Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Maelezo ya komando hayapo hivyo, acha kujitungia mambo, tahira mkubwa! Mtu aliwapa Hadi hela ya nguo unasemaje hajawaajiri? Walimpeleka nyumbani kwake kama nani kwao? Hakuwa smart kwenye kuwarecruit hao watu, na hilo linaweza kumrudia..
 
Nchi inatiwa aibu kibwege sana !
 
Kwenye hii kesi mama samia naye ni shahidi upande wa utetezi
Yaani Samia apoteze muda wake kuja kuhojiwa na wakili kilaza kama Kibatala? Samia huyu huyu mnayempigia magoti kila siku kuomba kuonana naye? Unaota...
 
Unafikiri washabiki na wanachama wqa CCm huwa Wana Akili?
Ndio aina ya huyo jamaa unaemuelewesha.
 
Asante
 
Mwamba atapigwa mvua hadi makamanda uchwara wapoteane.
Asipofungwa utatembea uchi mtaani kwako? Inakufaidishaje akifungwa? Siku zote ukimwombea binadamu mwenzako akutwe na jambo baya, Mungu huligeuza lianzie kwako ili uyaonje machungu yake kwanza upate experience! Je, upo tayari madhila hayo yaanzie kwako?
 

Uneona eh? Halafu polisi wanaochunguza jambo wasilojua litafanyika lini hawatoi taarifa kwa kamati za ulinzi za wilaya/mikoa, OCD au RPC wa maeneo husika!! Wanajua mpaka vituo vitakavyolipuliwa lakini wasiwataarifu wamiliki wala kuvifunga! Sababu ni rahisi, walikuwa wanajua jambo hili halipo. La sivyo wangechukua tahadhari! Watu wanamshutumu Kibatala lakini anajaribu kujenga narrative kuwa swala la ugaidi ni la kufikirika zaidi kuliko kupangwa!!

Binafsi ninadhani itakuwa interesting kupata kumsikia Dennis Urio. Yeye hasa ndio shahidi muhimu. Imenishangaza Kingai kusema Adamoo mpaka anakwenda Moshi alikuwa hajui habari za Ugaidi - akiwa huko kabla ya kuonana na Mbowe alikamatwa. Kwanini anashitakiwa kwa jambo ambalo hakuhusika nalo???
 
Mmeanza kutoa hukumu kama kawaida yenu!!!!! na jaji akija na hukumu tofauti na mnavyotaka mnaanza yenu as if nyie ndiyo wataalam wa sheria hapa TZ
 
Hivi, huko ndani ya kichwa chako una uhakika hakujajaa kinyesi? Aliyekuwa anawatafuta feki ni dci ambaye alimtumia wakala aitwaye Urio! Unashindwaje kuliona hilo wewe mjaa kinyesi kichwani? Rudi shule ukafundishwe jinsi ya kuiona logic inayofichwa na Kingai kwani naye ni scape goat TU! Unahemkwa kindezi Sana yaaani na elimu Yako ya kujua kuandika sms TU!
 
Ni vitu gani walivyokutwa navyo ambavyo vilikuwa ni viashiria vya kufanya ugaidi mamiloo?
 
Kuna yale madawa na bastola waliyombakizia mmoja wa hao washtakiwa! Ila katika hali ya kushangaza, kati ya hivyo vitu viwili, hakuna hata kimoja kilichofikishwa mahakamani kama ushahidi!!

Kiukweli kuna mambo yanafurahisha sana!!
Nilisikia walikamatwa na kiberiti lakini nacho walisahau kukileta Kama kielelezo.
 
Lakini utashangaa mahwkama zita watia hatiani. Bila kujali kwamba ina chafua cv zao. Ili mradi wamridhishe alie wahonga vyeo.
 
Tanzania kuna watanzania wanaamini kitu kichwa kichwa bila kutumia akili zao wenyewe (Akili za kuambiwa, changanya na zako)

Sikushangaa sana wakati wa mwenda zake pale unaposikia mbunge anamshtaki mkurugenzi watu wanashangilia. Ikitokea mkurugenzi katetewa na mwenda zake, utasikia shangwe zile zile za walioshangilia wakati anashtakiwa.

Hapa niligundua wengi ni fuata upepo tu. Leo Mh. Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi. Watanzania hawa ambao wanaamini kila kinachozungumzwa na viongozi ni vya kweli, wanashabikia kuwa Mbowe afungwe kwa ugaidi.

Hata Sabaya ikitokea mama kaenda chugastani pale kisongo akamnadi kua atolewe ni kijana mwema watanzania watashangilia na mitandaoni utakuta wanamsifia Sabaya kwamba ni mwema na alionewa.

Hivyo sishangai wajinga wanaoamini kwamba Mbowe ni gaidi kwa sababu najua upuuzi wa kuamini kila kibachozungumzwa na wa serikalini ni sahihi.

Enyi Watanzania. Ni nani aliyewaloga?
 
Dont panick, mchezo hautaki hasira huu! Kesi bado mbichi sana, kuna ushahidi wa mawasiliano na transactions huko mbele...Tuendelee kufuatilia!
Wewe andazi uwe unasikiliza ama kusoma ndani ya mistari ili uione dhima! Aliyetoa fedha ni Urio na siyo Mbowe! Rejea maelezo na maandiko ya Kingai! Hakuna mahali amemtaja Mbowe kutoa fedha na Kwa taarifa Yako hizo fedha zote zimetoka ofisi ya umma ili kuinogesha picha Yao iliyochezwa chini ya kiwango! Dci ndio mshitaki na siyo polisi! Mmejiaibisha Sana ninyi mataga!
 
Hahahaha, unapaniki? Mlikuja na porojo za PGO, mkatandikwa! Leo mmevuliwa nguo hadharani, Bado mnaendeleza porojo, baada ya siku 20 za kesi kupita nitakucheki tena kukukumbusha hizi pumba ulizoandika hapa, nyang'au wee...Mnatafuta kiki za kipuuzi mahakamani na vimaswali vyenu uchwara...Hao mawakili wenu vilaza watamlambisha miaka huyo bwana wako..
 
... Ile trial within a trial kimsingi haikuwa na ulazima sana zaidi ya kuendelea kuwaweka Mbowe na makomandoo mahabusu unnecessarily! Japo imetufumbua macho wengi, kwa ushahidi aliotoa RPC Kingai leo, kesi ndogo haikuwa na umuhimu.
utetezi walifungua pingamizi dhidi ya huo ushahidi,

kua ulichukuliwa katika mazingira yasio sahihi (kua alie yasema aliteswa nakulazimishwa asaini vitu ambavyo yeye hakusema).

baada ya mahakama kuyatupilia mbali mapingamizi yoye mawili,

ndio leo hii ushahidi huo umetumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…