Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

Kumbe kifo ni laana sasa mbona mwenye furaha huko jela anafiwa na ndugu zake kila siku au nao wana laana kama jiwe?
Mkuu alikufa Jiwe aliyelaaniwa na hizi ndio laana zinamfata. Mbowe pale alopo anafuraha kuona kinachoendelea kinakuwa wazi. Tusingejua
 
... kasema alikuwa kwenye selo ya peke yake; kwenye selo yake bahati nzuri kulikuwa na bomba/maji; yule Koplo waliyezoeana naye mara nyingine alikuwa anampatia biskuti, maji spesho, au soda; kasema vizuri sana kwenye ushahidi wake.

Pengine hayo ndio yaliyonusuru uhai wake ndani ya siku hizo kumi ila haiondoi ukweli kwamba hakupewa chakula rasmi kama inavyostahili mahabusu!

Ushahidi wake uko very consistent kwenye hilo la chakula wala hakuna uongo wowote hapo! Kumbuka shauri dogo linaloendelea keywords ni MATESO, SHINIKIZO na hayo (kunyimwa chakula) ndio mateso na mashinikizo yenyewe hivyo maelezo aliyosaini ni kwa mateso na shinikizo na sio yake ndio maana anayakana.

Shirikisha ubongo kidogo utaona logic na mwelekeo wa kesi! Hawa makomandoo/washtakiwa wanatoa maelezo yaliyonyooka kama rula kuwazidi akina RPC Kingai ma-senior officers wa polisi wasiojua PGO ni kitu gani!
 
Kwanini unaingia na kinasa sauti Mahakamani? Nitaanza na wewe [emoji16] (natania mkuu).
 
Ila yule koplo alikuwa na ubinadamu sana.
Fikiria amekutana na mtuhumiwa wa ugaidi kwa mara ya kwanza hapo selo tena katika mazingira ambayo askari wenzake wanamtesa, anamuulizaanatokea wapi! jamaa anamjibu anatokea Mwanza na alikuwa askari.

Koplo anamwambia hata yeye ameshawahi kukaa Mwanza, na anatoa siri kuwa kuna wajeda wenzake pia wapo hapo selo. Na kuanza hapo anajenga urafiki, anapitia kumsalimia kila siku. Na anampatia biskuti kila akipata nafasi wakati ambapo akina Kingai hawampi chakula.

Kumbe katika hawa polisi, wapo wenye roho nzuri pia.
 
Wanakusanywa kwenda wapi?.Kwani mtu anapoachana na kazi nyingine haruhusiwi kutafuta kazi nyingine?.bora ata nyumbu wana akili kuliko wewe.Maana ukiwa na akili laxima ujue kua haya ni maisha na kila mtu ana haki yakutafuta au kufanya kazi youote hslali haijalishi mwanzoni alikua wapi.
 
Huyo gaidi anatupotezea muda afungwe haraka miaka 50
Wakala wa shetani!Kuna aliyeita kule CCM Kuna magroup mengi na Kuna kazi za kufanya nenda huku
Mbowe na wenzake maji ya shingo, sasa wanatapatapa.
walidhani kuchezea amani ya nchi ni masihara!! ebo!!
Msabato uone hata aibu ulicho kiandika Kati ya Mbowe na serikali nani anatapatapa ???Aibuuu halafu unajiita mkristo tena SDA .Umeandika iliupewe 7000/- nakuomba hiyo 7000/- usije ukaileta Kanisani Jumamosi kama sadaka
 
Atakupiga ban mkuu
 
Mkuu kwani wasabato kwa unafiki huwajui? Ni Kama waandishi wa enzi za Yesu na Mafarisayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…