Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi - Sept 17, 2021

Mahakama zetu zinafuata sheria na utawala bora,,ndo maana walioiba ezcrowa hakuna hata mmoja alifungwa ila Dr wa Mbozi aliyeiba dawa za thamani ya laki 5 alifungwa miaka 80..Hongera Mheshimiwa Rais kwa kusimamia haki
 
Man mbona unaonekana kama una matatizo ya afya ya akili? Chukua hatua mkuu usidharau jaribu kwenda hospitali uonane na psychologist
Wenye akili hawana muda wa kwenda mahakamani kutwa kucha halafu wanarudi kula kwa baba na mama
 
Bado au kesi imehairishwa,mashahidi wapo kweli?
 
Duuh, hebu fikiri kwa sauti kubwa kidogo, kwamba;

1. Mawakili upande wa mashitaka waliomba kesi ianze mapema saa 4abh, Jaji/mahakama na mawakili wa utetezi wakasema, SAWA NA IWE HIVYO...

2. Leo ni siku ya kesi. Watuhumiwa wameletwa tangu saa 3abh...

3. Jaji Mustapha Siyani na mawakili wa upande wa mashitaka [yaani watengeneza kesi] mpaka karibu saa 6 mchana sasa hawajaingia mahakamani...!!

MASWALI;

å Unadhani katika mazingira kama haya mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kufikiri na kuja na conclusion gani eti...?

å Je, haudhani kuwa hii ni dalili ya mwisho za kushindwa kwa project hii ya Kingai na Simon Sirro IGP...?

NOTE: Ukiona taulo limetupwa ulingoni, usishangae..

Maana nasema hivi..

SHETANI/IBILISI HAJAWAHI NA HATAKUJA KUMSHINDA MUNGU YEHOVA..!!
 
Saa nne sahz saa saba kasoro vip huko[emoji23][emoji23]
 
Man mbona unaonekana kama una matatizo ya afya ya akili? Chukua hatua mkuu usidharau jaribu kwenda hospitali uonane na psychologist

Kaka dawa ndio zinafanya kazi mkuu
Tuvumilie[emoji28][emoji28]
Doctor alisema kwenye kipindi hiki mgonjwa anaweza asiwe anaelewa kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usichukulie poa. Ni mbinu ya kuwachosha wasikilizaji ili wakate tamaa kufatilia kesi hii. Ni mbinu ya kurejesha giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…