Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Matata: naomba Exhibit P2

Matata: Shika Maelezo Yako

Matata: Wakati Unaulizwa na Wakili ulisema aliyekuwa anashuhudia ni wewe na Esther Sasa iambie Mahakama Katika Maelezo yako ni wapi Esther ametajwa

Shahidi: Hajaandikwa
tatizo lingine..
 
Ow
Weka picha
 
Hivi kwanza MTALO ni kabila gani au ni ile gang maarufu inayosingiziwa kila baya siku hizi?
 
Katika majina yote niliyosikia tangu kuanza kwa kesi hii, jina MTALO ndiyo geni kabisa kwangu sijawahi kulisikia popote. Ndio maana nimejaribu hata kwenye google kutafuta kama kuna wengine na wako wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…