ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Yaan mtu anifunge hivi alafu ndo nakutana nae mtaani ni bora tu nife naeKwa wale ambao hamjui shahidi alivyosema "killing zone" ndiyo hii - mateso yake ni ya namna hiii - ukivumilia dakika 30 we ni kidume kweli kweli.. Nafikiri kati yao Adamoo atakuwa kapitia mateso makali mno.
Nani walimfunza sasa kama siyo CCM- Mungu alituumba na katupa kifo piaKwa maccm?? it does not matter.
ha ha ha Kingai na Jumanne si watu wa kawaida mkuu - huwezi kuwafanya kitu wanalindwa na Jamhuri yaani unaishia kuuma meno tuYaan mtu anifunge hivi alafu ndo nakutana nae mtaani ni bora tu nife nae
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
wengi hawakujua - jamaa yupo fiti sana - kapiga techinical question kama mbili hivi akaniacha hoi.akili nyingi sana imetumika kujibu ilo swali aisee...
ivi makomandoo hua wanafundishwa maswala ya sheria..?
tunamsubiri kwa hamu Mkuu wa PGO siku hiyo siendi job kama kazi wanifukuze ili nije mahakamani nishuhudie live.Kesi ya wenye vyeo, mashahidi wa dola wanamanyota tu, na wakuu wa vitengo, kuwa mkubwa sana halafu mpanga njama na kuwa shahidi, mtesi naona kama hajakaa sawa!
Liberatus Barrow RPC wa Mwanza wa kipindi kile alikuwa halindwi na Jamhuri?ha ha ha Kingai na Jumanne si watu wa kawaida mkuu - huwezi kuwafanya kitu wanalindwa na Jamhuri yaani unaishia kuuma meno tu
wengi hawakujua - jamaa yupo fiti sana - kapiga techinical question kama mbili hivi akaniacha hoi.
Mahita baba mtu alikuwa katili mtoto naye katili.Kuna Koo Ni laanaMahita ni duni zaidi kwani ndiyo alishiriki kuwapiga kuwabambikia dawa za kulevya
Nasubiri siku ya zamu ya Sirro kutoa ushahidiSasa siri imevuja kuwa walipigwa sana kulazimishwa wakili uongo wamsingizie mbowe huku wakiwabambikia dawa za kulevya ni Aibu kubwa kupata kutokea
Serikali inalidharirisha jeshi la wananchiJamaa wanamtengenezea inshu nyingine alikuwa anatumia madawa ya kulevya hko, hawakawii kumpeleka kwa mkemia mkuu wa serikali wapate positive findings, maana wanadai eti hakua na battle confusion ila nadawa ya kulevya!
Kwenye hati ya Mashtaka hiyo kesi ya madawa ya kulevya ipo?kwa hiyo mashitaka ya Ugaidi hawautaki tena wamerukia madawa ya kulevya.
Jeshi lipi unaloliongelea? Hili ambalo huwa wanafanya operesheni za usafi kukiwa na maandamano au jingine?Unadhani Jeshi wanaweza kupika taarifa?
Kale ka kituo ka Tazara kumbe Ni HatariiiSiri ya Tazara inafichuka na hii kesi.
Wameweka watu mahabusu miezi nane bila kuwafikisha mahakamani.
Tazara ni Guantanamo ya Tz
Wamejitengenezea Uadui usio na tija kisa kuwafurahisha waliowatuma kumbambikia kesi mbowe na wenzakeYaan mtu anifunge hivi alafu ndo nakutana nae mtaani ni bora tu nife nae
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hiyo mahita achunguzwe vizuri pengine ndiyo alikuwa akiumiza wengi kipindi cha mtukufu magufuliSipati picha akina Ben saa 8 kabla hawaja leave this world yamkini walipitia torture ya namna hii so may be labda hawakuimili vishindo vyake ndio wakakata kauli na wasiojulikana wakawatupa baharini we never know.
Polisiccm hawakujipanga vizuri wakati wanaitengeneza hiyo kesi ndiyo maana sasa wanazidi kuumbuka zaidiKwenye hati ya Mashtaka hiyo kesi ya madawa ya kulevya ipo?
Huyo hatakubali kwenda mahakamani kwani ameona hilo jopo la mawakili lipo makini na laweza kumletea fedheha ya mileleNasubiri siku ya zamu ya Sirro kutoa ushahidi