Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shahidi wa mchongo anazidi kunasa hapa ndugu watanzamaji wa JF TV na JF FM Radio!!!Matata: Kwa hiyo Nuru Ndiyo Mtunza Vielelezo Pale Central polisi
Shahidi: Sahihi
Na wewe wakala wa shetani ,unamjua Yesu Kristo?Siyo leo- nitasali ile sala ya simon
Sina shaka waliobaki wana kitete kweli!Mashahidi wa mchongo wanazidi kuumbuka
Kwanini huwa hamtuletei picha za hawa mashahidi?
Bora hawa mgambo ndiyo wawe polisi😃😃Kibatala: Gari Mliyoenda nayo ilikuwa ya Namba Gani
Shahidi: Toyota Land Cruiser
Hamna namna tuhamie burundi tu😃😃Kibatala: una elimu gani?
Shahidi: Degree
Kibatala: Chuo gani?
Shahidi: Open University
Kibatala: degree gani?
Shahidi: Sociolog...
Kesi ya hovyo snAsante mkuu!!Tunamsubili yule shahidi anaesema "weeeee mimi nilimkabidhi zote laini na simu" WACHA INYESHE ILI TUJUE PANAPOVUJA
Asanteni sana mawakili wa utetezi. Mungu awape nguvu na hekima kuendelea kutetea haki kwenye hii kesi ya mchongo.Salaam Wakuu,
Leo tarehe 24/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
....
Hivi jamani division 3 ya 21 inakuaje S ina point 6, F inapoint 7 zikiwa S 3 =18 zikiwa F3 21 kwa maana hiyo alipate F zote hiyo ni division zero.....kaenda police loh.Hamna namna tuhamie burundi tu[emoji2][emoji2]