Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

huyu Athma alindwe, mahakama inaweza kumuita aje kutoa ushahidi kama itaona ni vyema.
Mahakama huwa haiti mtu kuwa shahidi- ama anaitwa na upande wa mashtaka au wa utetezi
 
Mallya: Kuna Taarifa tunayo tangu tuseme Kuwa Kuna Mashahidi ambao wapo Jeshini, Wapo Wanajeshi wawili wameshaitwa Kutishiwa wasije kutoa Ushahidi.
Ni nani anawatishia wanajeshi? anafahamu athari zake,? ni kweli mna Mamlaka lkn hapa mmeenda vibaya!!!
Serikali msituingize kwenye matatizo.... DPP withdraw hii kesi kuna jambo mnalipanda sasa litaleta very bad consequence muda si mrefu!!!
 
Oooh basi akae milele huko tujue mengi
Huoni watu wamepata nafasi ya kujua mengi kuhusiana na utendaji wa vyombo vyetu vya dola. Ni rahisi kumnyooshe kidole Kagame kumbe na sisi tumo!!
 
Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake.

=======



Jaji: ameshaingia Sasa

Kesi namba 16 Inatajwa

Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya Halfan Bwire,Adam Hassana Kasekwa (Adamoo), Mohammed Abdalah Ling'wenya na Freeman Aikael Mbowe

Watuhumiwa wanapandishwa Kuzimbani

Jaji: wakili wa Serikali

Robert Kidando
Abdallah Chavula
Nasoro Katuga
Easter Martin
Tulimanywa Majigo
Jenitreza Kitali

Wakili Peter Kibatala nayeye anatambulisha Orodha yake
Gaston Garubindi
Idd Msawanga
Bonifasia Mapunda
Evaresta Kisanga
Hadija Aron
Michael Mwangasa
Dickson Matata
John Mallya
Fredrick Kihwelo
Nashon Nkungu

Jaji: Wote Mpo tayari kuanza?

Pande zote Mbili wamesema wapo tayari

Jaji: niombe apande Shahidi wapili ambaye alikuwa bado ajamaliza Kutoa Ushahidi wake

Shahidi: anapanda Kizimbani

Kimyaaaaa Kidogo

Jaji:
wakili Nashon Nkungu

Nashon: ni kweli Kule Rau Madukani....

Jaji: aina hiyo ya Mswali Ndiyo inaletaga Utata

Nashoni: Ulipoluwa Madukani Ulikuwa unamuona Mshitakiwa wapili, Kweli si Kweli

Shahidi: Ni kweli
Nashon: Wakati tukio linatendeka ulikwepo.?

Shahidi: nilikwepo

Nashon: wakati tukio linatendeka Palikuwa na watu wengi wanashihudia.?

Shahidi: ndiyo palikuwa na watu wengi wanashuhudia

Nashon: Je hapa Mahakamani ulishawahibKuona Mtu yoyote aliyekuwa anashuhudia tukio

Shahidi: Hapana sijaona yoyote

Nashon: ulipokuwa Central Police Moshi, Je ulishuhudia taratibu za Kipolisi zilifanyika kama Kukuandikisha

Shahidi: Hapana Sijaiona

Nashon: Ulishawahi Kuona Detention Register Ya Mosho hapa Mahakamani.?

Shahidi: Hapana

Nashon: Kuna Shahidi alikuja anaitwa Detective Msemwa alisema aliwapokea Central Police Dar je Unamfahamu

Shahidi: Simfahamu

Nashon: Unasemaje kuhusu Maneno yake kuwa aliwapokea Central Police Dar,.Je unamfahamu.?

Shahidi: Simfahamu wala sijawahi Kufika Central Dar

Nashon: Unasemaje kuhusu Detention Register aliyokuja nayo hapa Mahakamani

Shahidi: sifahamu alitoa wapi

Nashon: Kuna sehemu yoyote katika Ile Detention Register ambayo amekuinyesha Ulisaini wakati wanakupokea

Shahidi: sikuona

Nashon: Wakati Dective Msemwa anatoa Ushahidi Anasema alikuwa na Afande Fatuma kama CRO incharge,Je ulishwa kumuina FATUMA hapa Mahakamani.?

Shahidi: Hapana

Nashon: ni Kweli Kwamba Wakati Mkiwa mnaelekea Mbweni walikwambia watakupoteza.?

Shahidi: Afande Goodluck aliniambia Tutakupoteza Kama Moses Lijenje

Jaji: alisema wakati gani

Shahidi: Wakati tunayoka Tazara kwenda Mbweni,Tukiwa kwenye Gari

Nashon: ulielewa nini Kwa Maneno tutakutupa..?

Shahidi: nilijua kuwa watanipoteza,Wataniua alafu hakuna atakaye jua nipo wapi

Nashon: nitakuwa sahihi Nikisema walikupa DEATH THREAT

Shahidi: ni sahihi kwa sababu niliona Moses tulikuwa naye Kweli Rau Madukani alafu ajulikani alipo na wala hatupo naye,nikajua wamemuua na watanifanyia kama yeye nilijisikia Vibaya

Jaji: je Wakili wa Mshitakiwa watatu Fredrick Kihwelo

Jaji: je Mawakili wa serikali Mnaona ni sawa

Fredrick Kihwelo: Sitokuwa na Swali Mheshimiwa Jaji

Jaji: je ni sahihi kwa yeye kuuliza swali kabla hatujafika kama atauliza au lah

Fredrick Kihwelo: nimeamua Kujinyima Haki Mheshimiwa

Jaj: sawa Wakili wa Mshitakiwa wa Nne

Kibatala: Kitendo cha Kugongwa gongwa na Bastola na kukwambia watakutupa,Je tishio liliongezeka Moyoni Mwako kutokana na yalivyo kuwa yameshatokea kabla..?

Shahidi: Hofu ilizidi kuwa Kubwa Kufuatia Kilichokuwa Kimeshatendeka Moshi

Kibatala: Moses Lijenje unamfahamu wakati unaambiwa hayo maneno

Shahidi: Ndiyo nilikuwa namfahamu tulikuwa naye pale Rau Madukani

Kibatala: haiba yake ni nani

Shahidi: alikuwa Mwanajeshi Wa 92 KJ lakini wakati yeye akiwa Mwanajeshi pale mimi nilikuwa bado sijaanza kazi

Kibatala Wakati kesi inaendelea hapa Uliwahi Kusikia kuwa nayeye ni Mshitakiwa.?

Shahidi: Hapana

Kibatala: Ulishawahi Kusikia kuwa watamleta baadae

Shahidi: Hapana

Kibatala: Pale Rau Moshi Mkiwa Pale,hawa wakati wanamkamata Adamoo ulisikia Askari yoyote anasema ana HATI YA UKAMATAJI

Shahidi: Hapana

Kibatala: Wakati unaingilia Ukamataji wa Adamoo,Uliskia Askari Polisi yoyote hasa Kingai Kuwa Tafadahali Usiingilie zoezi la Ukamataji , Kwa sababu za Kisheria.?

Shahidi: Hapana sijasikia

Kibatala: Uliwahi Kumsikia hapa Mahakamani Kingai ametoa Warrant of Arrest (Hati ya Ukamataji)

Shahidi: Hapana

Kibatala: Wakati wa Ushahidi Mahita alisema Kingai ndiyo alikuwa akiongozi wao

Shahidi: Ndiyo nilimsikia

Kibatala: Kingai tangu wanatoka Arusha walisema walikuwa wanafahamu wanaenda Kumkamata Adamoo kwa Tuhuma za Ugaidi

Shahidi: Ndiyo nilisikia hivyo

Kibatala: lakini alipokuja hapa alishawahi Kutoa Ruhusa ya Mahakama kwamba wanaenda Kumfanyia Adamoo kitu fulani.?

Shahidi: Hapana Sikusikia

Kibatala: Adamoo alitekwa au Alikamatwa

Shahidi: alitekwa

Kibatala: Kwanini ulikumbuoa mambo ya Rau Madukani Mpaka Maduka ya Mtu na Mpaka Majina ya ya Mwenye Duka

Shahidi: Mimi ndiye niliyemshauri Adamoo twende pale kwa Sababu nilikuwa na Dada yangu na pale ni sehemu ya familia

Kibatala: Umeweza Kufafanua Mpala kutuchorea picha Kwasababu ni Mambo uliyowahi kuyaishi

Wakili wa Serikali: OBJECTION Shahidi ajasema kuwa amewahi Kuishi Rau Madukani

Kibatala: sijasema ameishi Rau Madukani, Nimesema ameeleza Kwa sababu Maelezo yake ameyaishi

Jaji: wakili wa Serikali

Wakili wa Serikali: hilo neno kuyaishi Mbeleni linawezakutumika Vibaya

Jaji: Kibatala

Kibatala: Wacha nibadirishe swali kwa Sababu ya Muda

Kibatala: Wakati Kingai anasema aliwakuta Kwenye kibanda Umiza alitaja Jina.?

Shahidi: Hakutaja Jina

Kibatala: tofauti na Kingai,Wewe umetaja Mpaka Jina

Shahidi: nimetaja Mpaka Jina

Wakili Kibatala: nilisikiabkuwa wakati Unakamatwa ulitoa Vitu Vyako ukaweka Kwenye Kibaraza cha huyo Dada,Nilisikia Vizuri.?

Shahidi: upo sahihi

Kibatala: Je ungejisikia Vizuri kama yule Dada angekwepo wakati wa Ukamataji wako kwa Sababu alikwepo Dukani

Shahidi: Ndiyo ningepata Amani zaidi kama angekuwa Shaidi

Jaji: jana Ulisema Adamoo amekamatiwa wapia

Shahidi: Kati kati ya Glocery na Flemu za Madukani

Jaji: unaweza sasa Kuendelea Kumjibu wakili

Shahidi: Ndiyo ningejisikia Vizuri kama Dada yangu angekwepo

Jaji: unamaanisha Athma

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Wakati wanamshambulia Adamoo hao Askari walikuwa na Silaha

Shahidi: hawakuwa na Silaha,labda wa Nje Kwa sababu katika Ukamataji kwa ufahamu wangu kuna "Inn and Outer" labda walifunga Nje ndiyo walikuwa wamezunguka eneo lile au waliokuja baadae

Kibatala: kwanini unasema Adamoo hakuwa na Bastola wakati wa Ukamataji kwa uhakika

Shahidi: kwa sababu Adamoo nimesafiri naye,Nimelala naye Chumba Kimoja na Tukatoka kuja wote kwa Dada yangu. na Koti ndiyo alikuwa ametoka Kulinunua

Kibatala: Kwa Ufahamu wako ile Bastola imetoka kwa nani.?

Shahidi: kwa Jumanne,Ndiye aliyesema ana bastola na watu walikuwa wamejaa Sana

Kibatala: kwa Ulivyoshuhudia Ule siyo Ukamataji ni Ugomvi

Shahidi: siyo Ukamataji ni Ugomvi

Kibatala: Shahidi umesema Jumanne alimuweka Adamoo Madawa,ulijuaje kuwa yale ni Madawa

Shahidi: kwa sababuJumanne ndiye aliye tamka kama alivyo tanka anapistol ndiyo alitamka Ana madawa

Kibatala: kwanini unaamini Adamoo hakuwa na Madawa ya Kulevya

Shahidi: Mimi ndiye niliyemshauri Adamoo twende pale kwa Sababu nilikuwa na Dada yangu na pale ni sehemu ya familia

Kibatala: Umeweza Kufafanua Mpala kutuchorea picha Kwasababu ni Mambo uliyowahi kuyaishi

Wakili wa Serikali: OBJECTION Shahidi ajasema kuwa amewahi Kuishi Rau Madukani

Kibatala: sijasema ameishi Rau Madukani, Nimesema ameeleza Kwa sababu Maelezo yake ameyaishi

Jaji: wakili wa Serikali

Wakili wa Serikali: hilo neno kuyaishi Mbeleni linawezakutumika Vibaya

Jaji: Kibatala

Wacha nibadirishe swali kwa Sababu ya Muda

Kibatala: Wakati Kingai anasema aliwakuta Kwenye kibanda Umiza alitaja Jina.?

Shahidi: Hakutaja Jina

Kibatala: tofauti na Kingai,Wewe umetaja Mpaka Jina

Shahidi: nimetaja Mpaka Jina

Wakili Kibatala :nilisikiabkuwa wakati Unakamatwa ulitoa Vitu Vyako ukaweka Kwenye Kibaraza cha huyo Dada,Nilisikia Vizuri.?

Shahidi: upo sahihi

Kibatala: Je ungejisikia Vizuri kama yule Dada angekwepo wakati wa Ukamataji wako kwa Sababu alikwepo Dukani

Shahidi: Ndiyo ningepata Amani zaidi kama angekuwa Shaidi

Jaji: jana Ulisema Adamoo amekamatiwa wapia

Shahidi: Kati kati ya Glocery na Flemu za Madukani

Jaji: unaweza sasa Kuendelea Kumjibu wakili

Shahidi: Ndiyo ningejisikia Vizuri kama Dada yangu angekwepo

Jaji: unamaanisha Athma

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Wakati wanamshambulia Adamoo hao Askari walikuwa na Silaha

Shahidi: hawakuwa na Silaha, labda wa Nje Kwa sababu katika Ukamataji kwa ufahamu wangu kuna "Inn and Outer" labda walifunga Nje ndiyo walikuwa wamezunguka eneo lile au waliokuja baadae

Kibatala: kwanini unasema Adamoo hakuwa na Bastola wakati wa Ukamataji kwa uhakika

Shahidi: kwa sababu Adamoo nimesafiri naye,Nimelala naye Chumba Kimoja na Tukatoka kuja wote kwa Dada yangu. na Koti ndiyo alikuwa ametoka Kulinunua

Kibatala: Kwa Ufahamu wako ile Bastola imetoka kwa nani.?

Shahidi: kwa Jumanne,Ndiye aliyesema ana bastola na watu walikuwa wamejaa Sana

Kibatala: kwa Ulivyoshuhudia Ule siyo Ukamataji ni Ugomvi

Shahidi: siyo Ukamataji ni Ugomvi

kibatala: Shahidi umsema Jumanne alimuweka Adamoo Madawa,ulijuaje kuwa yale ni Madawa

Shahidi: kwa sababuJumanne ndiye aliye tamka kama alivyo tanka anapistol ndiyo alitamka Anamadawa

Kibatala: kwanininunaamini Adamoo hakuwa na Madawa ya Kulevya

Shahidi: kwa sababu Adamoo nilikuwa naye kwa kila hatua na alikuwa Mgeni kule Moshi, Ndiyo maana nilimpeleka kwenda Kumtembelea Dada Yangu

Kibatala: Unasemaje Madai ya Mahita kuwa walipowakamata walianza Kuwachukua Muwatembeze Maeneo Mbali kamaViongoza Njia katika Kumtafuta Lijenje

Shahidi: Ni Uongo

Kibatala: husianisha Sasa Swala la Ugeni wa Adamoo na jambo la Mahita kwamba aliwatumia kama Viongoza Njia

Shahidi: ni Uongo kwa sababu Adamoo alikuwa Mgeni afahamu eneo Lolote

Wakili wa Serikali: OBJECTION Shahidi anaulizwa Maswali yanayompeleka Kutoa Opinioni zake, Jambo hili ni Kinyume na Sheria ya Ushahidi

Jaji: unaweza Kusoma hicho Kifungu

Wakili wa Serikali ,anasoma.................

Jaji: Kulingana na Ulichokisoma umaanisha nini kwa neno Persive

Jaji: Kibatala Kama kweli angerejea sheria angetumia Kifungu cha 62 (c) kwa Maoni yangu Shahidi anaulizwa Perception yake yeye,Very strait

Jaji: wakili wa Serikali Sisi tunaendelea Kusisitiza Hilo swali lisiruhusiwe, Kwenye Ushahidi tunaona ni Jambo ambalo si sawa

Jaji, nimewasikiliza pande zote Mbili mimi naona Kuwa Kifungu cha 62 (c) kinaruhusu Shahidi Kutoa Mtazamonwake Kuhusu Jambo analoyolea Ushahidi

kibatala: haya elezea Sasa Unahusinisha Vipi Ugenibwa Adamoo na Maelezo ya Mahita ya kuwatumia kama Viongoza njia

Shahidi: Ni Uongo Adamoo alikuwa Mageni Moshi tulifika Sikubya kwanza, Siku ya Pili,siku ya tatu tunakamatwa

Kibatala: Kingai anasema aliwachukua wadada wawili Mpaka Central Kwenda Kutoa Maelezo je ulishihudia.?

Shahidi: Sikushuhudia

Kibatala:Je Wallet yako na Simu yako Ulisikia Afande Kingai au Mahita kuwa Vifaa Hivyo viliingizwa Kwenye Register Moshi.?

Shahidi:Sikusikia

Kibatala: Mashahidi hao wawili pia walizungumzia Hati ya Uchukuaji wa Vielelezo CERTIFICATE OF SEIZURE je ulisikia

Jaji: Kiswahili Chake Kikosawa

Jaji: tafiri iwe Hati ya Kuhodhi Mali

Kibatala: Ulisikia Kuwa Pistol,Madawa ya Kulevya na Vitu vyako ulisikia kama Viliingizwa kwenye Hati ya Kuhodhi Mali

Shahidi: Sikusikia

Kibatala: Bila shaka Kile kitabu cha Komito Unacho,Je umewahi Kuona Mle Kuna Sehemu yoyote Imeandikwa kuhusu Madawa ya Kulevya

Shahidi: Hapana Hakuna na sijaona

Kibatala: Moaka Leo unatoa Ushahidi hapa Mahakamani uliwahi kusikia au Kuona Adamoo alipatatikana na Madawa ya Kulevya.?

Shahidi: Sijawa Kusikia wala Kuona

Kibatala: Uliwahi Kushuhudia Kuwa Adamoo wamemchukua Sampuli ya mwili wake kwa ajili ya Kwenda Kupima utumiaji wa Madawa ya Kulevya

Shahidi: sijawahi kuona

Kibatala: Uliwahi Kushudia Adamoo akipewa hati ya kumiliki Mali

Shahidi: sikuwahi Kushahidi

Kibatala: uliwahi Kupewa hati ya Kumiliki Mali

Shahidi: Hapana sijawahi

Kibatala: Uliwahi Kushudua Adamoo akipewa nafasi wa Kushuhudia wakatibakitoa Maelezo pale Moshi

Shahidi: Hapana sijawahi

Kibatala:Uliwahi wewe Kupewa nafasi ya Kumyita Shahidi wa Kushudia wakati Ukitoa Maelezo

Shahidi: Hapana

Kibatala: Unauhakika gani Kuwa Adamoo alifanyiwa Mateso akiwa Moshi Polisi Central Station

Shahidi: niliwahi Kumuona Adamoo akiwa anaburutwa,na Baadae wakawahi Kunipiga Kitambaa,lakini nilishawahi Kuona

Kibatala: hayo yanaweza Kuwa ni Matokeo ya Adamoo Kuteswa ,Je ulishuhudia Vipi kuwa Adamoo anateswa

Shahidi: Nilislia Kilio cha Adamoo kwa Sababu Sauti ya Adamoo naijua nilikuwa mwalimu wake katika kozi za Ukomandoo,Nilikuwa namuita Sauti ya Zege tangubakiwa Mwanafunzi wangu 92 KJ

Kibatala: kumbe wewe ni Mwalimu wa Adamoo.?

Shahidi: Ndiyo Mwalimu Mzuri sana

Kibatala: Ukiwa kama Mwalimubwa Adamoo ulishawahi Kusikia anatumia Madawa ya Kulevya

Shahidi: Hapana

Kibatala: ungesikia Adamoo anatumia Madawa Ya Kulevya wakati Mkiwa Jeshini Utaratibu unakuwaje

Shahidi: hayo ni Mambo yakushughulikiwa na Millitary Police

Kibatal:a Mwambie Mheshimiwa Jaji jambo Lingine unalothibitsha kuwa yale Mateso yalikuwa ni ya Adamoo

Shahidi: kwa sababu hata tulipokuwa Cello tuliongea akaniambia ,poa tuh ila mikazo tuh,Nikamwambia na Mimi hivyohivyo,Ila navumilia

Jaji: Unaposema Poa ila Nikazo maana yake nini.?

Shahidi: Kwamba tumeumia ila tunajitahdi Kuvumilia

Kibatala: nakutoa Moshi nataka kwenda Kwenye kusafiri nilisikia unasema wewe ulisafiri na Adamoo kwenye gari Moja

Jaji: ni kweli ulisema wewe na Adamoo mlisafiri kwa gari Moja.?

Shahidi: hapana sifahamu nilihisi tuh kwa sababu sikuona

kibatala: Sasakwa Ufahamu wako wa Kawaida Ulisafiri naye au hukusafiri naye

Shahidi: kama nilivyosema sikuona akipanda ila niliskia Nyuma Buti limefungukiwa anakapndishwa Mtu,Kwa fahamu zangu naweza Kusema tulisafiri naye

Kibatala: katika hisia za Kusafiri naye hapohapo ni kweli Kwamba Gari ilisimama.Sehemu mkala

Shahidi:Hapana ni Uongo

Kibatala: kwamba Gari mkiharibika Mkasimama na Kubadili gari nikweli Usingefahamu..?

Shahidi: Nisingefahamu Japo kuwa nilikuwa nimefungwa Kitambaa,Kakini gari ikisimama nafahamu

Kibatala: Kumbukumbu yako Wakati Shahidi anawapokea Pale Central alisema aliwapokea Kwenye gari Moja.?

Shahidi: kwa Kumbukumbu zangu alisema tulifika pamoja

Shahidi: Kwa Mkupuo mmoja

Kibatala: je kwa mkupo Mmoja au Tofauti Tofauti.?

Kwa Ufahamu wako Nani alikuwa anawapa wenzie Amri tangu huko Moshi

Shahidi: Kingai

Kibatala: Umefanya kazi Jeshini,Mwambie Mheshimiwa JajibKwenye Msafara pakiwa na Senior Officer na Junior Officer Inawezekana vipi Junior Officer Kutoa Amri.?

Kibatala: Inaezekana Vipi Shahidi watatu kwa Maneno yake kwamba alikabidhiwa Watuhumiwa na Junior Officer wakati Kingai Alikwepo

Shahidi: haiwezekani

Shahidi: Haiwezekani,Kwa sababu Kingai alitakiwa kutukabidhisha kwa sababu alikwepo

kibatala: Ulisikia akisema alipokea Chochote kile ili akiingize kama Kidhibiti kwa Kujibu wa sheria

Shahidi: Sikumsikia

Shahidi: Hapana sikusikia

Kibatala: Rudi Tazara ACP kingai alikiri Kuwa Mlienda Mbweni ila hamkwenda Tazara,Je unathibitishaje kuwa Mlienda Tazara

Shahidi: Natihibitisha kwa sababu nilimuona Alex na Chuma Chungulu ambao nilikuwa nao Jeshini,Nathibitisha kwamba Ilikuwa Tazara

Kibatala: Ulijisikiaje safaribyote Kutoka Moshi Mpaka Dar es salaam Ukiwa Umefungwa Pingu

Shahidi: Nilijisikia Vibaya

Kibatala: na Ukahisi nini

Shahidi: Mateso

kibatala: kwa Ufahamu wako Umesema ulipokuwa Tazara ulishuhudia nani alikuwa ametoka kuteswa.?

Shahidi: Denis Urio

Kibatala: Kwenye Kitabu Cha Komito ulimuona ni Shahidi wangapi wa Mashtaka

Shahidi: Shahidi wa Tatu

Kibatala: Urio aliwahi Kukutembele Gerezani ujue kuwa Yupo huru.?

Shahidi Hapana

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: na Unamfahamu Vizuri Denis Urio

Shahidi: Ndiyo ni Mwalimu wangu kabisa wakati naingia Jeshini,na mimeishi naye achumba Kimoja Nikowa kwenye Misheni DARFUR SUDAN

kibatala: uliwahi kwenda sudani na Wapi Kwa Misheni za Kikazi

Shahidi: CONGO

kibatala: unathibitisha Vipi Kwamba Mwenzako Adamoo alikwepo Tazara

Kibatala: Nakutoa Tazara nakurudisha Mbweni,Kuna sehemu unasema Kuwa Ulimuona Kuwa Kingai alikuwa ameingia Kuna kachumba Fulani

Shahhid: Baada ya Mahabusu wenzangu Kusema Mwenzako yupo,Niliita Adamoooooo na akaitaika

Jaji: wapi

Kibatala: Mbweni

Shahidi: palikuwa na Vyumba Vitatu,Mimi niliwekwa kwanza kwenye Chumba cha Kwanza, Kingai akaingia kwenye Chumba Kinachofuata

Jaji: Subiri Kidogo

Jaji: Subiri Kidogo

Jaji :Ukamuona Kingai naingia

Shahidi: Kingai alipoingia akapitiliza Mlangowa Chumba cha Pili, Mimi nilikuwa Chumba cha kwanza Nipo na Jumanne

Kibatala: Goodluck alikuwa ameshika Kitu chochote

Shahidi: alikuwa ameshika Bastola

Kibatala: Kwa Uelewa wako Batola ilikuwa na maana gani

Shahidi: ilikuwa kunitishia na Kutaka kunifanyia Kitendo chochote,kama alivyosema Kunitupa

Nikiwa palepale nilimuona alikuwa Adamoo akitolewa katika Kile Chumba

Kibatala: alikuwa na hali gani

Shahidi: alikuwa amechoka sana na hajala

Kibatala: Ulijuaje kama hajala

Shahidi: Kama mimi sikuwa nakula nayeye pia alikuwa ajala

Kibatala: Hukula kwa siku ngapi

Shahidi: Sikuwa nimekula kwa Muda wa siku 10 Kuanzia tarehe 09 Mpaka tarehe 08 tarehe 09 Mpaka 19 Mwezi wa Nane,Chakula tulienda Kupewa Mahakamani

Kibatala: Inakuwaje Mtu akae Siku zote hizo bila Chakula

Shahidi: walikuwa wanawahudumia Mahabusu Wengine

Jaji:Mahakamani nani alikupa Chakula Mahakamani

Shahidi: Afande Goodluck alileta Ugali na Dagaa na hapo tulishakuwa wengi tayari

Kibatala: inakuwa Ngumu mimi kuamini Kuwa hukula kwa siku 10te 10

Shahidi: Ndiyo ni kweli sikula Chakula

Kibatala: Je maji

Shahidi: Chumba Changu Cha Mahabusu palikuwa na Bomba la maji ndiyo kilichonisaidia

kibatala: ukisema Chakula unamanisha nini.?

Shahidi: Chakula cha Mahabusu,kama wenzetu maana walikuwa Wanatuambia kuwa hawahusiki na sisi Chakula Chao wanawapa Mahabusu wao tuh

Kibatala: Sasa Ikawaje

Shahidi: Yule Afande sasa tuliyejenga naye Urafiki ndiyo alikuwa ananiletea Biscuit na Soda ua Maji special na Pia nilikuwa namuomba ampe Maagizo Adamoo

kibatala: Sasa tunaenda Sawa

Kibatala: Wakati wote Umefungwa Pingu ,ilikuwa Rahisi au Ugumu kiasi gani wakati wa kujisaidia

Shahidi:. .... .... ....

Kibatala: Asante Mheshimiwa Jaji nilikuwa nazingatia hilo

Jaji: Wakati tunasubiri Majibu ya shahidi,Nashauri tujikite sasa kwenye nini hasa Kilitokea wakati wa akumvhujua Maelezo Mashtakiwa wa Pili,

Kibatala: Wakati wote Mkiwa rumande Mwambie Mheshimiwa Jaji kuwa kama Mlishawahi Kupelekwa Hospotali

Shahidi: Hapana

Kibatala: ni hayo tuh Mheshimiwa Jaji

Jaji:ninatumaini sijakuzuia

Kibatala: Hapana Mheshimiwa Jaji nimemeliza tuh

Jaji Naomba tubreak Kwa Dakika 15 Kwa Afya Zetu

Jaji anatoka Sa 4 na Dakika 54

Tumesharudi Mahakamani watu wote

Jaji ameshaingia

Kesi inatwajwa tena

Wakili wa Serikali:
Tupo tayari Kuendelea

Jaji: Utetezi Mpo tayari.?

Kibatala: Tupo tayari

Wakili wa Serikali: Chavula anaendelea

Jaji: Shahidi nakukumbusha Kuwa bado Upo Chini ya Kiapo

Wakili wa Serikali: Wewe ni Mohammed Abdilah Ling'wenya

Shahidi: Ndiyo

Wakili wa Serikali: wewe ni Komandoo

Shahidi: Ndiyo

Jaji: Umeacha Kuwa Komandoo

Mahakama Kicheko

Wakili wa Serikali: Ujeshi Ukomandoo haufutiki

Shahidi: Ndiyo ni sahihi

Wakili wa Serikali: Ukomandoo na Uanajeshi si unamsahrti yake.? yapi ya Kufanya na yapi siyo ya Kufanya

Shahidi: Rudia swali

Wakili wa Serikali: Ukomandoo na Uanajeshi si unamasharti yake.? Yapi ya Kufanya na yapi siyo ya Kufanya

Miiko inakufunga bado

Shahidi: Wakati nipo Kwenye Himaya ya Jeshi

Wakili wa Serikali: Kuna Miiko ya Kijeshi ya hutakiwi Kuongea

Shahidi: kama Yapi

Wakili wa Serikali: Wewe ndiyo utuambie

Shahidi: Wewe ndiyo umeyaleta Ndiyo Utuambie sasa

Wakili wa Serikali: Kwa hiyo kule Jeshimi si Kuna Miiko hata Ukimatila Jeshini utakiwi kuyaeleza

Shahidi: Siyo sahihi

Wakili wa Serikali: Ulipokuwa Jeshini kozi ya Komandoo ulikula Kiapo

Shahidi: Kiapo gani

Wakili wa Serikali: si Ulikula Kiapo,je nikiapo gani

Shahidi: Nitalitumiakia Jeshi Mpaka Kufa

Wakili wa Serikali: Ulikuwa unatumikia Jeshi Kwa Mambo gani

Wakili wa Serikali: Kingime lipi ulikuwa unafanya Jeshini

Shahidi: Kulinda Nchi,Kulinda ,Silaha,Vifaa na Amani ya Ndani na Nje ya Nchi

Shahidi: Force Keeping Congo

Jaji:Focrce Keeping Maana yake nini

Shahidi: tulikuwa tunaforce amani Congo

Jaji: unaw3leza Kutofautisha Peace Keeping na Peace Keeping

Shahidi: Moja Sudani Hatutakiwi Kupigana na Waasi Mpaka watuonyeshee silaha /Mtutu lakini Congo tulikuwa tunatoka tunaenda sehemu kama Tunguu kwa Maelezo kuwa yoyote tutakaye mkuta Tunapigana au Kumuua

Wakili wa Serikali: ni sahihi nikisema Kuwa yna Degree Sita za martial Arts

Wakili wa Serikali: kwa hiyo wewe Mwalimu gani ujui Martial Arsts,Wewe Unafundisha nini

Shahidi: Siyo sahihi

Shahidi Nafundisha kuruka na parashuti,Kupigana Juu ya Maji kwa kutumia silaha na Combats

Wakili wa Serikali kwa hiyo wewe unafahamu kupigana Karates

Shahidi nafahamu

Jaji: Naona Hamuelewani Wakili uliza kwa Yale Mambo ya kawaida hayo ni Mambo ya Kijeshi

Wakili wa Serikali: Nilifikiri ni Mwalimu atakiwa anajua Mambo yote

Wakili wa Serikali: Kipindi Cha Muda Gani ulitumia kujifunza Kupigana katares Mpaka ukaweza

Jaji: Ndiyo Mwalimubwa amambo ya Jeshi siyo Kiswahili

Shahidi: Miezi Sita ya Kozi,92K

Naomba tubreak Kwa Dakika 15 Kwa Afya Zetu

Jaji: anatoka Sa 4 na Dakika 54

Tumesharudi Mahakamani watu wote

Jaji: ameshaingi

Kesi: inatwajwa tena

Wakili wa Serikali: Tupo tayari Kuendelea

Jaji: Utetezi Mpo tayari.?

Kibatala: Tupo tayari

Wakili wa Serikali: Chavula anaendelea

Jaji: Shahidi nakukumbusha Kuwa bado Upo Chini ya Kiapo

Wakili wa Serikali: Wewe ni Mohammed Abdilah Ling'wenya

Shahidi: Ndiyo

Wakili wa Serikali: wewe ni Komandoo

Shahidi: Ndiyo

Jaji: Umeacha Kuwa Komandoo

Mahakama Kicheko

Wakili wa Serikali: Ujeshi Ukomandoo haufutiki

Shahidi: Ndiyo ni sahihi

Wakili wa Serikali: Ukomandoo na Uanajeshi si unamsahrti yake.? yapi ya Kufanya na yapi siyo ya Kufanya

Shahidi: Rudia swali

Wakili wa Serikali: Ukomandoo na Uanajeshi si unamsahrti yake.? yapi ya Kufanya na yapi siyo ya Kufanya

Miiko inakufunga bado

Shahidi: Wakati nipo Kwenye Himaya ya Jeshi

Wakili wa Serikali: Kuna Miiko ya Kijeshi ya hutakiwi Kuongea

Shahidi: kama Yapi

Wakili wa Serikali: Wewe ndiyo utuambie

Shahidi: Wewe ndiyo umeyaleta Ndiyo Utuambie sasa

Wakili wa Serikali: Kwa hiyo kule Jeshimi si Kuna Miiko hata Ukimatila Jeshini utakiwi kuyaeleza

Shahidi: Siyo sahihi

Wakili wa Serikali: Ulipokuwa Jeshini kozi ya Komandoo ulikula Kiapo

Shahidi: Kiapo gani

Wakili wa Serikali: si Ulikula Kiapo,je nikiapo gani

Shahidi: Nitalitumiakia Jeshi Mpaka Kufa

Wakili wa Serikali: Ulikuwa unatumikia Jeshi Kwa Mambo gani

Wakili wa Serikali: Kingime lipi ulikuwa unafanya Jeshini

Shahidi Kulinda Nchi,Kulinda ,Silaha,Vifaa na Amani ya Ndani na Nje ya Nchi

Shahidi Force Keeping Congo

Jaji: Focrce Keeping Maana yake nini

Shahidi: tulikuwa tunaforce amani Congo

Jaji: unaweleza Kutofautisha Peace Keeping na Peace Keeping

Shahidi: Moja Sudani Hatutakiwi Kupigana na Waasi Mpaka watuonyeshee silaha /Mtutu lakini Congo tulikuwa tunatoka tunaenda sehemu kama Tunguu kwa Maelezo kuwa yoyote tutakaye mkuta Tunapigana au Kumuua

Wakili wa Serikali: ni sahihi nikisema Kuwa yna Degree Sita za martial Arts

Wakili wa Serikali: kwa hiyo wewe Mwalimu gani ujui Martial Arsts,Wewe Unafundisha nini

Shahidi: Siyo sahihi

Shahidi: Nafundisha kuruka na parashuti,Kupigana Juu ya Maji kwa kutumia silaha na Combats

Wakili wa Serikali: kwa hiyo wewe unafahamu kupigana Karates

Shahidi: nafahamu

Jaji: Naona Hamuelewani Wakili uliza kwa Yale Mambo ya kawaida hayo ni Mambo ya Kijeshi

Wakili wa Serikali: Nilifikiri ni Mwalimu atakiwa anajua Mambo yote

Wakili wa Serikali: Kipindi Cha Muda Gani ulitumia kujifunza Kupigana katares Mpaka ukaweza

Jaji: Ndiyo Mwalimubwa amambo ya Jeshi siyo Kiswahili

Shahidi: Miezi Sita ya Kozi,92Kj

Wakili wa Serikali: Ulikaa Miezi sita 92KJ ukijifunza kupigana karates

Shahidi: Ndiyo

Wakili wa Serikali: Ulifanya Phase ngapi.?

Wakili wa serikali: ni sehmu Gani Nyingine ulienda Kupata Mafunzo ya karates

Shahidi: phase Moja,Mengine niliyapatia Mahala pengine

Shahidi: nilienda Kujifunza Kick Boxing kwa Wafaransa

Wakili wa Serikali: Kwa Miezi Mingapi

Shahidi: Miezi Mitatu

Wakili wa Serikali: Kozi Nyingine ilikuwa ni nini.?

Shahidi: Kuzuia Uharamia

Shahidi: Sijui wewe

Wakili wa Serikali: Uharamia ni nini

Jaji: tudaidie kama Unaufahamu wowote kwa sababu wengine hatujui ila tumesikia sikiasikia

Shahidi: kwanza Ni Navy kwa Maana kuna kupambana Majini

Shahidi: Mapigano kwenye Majumba

Wakili wa Serikali: Kozi Nyingine

Wakili wa Serikali: Kwa Muda gani

Wakili wa Serikali: Kwa Muda gani

Shahidi: Kwa Miezi Mitatu

Wakili wa Serikali: Kwenye Majumba mnakuwa Mnampiga nani

Shahidi: Jinsi ya Kumtoa Adui Kwenye Majumba

Wakili wa Serikali: hayo Mapigano ya kwenye Majumba ,ni yepi uliyojifunza,Mieleka,ngumi...

Shahidi: Kutumia Silaha

Wakili wa Serikali: Silaha Zipi

Shahidi Kisu,SMG

Wakili wa Serikali Pamoja na Panga

Shahidi: panga sijataja

Wakili wa Serikali: Kisu ulifundishwa namna ya Kukitumia

Shahidi: kisu nilifundishwa

Wakili wa Serikali: Kwa hiyo ulifundishwa kupigana kutumia Mikono

Shahidi: Mheshimiwa Jaji nimeshalijibu swali anarudia tena

Jaji: na mimi naona unarudia tena

Wakili wa Serikali: Hukufundishwa Kupambana na Maadui wako kwa Kutumia Miguu au Mikono

Shahidi: sikufundishwa

Wakili wa Serikali: Katila kozi ya wafaransa ulipata Kujifunza Kickboxing

Shahidi: Ndiyo

Wakili wa Serikali: Kwahiyo baada ya Mafunzo hayo unauwezo wa akukabiliana na Adui Mahala Popote anapotokea,Kweli au si Kweli

Shahidi: Kweli

Wakili wa Serikali: Kwa kuchukuliwa kufanya kazi 92KJ wewe Umeaminika Sana,Kweli au Si Kweli

Shahidi: Kweli

Wakili wa Serikali: Na Nidhamu yako ni Yajuu sana Kweli ama si Kweli

Shahidi: Si kweli

Jaji: Ndiyo

Wakili wa Serikali: ili ndani ya 92KJ uoate Bahati ya Kuwa Mwalimu,ni kwamba kwenye Mafunzo uliyopita Umefanya Vizuri kwa kiwango cha Juu

Wakili wa Serikali: kwa hiyo wewe ni Mahiri sana

Shahidi: Kweli

Shahidi: kwa Wastani

Wakili wa Serikali: Mafunzo ulikuwa umefaulu ukaambiwa kawafundishe wenzio

Shahidi: Sikuambiwa hivyo,Jina lilitoka kwenda Starter nikatakiwa kwenda Kuwa Mkufunzi

Wakili wa Serikali: Ili uwe Mkufunzi unatakiwa uwe na Sifa gani

Shahidi: sijuibwakubwa wenyewe, lakini wanakaa kikao na inatoka ORDER kuwa Jina limetoka Kuwa Mkufunzi

Wakili wa Serikali: Umekuwa Mwalimu kwa Muda gani

Shahidi: Mwaka Mmoja

Wakili wa Serikali: bila shaka uliokuwa unawafundisha ulikuwa na maelewano mazuri na wao

Wakili wa Serikali: na Bila shaka wanafunzi wako walifaulu Vizuri

Shahidi: Kweli

Shahidi: Ndiyo walifaulu

Wakili wa Serikali: na wengibwa wanafunzi wako Mlikuwa mkielewana sana

Shahidi: Ndiyo tulikuwa tunaelewana

Wakili wa Serikali: wengi wao walikuwa na upendo na wewe

Shahidi: Ndiyo

Wakili wa Serikali: Wale wanafunzi wako ukiachana na Adamoo Kuna waliokuja kukutembelea

Shahidi: hapa sijaona,ila walikuwa wanakuja Segerea

Wakili wa Serikali: Taja ni nani alikuwa anakuja kukutembelea

Shahidi: ni One Two One

Mallya: OBJECTION wakili anakoelekea Kutaka kutajana Majina ambayo tena ya wanajeshi,Wengine tulishaomba MAHAKAMA wale ambao Ni WANAJESHI wasitajwe Kwakuwa wapo kazini na Wengine Wapo Kwenye USHAHIDI

Wakili wa Serikali: Taja Majina yake,hapa Tupo Mahakamani lazima uwe na Nidhamu

Jaji: Kuna Mtu anataka Kurespond,

Wakili wa Serikali;: Shahidi amekuwa akitaka Wengine Kwa Majina sasa sioni tatizo kwa kutaja huyo anayemtembelea

Mallya: Kuna Taarifa tunayo tangu tuseme Kuwa Kuna Mashahidi ambao wapo Jeshini, Wapo Wanajeshi wawili wameshaitwa Kutishiwa wasije kutoa Ushahidi.

Jaji: Je Mallya unafikiri hao wakitaka Kujua wanafunzi wa Ling'wenya waliomtembelea Magereza watashindwa.?

Mallya: watashindwa,

Jaji: kwanini

Mallya: kwa sababu wanatumia Codes

Wakili wa Serikali: Naomba Nishauriane na wenzangu

Jaji: Ikibidi nihairishe kidogo mjipange

Wakili wa Serikali: Tuendelee Mheshimiwa hilo swali naliacha

Jaji: kabla Ujaliacha tuambie kwanza ,Kuna Umuhimu wa hayo Majina

Wakili wa Serikali: Hapana Mheshimiwa

Wakili wa Serikali: Ile Kombania uliyokuwa unamfundisha Adamoo ilikuwa na Kombania ngapi

Shahidi: Sisi hatuna Kombania tunaita Squad room

Wakili wa Serikali: Kwa ile ya Adamoo ilikuwa na Watu wangapi

Shahidi: na watu 60

Wakili wa Serikali: Siyo wanajeshi wote wanaoingia 92KJ kweli si kweli

Shahidi: Nyoosha swali Vizuri

Wakili wa Serikali: Ili Mtu aingie 92 KJ unatakiwa Uwe na Sifa Maalum

Shahidi: Sielewi

Wakili wa Serikali: Sisi tulikuwa Makutopora wakakata Bogi la 92

Wakili wa Serikali Boginla Makutopora lishakatwa kuna Lipi linafanyika

Shahidi: Wanapimwa Afya

Wakili wa Serikali: kwa hiyo wanaoingia 92KJ Sifa Kuu Afya iwe Nzuri

Shahidi Ndiyo

Wakili wa Serikali: Baada ya Kufuzu Afya, kozi inaanza

Shahidi: inategemea

Wakili wa Serikali: We Umepiga Kipindi gani

Shahidi: Mwaka Mmoja na miezi nane

Wakili wa Serikali: kozi ilikuwa Ngumu sana au Nyepesi Kwako

Shahidi: Mheshimiwa Jaji siwezi Kusema Ngumu au Nyepesi kwa sababu Leo Mkipewa Ugumu kwenye Intro kesho mnapewa Mepesi kwenye Leki

Shahidi: Ndiyo

Wakili: ili uwe Mwalimu kwenye hiyo Kozi unatakiwa Uwe,Mkweli,Mtiifu,Mwenye nidhamu ya haki ya Juu

Wakili wa Serikali:
Kwa hiyo sifa hizo zote unazo

Shahidi:
siwezibKujua waliokaa wakanichagua

Wakili wa Serikali Kwa hiyi Kuna uwezekano Mtu akafuzu akawa hana hizo sifa

Shahidi: Imawezekana

Wakili wa Serikali:
na wewe unawezekana ukawa huna hizo sifa

Shahidi: inawezekana

Wakili wa Serikali: Jeshini Kuna Mahabusu.?

Shahidi: Ipo

Wakili wa Serikali:
Ile Mahabusu ya Kijeshi inasimamiwa na Nani.?

Shahidi: Military Police

Wakili wa Serikali
: sahihi kwamba wanaofanya Makosa na kuwekwa Mahabusu ya ya Kijeshi wanaweza Kuwekwa kwa muda wa siku 2 au Wiki 2

Shahidi: Unawekwa

Wakili wa Serikali:
Uwezi Kushtuka na siyo Ajabu ukiona Mtu kakaa Mahabusu Wiki Mbili,Kule Jeshini

Wakili wa Serikali:
Uwezi Kushtuka na siyo Ajabu ukiona Mtu kakaa Mahabusu Wiki Mbili,Kule Jeshini

Shahidi: Unawekwa

Wakili wa Serikali
: Vipi kuhusu chakula Ukiwa Mahabusu ya Jeshi

Shahidi: Unakula Resheni yako mara tatu kwa siku

Wakili wa Serikali:
Chakula Kinatoka wapi

Shahidi: Chakula cha Serikali ni Cha Jeshi

Wakili wa Serikali: Na wanaoleta Chakula ni MP tuh

Shahidi:
kwa kwetu KJ 92 Unachukuliwa na Kupelekwa Mess ukimaliza Kula unarudishwa Mahabusu

Shahidi: Kweli

Wakili wa Serikali: Utakubakiana na Mimi wanaowaletea Chakula ni wale Ma Mp wanaohusika na Mahabusu tuh

Wakili wa Serikali: Kwa Nidhamu ya Kwenye Majeshi wale wanaotunza wanajeshi Kuoe Mahabusu,hawana Nidhamu ya Kusema wale wanaletewa Chakula Nje ya wao wanaotunza Mahabusu

Shahidi:
Si kweli

Mimi kwa 92 KJ hatupo chini ya Ulinzi kwamba Utatorika kazini,Unachukuliwa Mahabusu wanakupeleka Mess ukimaliza Kula Unarudi Mahabusu

Wakili wa Serikali: kwa hiyo haiwezekani kupewa chakula Kutoka Nje

Wakili wa Serikali:
Chakula cha Nje ya Jeshi

Jaji: Shahidi kashaeleza utaratibu wa wa Chakula,unazungumzia Chakula cha Kutoka wapi

Shahidi: si elewi

Wakili wa Serikali:
nitakuwa sahihi nikisema Komandoo Mmoja anaweza kupambana Askari wasio wanajeshi 50
wasiokuwa Makomandoo zaidi ya 50

Shahidi: Si kweli

Wakili wa serikali
: komandoo anaweza Kukabiliana na Askari wangapi
Naona wakili wa serikali kaamua kuuliza mambo ya kijeshi tuu kaachana na maswali ya ugaidi[emoji102][emoji102]
 
Hili Gaidi lingeachiwa liendelee kumbe lingetuletea madhara makubwa sana bora vyombo vyetu vimelikabili.
na pia lilifanikiwa kupandikiza mbegu za kigaidi kwa wananchama wake.
nao wanapaswa wafuatiliwe nyendo zao.
😂😂😂😂 Nakuonea huruma Yani kwenye Uzi huu umecomment shombo zaidi ya Mara 3 Ila wanajukwaa wamekupuuza inauma Sana pole Sana
 
Oooh basi akae milele huko tujue mengi
Wanawake wengi wa JF wako vizuri sana upstairs, ila wewe si mmoja wao. Na katika hili, utanisamehe sana kama nitakua nimekukwaza.

Kama ungekua ndiyo wewe, ungekubali kukaa jela milele kwa kosa la kusingiziwa/kubambikiwa? Yaani uache familia yako, maisha yako mazuri uraiani, then ukaishi maisha ya mateso jela, kwa lengo tu la kujua mengi ya huko?
 
😂😂😂😂😂umepanic bahati nzuri sinaga shobo za kuitwa nipo vizuri upstairs kwa kifupi mie sio NYUMBU

Kama kasingiziwa mahakama itamuachia kwa sasa yupo jela so hajasingiziwa wala hajaonewa

NB:Hao wanajeshi waliotimuliwa jeshini mnawakusanya wa nini?
Wanawake wengi wa JF wako vizuri sana upstairs, ila wewe si mmoja wao. Na katika hili, utanisamehe sana kama nitakua nimekukwaza.

Kama ungekua ndiyo wewe, ungekubali kukaa jela milele kwa kosa la kusingiziwa/kubambikiwa? Yaani uache familia yako, maisha yako mazuri uraiani, then ukaishi maisha ya mateso jela, kwa lengo tu la kujua mengi ya huko?
 
Back
Top Bottom