Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Kumbe Askari waliacha Watu wengine ambao ni ndugu Wa Mtuhumiwa wakaenda kuchukua Shahidi wanao mtaka yeye. Maana Kibatala ni FUNDI anaujua huo Mtaa kuliko Shahidi [emoji28].

Huyu Kibatala, Mallya na Motesbya Serikali ingewaajiri Hawa Ni Vichwa Haswa. Shahidi wa leo kumbe ni Mgonjwa Wa Macho, Anashida Ya Brain hasa kwenye Kumbukumbu, Hajui Chata ni nini na Chapa Ni nini ila Anajua Magazine inapokaa.
 
Serikali Ina Mashahidi Wangapi? Nafikiri na ni sahihi kwamba Baada ya Kingai, Yule msaidizi wa Sabaya na Yule wa Kukagua Silaha hakuna Shahidi mwingine wa maana atakaye tokea kwenye hii kesi. Naona Sasa Mashahidi wanaokotwa, Muuza Mbege, Kesho sijui shahidi gani ataletwa.
 
Hivi shahidi akitoka mkoani makubaliano huwa yapoje kwa upande wa Serikali? Analala wapi? Anatumia usafiri gani? Anakaa kwa muda Gani? Analindwa na nani? Wakati wa kurudi je? Mtaani kwao huwa inakuaje?
 
Shahidi wa leo sijamsoma kabisa au amekunywa mbege
 
Huwa mnakenua meno hivi hivi alafu mkipigwa na vitu vizito mnaanza kulia!

Yani mnafurahia hizo porojo za kina kibatala wenzenu kuna vitu wanangalia zaidi ya hizo porojo
 
Serikali inapenda kuajiri vilaza ili iwatumie kama alivyotumika yule jaji aliyehongwa cheo majuzi tu hapa.
 
Jaji tenda haki, hii ksi haina mashiko ni ya kubumba. Tenda haki
 
Hivi shahidi akitoka mkoani makubaliano huwa yapoje kwa upande wa Serikali? Analala wapi? Anatumia usafiri gani? Anakaa kwa muda Gani? Analindwa na nani? Wakati wa kurudi je? Mtaani kwao huwa inakuaje?
Shahidi akitoa mkoani Serikali inahusika na gharama zake za msingi zote na hata ukitoka ughaibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…