Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

Ngoja tuone mwisho

Screenshot_20220123_202653.jpg
 
Hii kesi inatafuna bure kodi zetu jaji anavuta laki 5 posho na laki 2 ya kulala hotelini,KILA wakili anavuta laki 2 akisimama kutetea utopolo so wapo radhi kuipiga tarehe waendelee kupiga pesa. utopolo govment wapo bize na mambo ya hovyo.
 
Salaam Wakuu,

Leo tarehe 24/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.

Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
....
Asanteni sana mawakili wa utetezi. Mungu awape nguvu na hekima kuendelea kutetea haki kwenye hii kesi ya mchongo.
 
Back
Top Bottom