Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

"Chuchumaa chini , Nyoosha Mikono Juu"
"Chuchumaa juu, Nyoosha Mikono Chini"
 
Hii kesi hata Pierre Liquid anaimaliza chap chap
 
ANITA VALERIAN MTALO. Jina la shahidi kwa usahihi.
Mtu fulani wa Rau Madukani kanitumia inbox.
Hebu akupatue wasifu wa huyo mama hapo Rau, biashara zake na maisha yake Kwa ujumla. Anaishi hapo hapo Rau polisi walienda kumwazima kwingine.
 
Gaidi ni yule aliyagiza kutungwa kwa kesi hii ya uongo na uzuri Mungu kamuwajibisha mapema kabla kesi haijaanza sasa hivi anabanikwa tu kama mshikaki huko kuzimu.
Nani kakwambia mtu akifa anakwenda kuzimu kuadhibiwa. Adhabu ni hapa hapa dunia bro, roho za akina wangwe ndiyo zinalipiwa hapa hapa. R.I.P
 

Hapo kwenye 'chukua yote' mimi nimewaza hovyo sana, sijui nikoje mimi..![emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…