Siyo siri kuwa watanzania walio wengi tumekwisha kuonjeshwa shubiri na polisi hata pasipokuwa na uhalali wowote.
Hivi viongozi wa akina Kingai au Mahita tokea juu hadi chini kwa hali hizi:
wangali maofisini wakimtumikia nani?
Watuhumiwa hawakupewa chakula kwa siku 10?!
Hivi, yuko wapi Mosses Lijenje?
Yuko wapi Dennis Urio?
Siyo sababu kama hizi kweli zinazopelekea watu kama huyu kuchukua sheria mikononi?
Kamanda Sirro utajificha wapi na aibu hii?
Pongezi za dhati ziwafikie makomandoo wa 92KJ. Kwa hakika ni wazalendo kweri kweri.
Ndiyo maana hawakuona ubaya wa kutoa ulinzi kwa mwenyekiti Mbowe.