Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Endelea kujifariji Mama saidi.Huyu shahidi wa leo inaonyesha yupo vizuri.Halafu ndugu yangu usitushikie akili bana kwa kutuaminisha polisi wote hawajasoma,wengi tumehitimu nao vyuo vikuu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Masoud Great Thinker!!Hyo katuni Inaweza amsha mambo!Please ameshika shoka sjui anataka kulitumia kufany nini. Nchi yangu hii Sjui tunakoelekea wapi???!!
Tayari washaanza kumtisha kama walivyomfanyia Ben Saanane. Kipanya mda wowote anapotezwa😭
 
Endelea kujifariji Mama saidi.Huyu shahidi wa leo inaonyesha yupo vizuri.Halafu ndugu yangu usitushikie akili bana kwa kutuaminisha polisi wote hawajasoma,wengi tumehitimu nao vyuo vikuu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Msomi anakuwa koplo ? huyu ni muosha silaha tu , ni kama wapiga deki wengine tu
 
MUNGU ndiye hakimu wa kweli,Mungu ndiye mwamuzi wa mwisho.Kabla ya huyo unayemuombea mabaya kwa husda ushishangae yakaanza na wewe au ndugu yako wa karibu.MUNGU ni wetu sote.case study MAGUFULI
Huyu Mungu si ndio yule yule mliemkejeli kipindi kile Magufuli anasema tuombe kwa ajili ya corona,? Mkasema Mungu ana kazi nyingi hawezi kusikiliza wajinga?

[emoji23][emoji23][emoji23]Mkibanwa ndio mnakumbuka uwepo wa Mungu ee?
 
Yaani saa nzima anaeleza kazi tu [emoji23][emoji23][emoji23], anatumalizia bando
Haya majamaa WS nafsi zao zmekubali kesi hii ni Galasa. So wanabuy time ili washitakuwa waendelee kusota ndani..huku watawala wao wakila kuku kw mrija na family zao. Maswali ya kumuuliza mtu mwenye kesi ya Kuku wAnauliza kwenye kesi hii Ambayo wasomi Akili zao zmefichwa mfukoni na Mazero....Here we want to see Them asking concrete qstns to reveal their idiotic agenda. That's all!!
 
Endelea kujifariji Mama saidi.Huyu shahidi wa leo inaonyesha yupo vizuri.Halafu ndugu yangu usitushikie akili bana kwa kutuaminisha polisi wote hawajasomaengi tumehiti,wmu nao vyuo vikuu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kumbe wewe ni polisi,umehitimu lini chuo kikuu? Ni hivi hakuna polisi watanzania ambaye anatumia elimu yake akiwa polisi hata kama hata kama ana shahada ya uzamivu
 
Huyu Mungu si ndio yule yule mliemkejeli kipindi kile Magufuli anasema tuombe kwa ajili ya corona,? Mkasema Mungu ana kazi nyingi hawezi kusikiliza wajinga?

[emoji23][emoji23][emoji23]Mkibanwa ndio mnakumbuka uwepo wa Mungu ee?
Hakuna aliye kejeli isipo kuwa Magufuli alipewa somo watu wasiangamia kwa kusa maarifa ambayo tayari MUNGU ameshayatoa.Yes ndiye Mungu huyu huyu aliye aliyeamua kumchukua baada ya kuona mateso mengi kwa watanzania.Further more alikufa kwa corona
 
Unaona sasa?

Maarifa yapi?

Kwamba Magufuli alikufa baada ya kuona mnateseka sana?

Kwa hiyo mateso yameisha?

[emoji23][emoji23][emoji23]Na mtanena kwa lugha sana tu
 
Unaona sasa?

Maarifa yapi?

Kwamba Magufuli alikufa baada ya kuona mnateseka sana?

Kwa hiyo mateso yameisha?

[emoji23][emoji23][emoji23]Na mtanena kwa lugha sana tu
oooooh hujui yameisha kabisa haya unayo yaona ni masalia madogo madogo...,ukitaka kujua yamesisha walikuwepo kina MAKONDA wako wapi walikuwa zaidi ya MUNGU mtu,walikuwepo kina Cyprian MUSIBA,walikuwepo kina Sabaya, walikuwepo kina Chalamila.MUNGU fundi aiseee.Hivi haya unayo yaona yanaenda kuisha hilo la MBOWE limetengenezwa na mtu mwenye roho mbaya amabye ameshafariki.
 
Unaona sasa?

Maarifa yapi?

Kwamba Magufuli alikufa baada ya kuona mnateseka sana?

Kwa hiyo mateso yameisha?

[emoji23][emoji23][emoji23]Na mtanena kwa lugha sana tu
Unachekelea Magu kufa?! Wewe ni sukumagang lisilo kuwa na akili!
 
Haya we Dula, jiandae na Paper II, usifikiri umemaliza hayo maongezi ya CV yako uliyotugea ukiongozwa na wakili wako.
 
hii kesi inalidharaulisha Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…