Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Hapa mbona kama ume hide jibu mkuu....Kibatala: Wakati wote Umefungwa Pingu ,ilikuwa Rahisi au Ugumu kiasi gani wakati wa kujisaidia
Shahidi:. .... .... ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mbona kama ume hide jibu mkuu....Kibatala: Wakati wote Umefungwa Pingu ,ilikuwa Rahisi au Ugumu kiasi gani wakati wa kujisaidia
Shahidi:. .... .... ...
Nani aliyemkamata Mbowe? Na kusema ana ushahidi? Mi nashauri kwanza ondoa chuki. Uwe normal. Then andika kwa heshima za kiafrika na malezi mema. Inawezekana nisikubaliane na Magufuli ila nikabaki najiheshimu mimi hata kama yeye simweshimu.Tatizo inawezekana hata hujui hii kesi ni ya matukio ya Julai 2020. Sasa niambie nani alikuwa Rais 2020, mama au lile zee?
Mashujaa waliofukuzwa jeshini!!!Shukuruni Mungu mashujaa wa JWTZ wameamua kuwa watulivu. Wakiamua hivyo vijamaa vyenu vitalamba mchanga kwa kutumia vijambio
Au umesahau Hamza alichowatendea
Ushwahi ona shoga anatunza heshima yake???Nani aliyemkamata Mbowe? Na kusema ana ushahidi? Mi nashauri kwanza ondoa chuki. Uwe normal. Then andika kwa heshima za kiafrika na malezi mema. Inawezekana nisikubaliane na Magufuli ila nikabaki najiheshimu mimi hata kama yeye simweshimu.
Wakili wa serikali naona amepoteza dira Maskini!!Jaji: Naona Hamuelewani Wakili uliza kwa Yale Mambo ya kawaida hayo ni Mambo ya Kijeshi
Usikute huyu wakili wa serikali anataka kuihujumu Serikali, sasa haya maswali gani walahi?Komando ana mnyanyasa sana wakili wa Sirikali.View attachment 1956010View attachment 1956012
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia kubwa ya waliopita seminari au waliofikia ata hatua ya ufrater alafu wakaishia njiani wakarudi huku kwenye mishe za kijamii tu huwa wanaasili ya ugaidi ndani mwao we wafatirie tu utagundua hicho kituKwa hiyo Kingayi na wenzake wamemwua komandoo Linjenje!! Huenda Linjenje alikataa kukamatwa kama kuku, wakaamua wammalize! Mungu wa rehema, tunaomba, uipokee roho ya Linjenje, apumzike kwa amani, na wauaji wake walaanike Duniani na mbinguni.
Sasa naelewa kwa nini Hamza alifikia hatua ile. Hivi hili kweli ni Jeshi la Polisi au genge la wauaji na watesaji?
Siro, pamoja na kutokuendelea kufikia ngazi ya upadre, yale mafundisho ya dini, ukiwa mseminari, hayakuweza kukusaidia angalao kuwa tu muumini wa kawaida anayejitahidi kufuata maelekezo na mafundisho ya Mungu?
Hakika hawa wanastahili kufungwa jiwe la kusagia shingoni na kutupwa majini.
Alaanike sana kingayi kwa mauaji anayoyafanya. Haya ni machache tuliyobahatika kuyajua, lakini huenda kuna rundo la watu aliowaua.
Ninayo hofu ya mwisho wa kesi hii, nafsi inaniambia mwisho wake si haki ingawa jaji anaonekana kuwa poa.Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake.
=======
Jaji: ameshaingia Sasa
Kesi namba 16 Inatajwa
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya Halfan Bwire,Adam Hassana Kasekwa (Adamoo), Mohammed Abdalah Ling'wenya na Freeman Aikael Mbowe
Watuhumiwa wanapandishwa Kuzimbani
Jaji: wakili wa Serikali
Robert Kidando
Abdallah Chavula
Nasoro Katuga
Easter Martin
Tulimanywa Majigo
Jenitreza Kitali
Wakili Peter Kibatala nayeye anatambulisha Orodha yake
Gaston Garubindi
Idd Msawanga
Bonifasia Mapunda
Evaresta Kisanga
Hadija Aron
Michael Mwangasa
Dickson Matata
John Mallya
Fredrick Kihwelo
Nashon Nkungu
Jaji: Wote Mpo tayari kuanza?
Pande zote Mbili wamesema wapo tayari
Jaji: niombe apande Shahidi wapili ambaye alikuwa bado ajamaliza Kutoa Ushahidi wake
Shahidi: anapanda Kizimbani
Kimyaaaaa Kidogo
Jaji: wakili Nashon Nkungu
Nashon: ni kweli Kule Rau Madukani....
Jaji: aina hiyo ya Mswali Ndiyo inaletaga Utata
Nashoni: Ulipoluwa Madukani Ulikuwa unamuona Mshitakiwa wapili, Kweli si Kweli
Shahidi: Ni kweli
Nashon: Wakati tukio linatendeka ulikwepo.?
Shahidi: nilikwepo
Nashon: wakati tukio linatendeka Palikuwa na watu wengi wanashihudia.?
Shahidi: ndiyo palikuwa na watu wengi wanashuhudia
Nashon: Je hapa Mahakamani ulishawahibKuona Mtu yoyote aliyekuwa anashuhudia tukio
Shahidi: Hapana sijaona yoyote
Nashon: ulipokuwa Central Police Moshi, Je ulishuhudia taratibu za Kipolisi zilifanyika kama Kukuandikisha
Shahidi: Hapana Sijaiona
Nashon: Ulishawahi Kuona Detention Register Ya Mosho hapa Mahakamani.?
Shahidi: Hapana
Nashon: Kuna Shahidi alikuja anaitwa Detective Msemwa alisema aliwapokea Central Police Dar je Unamfahamu
Shahidi: Simfahamu
Nashon: Unasemaje kuhusu Maneno yake kuwa aliwapokea Central Police Dar,.Je unamfahamu.?
Shahidi: Simfahamu wala sijawahi Kufika Central Dar
Nashon: Unasemaje kuhusu Detention Register aliyokuja nayo hapa Mahakamani
Shahidi: sifahamu alitoa wapi
Nashon: Kuna sehemu yoyote katika Ile Detention Register ambayo amekuinyesha Ulisaini wakati wanakupokea
Shahidi: sikuona
Nashon: Wakati Dective Msemwa anatoa Ushahidi Anasema alikuwa na Afande Fatuma kama CRO incharge,Je ulishwa kumuina FATUMA hapa Mahakamani.?
Shahidi: Hapana
Nashon: ni Kweli Kwamba Wakati Mkiwa mnaelekea Mbweni walikwambia watakupoteza.?
Shahidi: Afande Goodluck aliniambia Tutakupoteza Kama Moses Lijenje
Jaji: alisema wakati gani
Shahidi: Wakati tunayoka Tazara kwenda Mbweni,Tukiwa kwenye Gari
Nashon: ulielewa nini Kwa Maneno tutakutupa..?
Shahidi: nilijua kuwa watanipoteza,Wataniua alafu hakuna atakaye jua nipo wapi
Nashon: nitakuwa sahihi Nikisema walikupa DEATH THREAT
Shahidi: ni sahihi kwa sababu niliona Moses tulikuwa naye Kweli Rau Madukani alafu ajulikani alipo na wala hatupo naye,nikajua wamemuua na watanifanyia kama yeye nilijisikia Vibaya
Jaji: je Wakili wa Mshitakiwa watatu Fredrick Kihwelo
Jaji: je Mawakili wa serikali Mnaona ni sawa
Fredrick Kihwelo: Sitokuwa na Swali Mheshimiwa Jaji
Jaji: je ni sahihi kwa yeye kuuliza swali kabla hatujafika kama atauliza au lah
Fredrick Kihwelo: nimeamua Kujinyima Haki Mheshimiwa
Jaj: sawa Wakili wa Mshitakiwa wa Nne
Kibatala: Kitendo cha Kugongwa gongwa na Bastola na kukwambia watakutupa,Je tishio liliongezeka Moyoni Mwako kutokana na yalivyo kuwa yameshatokea kabla..?
Shahidi: Hofu ilizidi kuwa Kubwa Kufuatia Kilichokuwa Kimeshatendeka Moshi
Kibatala: Moses Lijenje unamfahamu wakati unaambiwa hayo maneno
Shahidi: Ndiyo nilikuwa namfahamu tulikuwa naye pale Rau Madukani
Kibatala: haiba yake ni nani
Shahidi: alikuwa Mwanajeshi Wa 92 KJ lakini wakati yeye akiwa Mwanajeshi pale mimi nilikuwa bado sijaanza kazi
Kibatala Wakati kesi inaendelea hapa Uliwahi Kusikia kuwa nayeye ni Mshitakiwa.?
Shahidi: Hapana
Kibatala: Ulishawahi Kusikia kuwa watamleta baadae
Shahidi: Hapana
Kibatala: Pale Rau Moshi Mkiwa Pale,hawa wakati wanamkamata Adamoo ulisikia Askari yoyote anasema ana HATI YA UKAMATAJI
Shahidi: Hapana
Kibatala: Wakati unaingilia Ukamataji wa Adamoo,Uliskia Askari Polisi yoyote hasa Kingai Kuwa Tafadahali Usiingilie zoezi la Ukamataji , Kwa sababu za Kisheria.?
Shahidi: Hapana sijasikia
Kibatala: Uliwahi Kumsikia hapa Mahakamani Kingai ametoa Warrant of Arrest (Hati ya Ukamataji)
Shahidi: Hapana
Kibatala: Wakati wa Ushahidi Mahita alisema Kingai ndiyo alikuwa akiongozi wao
Shahidi: Ndiyo nilimsikia
Kibatala: Kingai tangu wanatoka Arusha walisema walikuwa wanafahamu wanaenda Kumkamata Adamoo kwa Tuhuma za Ugaidi
Shahidi: Ndiyo nilisikia hivyo
Kibatala: lakini alipokuja hapa alishawahi Kutoa Ruhusa ya Mahakama kwamba wanaenda Kumfanyia Adamoo kitu fulani.?
Shahidi: Hapana Sikusikia
Kibatala: Adamoo alitekwa au Alikamatwa
Shahidi: alitekwa
Kibatala: Kwanini ulikumbuoa mambo ya Rau Madukani Mpaka Maduka ya Mtu na Mpaka Majina ya ya Mwenye Duka
Shahidi: Mimi ndiye niliyemshauri Adamoo twende pale kwa Sababu nilikuwa na Dada yangu na pale ni sehemu ya familia
Kibatala: Umeweza Kufafanua Mpala kutuchorea picha Kwasababu ni Mambo uliyowahi kuyaishi
Wakili wa Serikali: OBJECTION Shahidi ajasema kuwa amewahi Kuishi Rau Madukani
Kibatala: sijasema ameishi Rau Madukani, Nimesema ameeleza Kwa sababu Maelezo yake ameyaishi
Jaji: wakili wa Serikali
Wakili wa Serikali: hilo neno kuyaishi Mbeleni linawezakutumika Vibaya
Jaji: Kibatala
Kibatala: Wacha nibadirishe swali kwa Sababu ya Muda
Kibatala: Wakati Kingai anasema aliwakuta Kwenye kibanda Umiza alitaja Jina.?
Shahidi: Hakutaja Jina
Kibatala: tofauti na Kingai,Wewe umetaja Mpaka Jina
Shahidi: nimetaja Mpaka Jina
Wakili Kibatala: nilisikiabkuwa wakati Unakamatwa ulitoa Vitu Vyako ukaweka Kwenye Kibaraza cha huyo Dada,Nilisikia Vizuri.?
Shahidi: upo sahihi
Kibatala: Je ungejisikia Vizuri kama yule Dada angekwepo wakati wa Ukamataji wako kwa Sababu alikwepo Dukani
Shahidi: Ndiyo ningepata Amani zaidi kama angekuwa Shaidi
Jaji: jana Ulisema Adamoo amekamatiwa wapia
Shahidi: Kati kati ya Glocery na Flemu za Madukani
Jaji: unaweza sasa Kuendelea Kumjibu wakili
Shahidi: Ndiyo ningejisikia Vizuri kama Dada yangu angekwepo
Jaji: unamaanisha Athma
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Wakati wanamshambulia Adamoo hao Askari walikuwa na Silaha
Shahidi: hawakuwa na Silaha,labda wa Nje Kwa sababu katika Ukamataji kwa ufahamu wangu kuna "Inn and Outer" labda walifunga Nje ndiyo walikuwa wamezunguka eneo lile au waliokuja baadae
Kibatala: kwanini unasema Adamoo hakuwa na Bastola wakati wa Ukamataji kwa uhakika
Shahidi: kwa sababu Adamoo nimesafiri naye,Nimelala naye Chumba Kimoja na Tukatoka kuja wote kwa Dada yangu. na Koti ndiyo alikuwa ametoka Kulinunua
Kibatala: Kwa Ufahamu wako ile Bastola imetoka kwa nani.?
Shahidi: kwa Jumanne,Ndiye aliyesema ana bastola na watu walikuwa wamejaa Sana
Kibatala: kwa Ulivyoshuhudia Ule siyo Ukamataji ni Ugomvi
Shahidi: siyo Ukamataji ni Ugomvi
Kibatala: Shahidi umesema Jumanne alimuweka Adamoo Madawa,ulijuaje kuwa yale ni Madawa
Shahidi: kwa sababuJumanne ndiye aliye tamka kama alivyo tanka anapistol ndiyo alitamka Ana madawa
Kibatala: kwanini unaamini Adamoo hakuwa na Madawa ya Kulevya
Shahidi: Mimi ndiye niliyemshauri Adamoo twende pale kwa Sababu nilikuwa na Dada yangu na pale ni sehemu ya familia
Kibatala: Umeweza Kufafanua Mpala kutuchorea picha Kwasababu ni Mambo uliyowahi kuyaishi
Wakili wa Serikali: OBJECTION Shahidi ajasema kuwa amewahi Kuishi Rau Madukani
Kibatala: sijasema ameishi Rau Madukani, Nimesema ameeleza Kwa sababu Maelezo yake ameyaishi
Jaji: wakili wa Serikali
Wakili wa Serikali: hilo neno kuyaishi Mbeleni linawezakutumika Vibaya
Jaji: Kibatala
Wacha nibadirishe swali kwa Sababu ya Muda
Kibatala: Wakati Kingai anasema aliwakuta Kwenye kibanda Umiza alitaja Jina.?
Shahidi: Hakutaja Jina
Kibatala: tofauti na Kingai,Wewe umetaja Mpaka Jina
Shahidi: nimetaja Mpaka Jina
Wakili Kibatala :nilisikiabkuwa wakati Unakamatwa ulitoa Vitu Vyako ukaweka Kwenye Kibaraza cha huyo Dada,Nilisikia Vizuri.?
Shahidi: upo sahihi
Kibatala: Je ungejisikia Vizuri kama yule Dada angekwepo wakati wa Ukamataji wako kwa Sababu alikwepo Dukani
Shahidi: Ndiyo ningepata Amani zaidi kama angekuwa Shaidi
Jaji: jana Ulisema Adamoo amekamatiwa wapia
Shahidi: Kati kati ya Glocery na Flemu za Madukani
Jaji: unaweza sasa Kuendelea Kumjibu wakili
Shahidi: Ndiyo ningejisikia Vizuri kama Dada yangu angekwepo
Jaji: unamaanisha Athma
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Wakati wanamshambulia Adamoo hao Askari walikuwa na Silaha
Shahidi: hawakuwa na Silaha, labda wa Nje Kwa sababu katika Ukamataji kwa ufahamu wangu kuna "Inn and Outer" labda walifunga Nje ndiyo walikuwa wamezunguka eneo lile au waliokuja baadae
Kibatala: kwanini unasema Adamoo hakuwa na Bastola wakati wa Ukamataji kwa uhakika
Shahidi: kwa sababu Adamoo nimesafiri naye,Nimelala naye Chumba Kimoja na Tukatoka kuja wote kwa Dada yangu. na Koti ndiyo alikuwa ametoka Kulinunua
Kibatala: Kwa Ufahamu wako ile Bastola imetoka kwa nani.?
Shahidi: kwa Jumanne,Ndiye aliyesema ana bastola na watu walikuwa wamejaa Sana
Kibatala: kwa Ulivyoshuhudia Ule siyo Ukamataji ni Ugomvi
Shahidi: siyo Ukamataji ni Ugomvi
kibatala: Shahidi umsema Jumanne alimuweka Adamoo Madawa,ulijuaje kuwa yale ni Madawa
Shahidi: kwa sababuJumanne ndiye aliye tamka kama alivyo tanka anapistol ndiyo alitamka Anamadawa
Kibatala: kwanininunaamini Adamoo hakuwa na Madawa ya Kulevya
Shahidi: kwa sababu Adamoo nilikuwa naye kwa kila hatua na alikuwa Mgeni kule Moshi, Ndiyo maana nilimpeleka kwenda Kumtembelea Dada Yangu
Kibatala: Unasemaje Madai ya Mahita kuwa walipowakamata walianza Kuwachukua Muwatembeze Maeneo Mbali kamaViongoza Njia katika Kumtafuta Lijenje
Shahidi: Ni Uongo
Kibatala: husianisha Sasa Swala la Ugeni wa Adamoo na jambo la Mahita kwamba aliwatumia kama Viongoza Njia
Shahidi: ni Uongo kwa sababu Adamoo alikuwa Mgeni afahamu eneo Lolote
Wakili wa Serikali: OBJECTION Shahidi anaulizwa Maswali yanayompeleka Kutoa Opinioni zake, Jambo hili ni Kinyume na Sheria ya Ushahidi
Jaji: unaweza Kusoma hicho Kifungu
Wakili wa Serikali ,anasoma.................
Jaji: Kulingana na Ulichokisoma umaanisha nini kwa neno Persive
Jaji: Kibatala Kama kweli angerejea sheria angetumia Kifungu cha 62 (c) kwa Maoni yangu Shahidi anaulizwa Perception yake yeye,Very strait
Jaji: wakili wa Serikali Sisi tunaendelea Kusisitiza Hilo swali lisiruhusiwe, Kwenye Ushahidi tunaona ni Jambo ambalo si sawa
Jaji, nimewasikiliza pande zote Mbili mimi naona Kuwa Kifungu cha 62 (c) kinaruhusu Shahidi Kutoa Mtazamonwake Kuhusu Jambo analoyolea Ushahidi
kibatala: haya elezea Sasa Unahusinisha Vipi Ugenibwa Adamoo na Maelezo ya Mahita ya kuwatumia kama Viongoza njia
Shahidi: Ni Uongo Adamoo alikuwa Mageni Moshi tulifika Sikubya kwanza, Siku ya Pili,siku ya tatu tunakamatwa
Kibatala: Kingai anasema aliwachukua wadada wawili Mpaka Central Kwenda Kutoa Maelezo je ulishihudia.?
Shahidi: Sikushuhudia
Kibatala:Je Wallet yako na Simu yako Ulisikia Afande Kingai au Mahita kuwa Vifaa Hivyo viliingizwa Kwenye Register Moshi.?
Shahidi:Sikusikia
Kibatala: Mashahidi hao wawili pia walizungumzia Hati ya Uchukuaji wa Vielelezo CERTIFICATE OF SEIZURE je ulisikia
Jaji: Kiswahili Chake Kikosawa
Jaji: tafiri iwe Hati ya Kuhodhi Mali
Kibatala: Ulisikia Kuwa Pistol,Madawa ya Kulevya na Vitu vyako ulisikia kama Viliingizwa kwenye Hati ya Kuhodhi Mali
Shahidi: Sikusikia
Kibatala: Bila shaka Kile kitabu cha Komito Unacho,Je umewahi Kuona Mle Kuna Sehemu yoyote Imeandikwa kuhusu Madawa ya Kulevya
Shahidi: Hapana Hakuna na sijaona
Kibatala: Moaka Leo unatoa Ushahidi hapa Mahakamani uliwahi kusikia au Kuona Adamoo alipatatikana na Madawa ya Kulevya.?
Shahidi: Sijawa Kusikia wala Kuona
Kibatala: Uliwahi Kushuhudia Kuwa Adamoo wamemchukua Sampuli ya mwili wake kwa ajili ya Kwenda Kupima utumiaji wa Madawa ya Kulevya
Shahidi: sijawahi kuona
Kibatala: Uliwahi Kushudia Adamoo akipewa hati ya kumiliki Mali
Shahidi: sikuwahi Kushahidi
Kibatala: uliwahi Kupewa hati ya Kumiliki Mali
Shahidi: Hapana sijawahi
Kibatala: Uliwahi Kushudua Adamoo akipewa nafasi wa Kushuhudia wakatibakitoa Maelezo pale Moshi
Shahidi: Hapana sijawahi
Kibatala:Uliwahi wewe Kupewa nafasi ya Kumyita Shahidi wa Kushudia wakati Ukitoa Maelezo
Shahidi: Hapana
Kibatala: Unauhakika gani Kuwa Adamoo alifanyiwa Mateso akiwa Moshi Polisi Central Station
Shahidi: niliwahi Kumuona Adamoo akiwa anaburutwa,na Baadae wakawahi Kunipiga Kitambaa,lakini nilishawahi Kuona
Kibatala: hayo yanaweza Kuwa ni Matokeo ya Adamoo Kuteswa ,Je ulishuhudia Vipi kuwa Adamoo anateswa
Shahidi: Nilislia Kilio cha Adamoo kwa Sababu Sauti ya Adamoo naijua nilikuwa mwalimu wake katika kozi za Ukomandoo,Nilikuwa namuita Sauti ya Zege tangubakiwa Mwanafunzi wangu 92 KJ
Kibatala: kumbe wewe ni Mwalimu wa Adamoo.?
Shahidi: Ndiyo Mwalimu Mzuri sana
Kibatala: Ukiwa kama Mwalimubwa Adamoo ulishawahi Kusikia anatumia Madawa ya Kulevya
Shahidi: Hapana
Kibatala: ungesikia Adamoo anatumia Madawa Ya Kulevya wakati Mkiwa Jeshini Utaratibu unakuwaje
Shahidi: hayo ni Mambo yakushughulikiwa na Millitary Police
Kibatal:a Mwambie Mheshimiwa Jaji jambo Lingine unalothibitsha kuwa yale Mateso yalikuwa ni ya Adamoo
Shahidi: kwa sababu hata tulipokuwa Cello tuliongea akaniambia ,poa tuh ila mikazo tuh,Nikamwambia na Mimi hivyohivyo,Ila navumilia
Jaji: Unaposema Poa ila Nikazo maana yake nini.?
Shahidi: Kwamba tumeumia ila tunajitahdi Kuvumilia
Kibatala: nakutoa Moshi nataka kwenda Kwenye kusafiri nilisikia unasema wewe ulisafiri na Adamoo kwenye gari Moja
Jaji: ni kweli ulisema wewe na Adamoo mlisafiri kwa gari Moja.?
Shahidi: hapana sifahamu nilihisi tuh kwa sababu sikuona
kibatala: Sasakwa Ufahamu wako wa Kawaida Ulisafiri naye au hukusafiri naye
Shahidi: kama nilivyosema sikuona akipanda ila niliskia Nyuma Buti limefungukiwa anakapndishwa Mtu,Kwa fahamu zangu naweza Kusema tulisafiri naye
Kibatala: katika hisia za Kusafiri naye hapohapo ni kweli Kwamba Gari ilisimama.Sehemu mkala
Shahidi:Hapana ni Uongo
Kibatala: kwamba Gari mkiharibika Mkasimama na Kubadili gari nikweli Usingefahamu..?
Shahidi: Nisingefahamu Japo kuwa nilikuwa nimefungwa Kitambaa,Kakini gari ikisimama nafahamu
Kibatala: Kumbukumbu yako Wakati Shahidi anawapokea Pale Central alisema aliwapokea Kwenye gari Moja.?
Shahidi: kwa Kumbukumbu zangu alisema tulifika pamoja
Shahidi: Kwa Mkupuo mmoja
Kibatala: je kwa mkupo Mmoja au Tofauti Tofauti.?
Kwa Ufahamu wako Nani alikuwa anawapa wenzie Amri tangu huko Moshi
Shahidi: Kingai
Kibatala: Umefanya kazi Jeshini,Mwambie Mheshimiwa JajibKwenye Msafara pakiwa na Senior Officer na Junior Officer Inawezekana vipi Junior Officer Kutoa Amri.?
Kibatala: Inaezekana Vipi Shahidi watatu kwa Maneno yake kwamba alikabidhiwa Watuhumiwa na Junior Officer wakati Kingai Alikwepo
Shahidi: haiwezekani
Shahidi: Haiwezekani,Kwa sababu Kingai alitakiwa kutukabidhisha kwa sababu alikwepo
kibatala: Ulisikia akisema alipokea Chochote kile ili akiingize kama Kidhibiti kwa Kujibu wa sheria
Shahidi: Sikumsikia
Shahidi: Hapana sikusikia
Kibatala: Rudi Tazara ACP kingai alikiri Kuwa Mlienda Mbweni ila hamkwenda Tazara,Je unathibitishaje kuwa Mlienda Tazara
Shahidi: Natihibitisha kwa sababu nilimuona Alex na Chuma Chungulu ambao nilikuwa nao Jeshini,Nathibitisha kwamba Ilikuwa Tazara
Kibatala: Ulijisikiaje safaribyote Kutoka Moshi Mpaka Dar es salaam Ukiwa Umefungwa Pingu
Shahidi: Nilijisikia Vibaya
Kibatala: na Ukahisi nini
Shahidi: Mateso
kibatala: kwa Ufahamu wako Umesema ulipokuwa Tazara ulishuhudia nani alikuwa ametoka kuteswa.?
Shahidi: Denis Urio
Kibatala: Kwenye Kitabu Cha Komito ulimuona ni Shahidi wangapi wa Mashtaka
Shahidi: Shahidi wa Tatu
Kibatala: Urio aliwahi Kukutembele Gerezani ujue kuwa Yupo huru.?
Shahidi Hapana
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: na Unamfahamu Vizuri Denis Urio
Shahidi: Ndiyo ni Mwalimu wangu kabisa wakati naingia Jeshini,na mimeishi naye achumba Kimoja Nikowa kwenye Misheni DARFUR SUDAN
kibatala: uliwahi kwenda sudani na Wapi Kwa Misheni za Kikazi
Shahidi: CONGO
kibatala: unathibitisha Vipi Kwamba Mwenzako Adamoo alikwepo Tazara
Kibatala: Nakutoa Tazara nakurudisha Mbweni,Kuna sehemu unasema Kuwa Ulimuona Kuwa Kingai alikuwa ameingia Kuna kachumba Fulani
Shahhid: Baada ya Mahabusu wenzangu Kusema Mwenzako yupo,Niliita Adamoooooo na akaitaika
Jaji: wapi
Kibatala: Mbweni
Shahidi: palikuwa na Vyumba Vitatu,Mimi niliwekwa kwanza kwenye Chumba cha Kwanza, Kingai akaingia kwenye Chumba Kinachofuata
Jaji: Subiri Kidogo
Jaji: Subiri Kidogo
Jaji :Ukamuona Kingai naingia
Shahidi: Kingai alipoingia akapitiliza Mlangowa Chumba cha Pili, Mimi nilikuwa Chumba cha kwanza Nipo na Jumanne
Kibatala: Goodluck alikuwa ameshika Kitu chochote
Shahidi: alikuwa ameshika Bastola
Kibatala: Kwa Uelewa wako Batola ilikuwa na maana gani
Shahidi: ilikuwa kunitishia na Kutaka kunifanyia Kitendo chochote,kama alivyosema Kunitupa
Nikiwa palepale nilimuona alikuwa Adamoo akitolewa katika Kile Chumba
Kibatala: alikuwa na hali gani
Shahidi: alikuwa amechoka sana na hajala
Kibatala: Ulijuaje kama hajala
Shahidi: Kama mimi sikuwa nakula nayeye pia alikuwa ajala
Kibatala: Hukula kwa siku ngapi
Shahidi: Sikuwa nimekula kwa Muda wa siku 10 Kuanzia tarehe 09 Mpaka tarehe 08 tarehe 09 Mpaka 19 Mwezi wa Nane,Chakula tulienda Kupewa Mahakamani
Kibatala: Inakuwaje Mtu akae Siku zote hizo bila Chakula
Shahidi: walikuwa wanawahudumia Mahabusu Wengine
Jaji:Mahakamani nani alikupa Chakula Mahakamani
Shahidi: Afande Goodluck alileta Ugali na Dagaa na hapo tulishakuwa wengi tayari
Kibatala: inakuwa Ngumu mimi kuamini Kuwa hukula kwa siku 10te 10
Shahidi: Ndiyo ni kweli sikula Chakula
Kibatala: Je maji
Shahidi: Chumba Changu Cha Mahabusu palikuwa na Bomba la maji ndiyo kilichonisaidia
kibatala: ukisema Chakula unamanisha nini.?
Shahidi: Chakula cha Mahabusu,kama wenzetu maana walikuwa Wanatuambia kuwa hawahusiki na sisi Chakula Chao wanawapa Mahabusu wao tuh
Kibatala: Sasa Ikawaje
Shahidi: Yule Afande sasa tuliyejenga naye Urafiki ndiyo alikuwa ananiletea Biscuit na Soda ua Maji special na Pia nilikuwa namuomba ampe Maagizo Adamoo
kibatala: Sasa tunaenda Sawa
Kibatala: Wakati wote Umefungwa Pingu ,ilikuwa Rahisi au Ugumu kiasi gani wakati wa kujisaidia
Shahidi:. .... .... ....
Kibatala: Asante Mheshimiwa Jaji nilikuwa nazingatia hilo
Jaji: Wakati tunasubiri Majibu ya shahidi,Nashauri tujikite sasa kwenye nini hasa Kilitokea wakati wa akumvhujua Maelezo Mashtakiwa wa Pili,
Kibatala: Wakati wote Mkiwa rumande Mwambie Mheshimiwa Jaji kuwa kama Mlishawahi Kupelekwa Hospotali
Shahidi: Hapana
Kibatala: ni hayo tuh Mheshimiwa Jaji
Jaji:ninatumaini sijakuzuia
Kibatala: Hapana Mheshimiwa Jaji nimemeliza tuh
Jaji Naomba tubreak Kwa Dakika 15 Kwa Afya Zetu
Jaji anatoka Sa 4 na Dakika 54
Tumesharudi Mahakamani watu wote
Jaji ameshaingia
Kesi inatwajwa tena
Wakili wa Serikali: Tupo tayari Kuendelea
Jaji: Utetezi Mpo tayari.?
Kibatala: Tupo tayari
Wakili wa Serikali: Chavula anaendelea
Jaji: Shahidi nakukumbusha Kuwa bado Upo Chini ya Kiapo
Wakili wa Serikali: Wewe ni Mohammed Abdilah Ling'wenya
Shahidi: Ndiyo
Wakili wa Serikali: wewe ni Komandoo
Shahidi: Ndiyo
Jaji: Umeacha Kuwa Komandoo
Mahakama Kicheko
Wakili wa Serikali: Ujeshi Ukomandoo haufutiki
Shahidi: Ndiyo ni sahihi
Wakili wa Serikali: Ukomandoo na Uanajeshi si unamsahrti yake.? yapi ya Kufanya na yapi siyo ya Kufanya
Shahidi: Rudia swali
Wakili wa Serikali: Ukomandoo na Uanajeshi si unamasharti yake.? Yapi ya Kufanya na yapi siyo ya Kufanya
Miiko inakufunga bado
Shahidi: Wakati nipo Kwenye Himaya ya Jeshi
Wakili wa Serikali: Kuna Miiko ya Kijeshi ya hutakiwi Kuongea
Shahidi: kama Yapi
Wakili wa Serikali: Wewe ndiyo utuambie
Shahidi: Wewe ndiyo umeyaleta Ndiyo Utuambie sasa
Wakili wa Serikali: Kwa hiyo kule Jeshimi si Kuna Miiko hata Ukimatila Jeshini utakiwi kuyaeleza
Shahidi: Siyo sahihi
Wakili wa Serikali: Ulipokuwa Jeshini kozi ya Komandoo ulikula Kiapo
Shahidi: Kiapo gani
Wakili wa Serikali: si Ulikula Kiapo,je nikiapo gani
Shahidi: Nitalitumiakia Jeshi Mpaka Kufa
Wakili wa Serikali: Ulikuwa unatumikia Jeshi Kwa Mambo gani
Wakili wa Serikali: Kingime lipi ulikuwa unafanya Jeshini
Shahidi: Kulinda Nchi,Kulinda ,Silaha,Vifaa na Amani ya Ndani na Nje ya Nchi
Shahidi: Force Keeping Congo
Jaji:Focrce Keeping Maana yake nini
Shahidi: tulikuwa tunaforce amani Congo
Jaji: unaw3leza Kutofautisha Peace Keeping na Peace Keeping
Shahidi: Moja Sudani Hatutakiwi Kupigana na Waasi Mpaka watuonyeshee silaha /Mtutu lakini Congo tulikuwa tunatoka tunaenda sehemu kama Tunguu kwa Maelezo kuwa yoyote tutakaye mkuta Tunapigana au Kumuua
Wakili wa Serikali: ni sahihi nikisema Kuwa yna Degree Sita za martial Arts
Wakili wa Serikali: kwa hiyo wewe Mwalimu gani ujui Martial Arsts,Wewe Unafundisha nini
Shahidi: Siyo sahihi
Shahidi Nafundisha kuruka na parashuti,Kupigana Juu ya Maji kwa kutumia silaha na Combats
Wakili wa Serikali kwa hiyo wewe unafahamu kupigana Karates
Shahidi nafahamu
Jaji: Naona Hamuelewani Wakili uliza kwa Yale Mambo ya kawaida hayo ni Mambo ya Kijeshi
Wakili wa Serikali: Nilifikiri ni Mwalimu atakiwa anajua Mambo yote
Wakili wa Serikali: Kipindi Cha Muda Gani ulitumia kujifunza Kupigana katares Mpaka ukaweza
Jaji: Ndiyo Mwalimubwa amambo ya Jeshi siyo Kiswahili
Shahidi: Miezi Sita ya Kozi,92K
Naomba tubreak Kwa Dakika 15 Kwa Afya Zetu
Jaji: anatoka Sa 4 na Dakika 54
Tumesharudi Mahakamani watu wote
Jaji: ameshaingi
Kesi: inatwajwa tena
Wakili wa Serikali: Tupo tayari Kuendelea
Jaji: Utetezi Mpo tayari.?
Kibatala: Tupo tayari
Wakili wa Serikali: Chavula anaendelea
Jaji: Shahidi nakukumbusha Kuwa bado Upo Chini ya Kiapo
Wakili wa Serikali: Wewe ni Mohammed Abdilah Ling'wenya
Shahidi: Ndiyo
Wakili wa Serikali: wewe ni Komandoo
Shahidi: Ndiyo
Jaji: Umeacha Kuwa Komandoo
Mahakama Kicheko
Wakili wa Serikali: Ujeshi Ukomandoo haufutiki
Shahidi: Ndiyo ni sahihi
Wakili wa Serikali: Ukomandoo na Uanajeshi si unamsahrti yake.? yapi ya Kufanya na yapi siyo ya Kufanya
Shahidi: Rudia swali
Wakili wa Serikali: Ukomandoo na Uanajeshi si unamsahrti yake.? yapi ya Kufanya na yapi siyo ya Kufanya
Miiko inakufunga bado
Shahidi: Wakati nipo Kwenye Himaya ya Jeshi
Wakili wa Serikali: Kuna Miiko ya Kijeshi ya hutakiwi Kuongea
Shahidi: kama Yapi
Wakili wa Serikali: Wewe ndiyo utuambie
Shahidi: Wewe ndiyo umeyaleta Ndiyo Utuambie sasa
Wakili wa Serikali: Kwa hiyo kule Jeshimi si Kuna Miiko hata Ukimatila Jeshini utakiwi kuyaeleza
Shahidi: Siyo sahihi
Wakili wa Serikali: Ulipokuwa Jeshini kozi ya Komandoo ulikula Kiapo
Shahidi: Kiapo gani
Wakili wa Serikali: si Ulikula Kiapo,je nikiapo gani
Shahidi: Nitalitumiakia Jeshi Mpaka Kufa
Wakili wa Serikali: Ulikuwa unatumikia Jeshi Kwa Mambo gani
Wakili wa Serikali: Kingime lipi ulikuwa unafanya Jeshini
Shahidi Kulinda Nchi,Kulinda ,Silaha,Vifaa na Amani ya Ndani na Nje ya Nchi
Shahidi Force Keeping Congo
Jaji: Focrce Keeping Maana yake nini
Shahidi: tulikuwa tunaforce amani Congo
Jaji: unaweleza Kutofautisha Peace Keeping na Peace Keeping
Shahidi: Moja Sudani Hatutakiwi Kupigana na Waasi Mpaka watuonyeshee silaha /Mtutu lakini Congo tulikuwa tunatoka tunaenda sehemu kama Tunguu kwa Maelezo kuwa yoyote tutakaye mkuta Tunapigana au Kumuua
Wakili wa Serikali: ni sahihi nikisema Kuwa yna Degree Sita za martial Arts
Wakili wa Serikali: kwa hiyo wewe Mwalimu gani ujui Martial Arsts,Wewe Unafundisha nini
Shahidi: Siyo sahihi
Shahidi: Nafundisha kuruka na parashuti,Kupigana Juu ya Maji kwa kutumia silaha na Combats
Wakili wa Serikali: kwa hiyo wewe unafahamu kupigana Karates
Shahidi: nafahamu
Jaji: Naona Hamuelewani Wakili uliza kwa Yale Mambo ya kawaida hayo ni Mambo ya Kijeshi
Wakili wa Serikali: Nilifikiri ni Mwalimu atakiwa anajua Mambo yote
Wakili wa Serikali: Kipindi Cha Muda Gani ulitumia kujifunza Kupigana katares Mpaka ukaweza
Jaji: Ndiyo Mwalimubwa amambo ya Jeshi siyo Kiswahili
Shahidi: Miezi Sita ya Kozi,92Kj
Gaidi mama yakoHuyo gaidi anatupotezea muda afungwe haraka miaka 50
Angetolewa haya yote yasingefunuliwa wazi kiasi hiki
Huyu kaka ana jiamini mno pongezi kwakeKomando ana mnyanyasa sana wakili wa Sirikali.View attachment 1956010View attachment 1956012
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye mwenyewe chifu Hangaya alisema yeye na Jiwe ni kitu kimoja kwahiyo hawezi kujiondoa ktk uovu huo.Haya yote yamesababishwa na lile zee lenu lililoonyeshwa njia na mdudu wa 19.
Mama wa watu anaonekana mbaya sababu ya dhambi ya lile jinga
You are a day dreamer. It is not that easy as you wish.Huyo gaidi anatupotezea muda afungwe haraka miaka 50