam.
Shahidi yupo jijini Dar tangu J2, sema kila akimezeshwa desa anatema halikai mukichwa...... ndo kesho anaendelea na kumeza madesa! uongo wa kupambana na kina Kibatala ni kazi Ngumu mno, najua mashahidi washashtuana ila watafanyeje ikiwa maboss ndo washapika ngoma na imetoka mbichi, kutwa kujikanyaga kama migambo!!!
 
Shahidi wa leo aligeuka akawa shahidi wa utetezi. Yani yeye Ni mpelelezi na anadai kwamba hajawahi kupata taarifa za mpango wa kutenda ugaidi. Hivyo basi inawezekana kosa la ugaidi limtengenezwa baadae baada ya watuhumiwa kukmatwa.
 
Hii.kesi kama jaji na mawakili wa serikali wangekuwa hawana malipo ya ziada ingekuwa imeshaondolewa mahakamani.Lakini kwa kuwa jaji na wenzake wanalipwa mapesa mengi siyo rahisi jaji kumshauri dpp maana wote ni wanufaika.Kodi yetu inatumika vibaya.
 
Back
Top Bottom