Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Hivi jamani mbona kama mimi sijaelewa au nyie mmelewa vipi shahidi namba 3 anasema kaanza kazi 2013 na uko elfu 2004,2006 sijui kasoma kozi za mambo ya bunduki zanzibar na mambo mengine mara sijui 2010 kasomaje hayo mambo wakati kazi kaanza 2013?
 
ivi jamani mbona kama mimi sijaelewa au nyie mmelewa vipi shahidi namba 3 anasema kaanza kazi 2013 na uko elfu 2004,2006 sijui kasoma kozi za mambo ya bunduki zanzibar na mambo mengine mara sijui 2010 kasomaje ayo mambo wakati kazi kaanza 2013?
Hahaa mbona unajichanganya, kwani kati ya kazi na masomo kipi huanza?
 
Hahaa mbona unajichanganya, kwani kati ya kazi na masomo kipi huanza?
huanza masomo mkuu na kuna kozi mtu huzisomea akiwa kazini pia maajabu yako ivi kuna kozi za kijeshi mtu hufundishwa akiwa raia maana shaid kasema kazi kaanza 2013 lakin kuna kozi za silaha kazisoma 2004,2006 hadi na 2010 plz rudia mahojiano yake na wakili wa serikali naruhusu kukosolewa maana najifunza pia.
 
Kiufupi tu, kama shahidi anasema kaanza kazi 2013, basi maana yake ni kwamba hizo kozi alizisoma kabla hajaanza kazi, tatizo lako umefikiria mbali sana mpaka umetoboa nyavu, au vinginevyo kama ukiwa sahihi kwenye fikra zako, basi ni kosa la shahidi katoa maelezo yasiyo sahihi hasa kama kozi za askari mtu huanza kuzisomea akiwa tayari kazini.
 
Maswali ya mahakamani bwana, be like

Wakili: Ulikula nini?

Shahidi: Nilikula ugali na dagaa.

Wakili: Unaweza kuelezea mahakama ulivyokula?

Shahidi: ndio, nilimega tonge.

Wakili: enhee ulimega kubwa dogo?

Shahidi: kubwa.

Wakili: enhee kilichofuata

Shahidi: nikaweka mdomoni.

Wakili: ndio, nini kikafuatia?

Shahidi: nikaanza kutafuna.

Wakili: baada ya kutafuna?

Shahidi: nikameza.

Wakili: lakini hukuelezea kama ulinawa.

Shahidi: ni kweli sikuelezea, lakini nilinawa.

Wakili: hukuelezea pia kama ulitoezea kwenye mboga.

Shahidi: ni kweli nilitoezea lakini nilisahau kusema.

Wakili: dagaa walikuwa wa mchuzi au wakavu?

Shahidi: wakavu, waliokaangwa.

Wakili: sasa mbona unatuchanganya? Unawezaje kutooezea tonge tena kubwa kwenye dagaa waliokaangwa?

Shahidi: sifahamu.

Jaji: usiseme hufahamu, sasa hufahamu una maanisha nini?

Shahidi: sikumbuki kama walikuwa wa mchuzi au wakavu.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mahakamani kama unatoa ushahidi wa uongo, lazima wakutafute uingie kwenye 18 tu, la sivyo uwe very smart na mwenye kumbu kumbu sana, halafu kila unalojibu watarejea jibu lako baadae..
Lakini hata kumuangamiza mwenzio kisa uongo, malipo ni humu humu duniani tu.

Ndugu zangu tujifunze kwa hiki kinachoendelea, tusiwe waongo..

Lakini shahidi mkweli ni ngumu mno akatoa ushahidi wenye kuitia mahakama shaka, mkweli huiondoa mahakama shaka..

Ndugu zangu uongo ni mbaya sana, unaweza kukufunga na kukuteketeza kabisa, vitabu vyetu vya dini vinapinga na kulaani watu waongo..

Methali 19:9- Shahidi mwongo hatakosa kuadhibiwa;asemaye uongo ataangamia
 
oooooh hujui yameisha kabisa haya unayo yaona ni masalia madogo madogo...,ukitaka kujua yamesisha walikuwepo kina MAKONDA wako wapi walikuwa zaidi ya MUNGU mtu,walikuwepo kina Cyprian MUSIBA,walikuwepo kina Sabaya, walikuwepo kina Chalamila.MUNGU fundi aiseee.Hivi haya unayo yaona yanaenda kuisha hilo la MBOWE limetengenezwa na mtu mwenye roho mbaya amabye ameshafariki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee.. Hata kina Lema walikuwepo wako wapi?
Msigwa yuko wapi?
Sugu yuko wapi?

Na kama yameisha mnacholialia nini wakati mbaya wenu kafa?
 
Jana kuna shahidi ambaye hakutokea, leo wanaleta mwingine. Nina uhakika tutaendelea kushuhudia aibu tupu.

Juzi walimleta Kaaya ambaye ni genge la uhalifu la Sabaya. Ambaye walimuita “power” kwasababu ya uhalifu.

Ambaye hakutokea jana lazima alikuwa na makandokando zaidi ya Power Kaaya ambaye ni kada mtiifu wa ccm.

Wa leo ngoja tuone. Naona wamechelewa kupita kiasi, kesi ilitakiwa ianze saa tatu na sasa ni saa nne kasoro...Kwasababu kesi za kubambika ni aibu tupu kama zinafuatiliwa na Taifa zima pamoja na mataifa ya nje.
Unalitetea liuaji katili na gaidi
 
Huyu Mungu si ndio yule yule mliemkejeli kipindi kile Magufuli anasema tuombe kwa ajili ya corona,? Mkasema Mungu ana kazi nyingi hawezi kusikiliza wajinga?

[emoji23][emoji23][emoji23]Mkibanwa ndio mnakumbuka uwepo wa Mungu ee?

Hamna muuaji anaweza kuongoza maombi kwa Mungu.
 
Huyu Mungu si ndio yule yule mliemkejeli kipindi kile Magufuli anasema tuombe kwa ajili ya corona,? Mkasema Mungu ana kazi nyingi hawezi kusikiliza wajinga?

[emoji23][emoji23][emoji23]Mkibanwa ndio mnakumbuka uwepo wa Mungu ee?
Na Mungu huyo huyo akamchukua yule aliyekuwa anasema tumtangulize Mungu mbele kumbe alikuwa mnafiki wa kutupwa nã dharau na kejeli na kutukana watu.

Jiwe aka magufuli ameshakuwa mafunza na kunuka.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hahaa mbona unajichanganya, kwani kati ya kazi na masomo kipi huanza?
Tuweke rekodi sawa ina maana alisoma kozi hizo kabla hajawa polisi/hajaajiliwa upolisi.... au haya ni mafunzo yanayopatikaa ukisha ajiliwa polisi
 
Na Mungu huyo huyo akamchukua yule aliyekuwa anasema tumtangulize Mungu mbele kumbe alikuwa mnafiki wa kutupwa nã dharau na kejeli na kutukana watu.

Jiwe aka magufuli ameshakuwa mafunza na kunuka.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo mtu akisema tumtangulize Mungu mbele hawezi kufa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mibavicha akili zenu aliondoka nazo lisu zote kwenda kwa amsterdam?
 
Back
Top Bottom