lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Jiwe alikata moto bana.Nimeahidi staff wenzangu kuku kwa ubwabwa ikiwa Mbowe atapigwa kifungo chochote!!! Ee mollah fanya Jambo hili litimie kwa huyu gaidi.
Lisu yupo ughaibuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe alikata moto bana.Nimeahidi staff wenzangu kuku kwa ubwabwa ikiwa Mbowe atapigwa kifungo chochote!!! Ee mollah fanya Jambo hili litimie kwa huyu gaidi.
Maelezo ya komando hayapo hivyo, acha kujitungia mambo, tahira mkubwa! Mtu aliwapa Hadi hela ya nguo unasemaje hajawaajiri? Walimpeleka nyumbani kwake kama nani kwao? Hakuwa smart kwenye kuwarecruit hao watu, na hilo linaweza kumrudia..You are a fool!! Unadhani Mbowe alikuwa tayari amemuajiri? Kumbuka hili - Mbowe hakuwafahamu watu hawa. Aliomba kuletewa watu ili afanye usahili na hilo halikutimia.
Idadi kubwa ya watu wasiokuwa na analytical capabilities ndio shida kubwa ya nchi hii. Huenda Mbowe hana uwezo wa kuongoza nchi lakini kwa hakika wewe ni wale wapiga kura wa hovyo ambao hudanganywa maji maji na miaka 30 inapita hawajaona hata tone!!
Nchi inatiwa aibu kibwege sana !Heshima kwa wote.
Nafuatilia hii kesi ya Mbowe na wenzake watatu najikuta nacheka na kusikitika kwa wakati mmoja.
Mosi Magaidi wanampango wa kwenda kulipua vituo vya mafuta na kukata Miti hawana Mabomu wala mapanga au Cheingso.
Pili katika hati ya mashtaka hakuna ushahidi kwamba walikuwa na mkutano au kulikuwa na ushahidi wa kilichopangwa na kupangika.
Tatu kulikuwa na mpango wa kumdhuru Sabaya lakini hakuna aina yoyote ya silaha iliyokamatwa kama kielelezo
Aina hii ya kesi ipo Tanganyika pekee yake yaani Polisi anaweza kukamata na kuandaa mashtaka bila ushahidi wenye mashiko na ukakaa mahabusu muda wa kutosha.
Ipo haja Police wetu kurejea upya darasani na kujifunza namna bora ya kuandaa mashtaka,kupeleleza na hatimaye kupelekea kesi Mahakamani,kinyume chake ni kupoteza fedha za walipa kodi buuure.
![]()
Yaani Samia apoteze muda wake kuja kuhojiwa na wakili kilaza kama Kibatala? Samia huyu huyu mnayempigia magoti kila siku kuomba kuonana naye? Unaota...Kwenye hii kesi mama samia naye ni shahidi upande wa utetezi
Unafikiri washabiki na wanachama wqa CCm huwa Wana Akili?Unaelewa maana ya key witness?? Hivi unajua cheo cha huyu shahidi Vs anachoongea mahakamani?? Mfano : Kaulizwa hivi umesema walitaka kukata miti ili kufunga barabara huko Morogoro na Iringa sasa hebu tueleze ulienda huko kuona miti waliyotaka kuikata? Anajibu sikwenda!! [emoji12][emoji12]
AsanteHapana aisee I strongly disagree with you.... Tumejifunza mengi sanaa labda kama wewe siyo observant: uteswaji unaofanywa, tabia ya washtakiwa kuzungushwa vituo ili ndugu wasiwaone haraka (rejea maelezo ya Adamoo kwamba alipewa jina jipya), ukamataji usiozingatia PGO wakati kila siku tunaambiwa tutii sheria bila shuruti.., muda wa mtu kuchukuliwa maelezo etc etc
Asipofungwa utatembea uchi mtaani kwako? Inakufaidishaje akifungwa? Siku zote ukimwombea binadamu mwenzako akutwe na jambo baya, Mungu huligeuza lianzie kwako ili uyaonje machungu yake kwanza upate experience! Je, upo tayari madhila hayo yaanzie kwako?Mwamba atapigwa mvua hadi makamanda uchwara wapoteane.
Nawaza alafu ukubwa wa tukio ulivyo anapanga yeye na makomamdo hao watatu tu ndo wakufanya fujo, ndo wa kumdhuru sabaya, afu ndo wazunguke nchi nzima kuvuruga amani dah! Ugaidi wa tz raha sana maana km mwamba Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga!!! Naona kwa Mbowe naye itawezekana jamani Mungu asimame tu
Hapana Mkuu,nchi haipati aibu yoyote.Nchi inatiwa aibu kibwege sana !
Mmeanza kutoa hukumu kama kawaida yenu!!!!! na jaji akija na hukumu tofauti na mnavyotaka mnaanza yenu as if nyie ndiyo wataalam wa sheria hapa TZHeshima kwa wote.
Nafuatilia hii kesi ya Mbowe na wenzake watatu najikuta nacheka na kusikitika kwa wakati mmoja.
Mosi Magaidi wanampango wa kwenda kulipua vituo vya mafuta na kukata Miti hawana Mabomu wala mapanga au Cheingso.
Pili katika hati ya mashtaka hakuna ushahidi kwamba walikuwa na mkutano au kulikuwa na ushahidi wa kilichopangwa na kupangika.
Tatu kulikuwa na mpango wa kumdhuru Sabaya lakini hakuna aina yoyote ya silaha iliyokamatwa kama kielelezo
Aina hii ya kesi ipo Tanganyika pekee yake yaani Polisi anaweza kukamata na kuandaa mashtaka bila ushahidi wenye mashiko na ukakaa mahabusu muda wa kutosha.
Ipo haja Police wetu kurejea upya darasani na kujifunza namna bora ya kuandaa mashtaka, kupeleleza na hatimaye kupelekea kesi Mahakamani, kinyume chake ni kupoteza fedha za walipa kodi buuure.
![]()
Hivi, huko ndani ya kichwa chako una uhakika hakujajaa kinyesi? Aliyekuwa anawatafuta feki ni dci ambaye alimtumia wakala aitwaye Urio! Unashindwaje kuliona hilo wewe mjaa kinyesi kichwani? Rudi shule ukafundishwe jinsi ya kuiona logic inayofichwa na Kingai kwani naye ni scape goat TU! Unahemkwa kindezi Sana yaaani na elimu Yako ya kujua kuandika sms TU!Na inaonesha jinsi gani Mbowe siyo makini pia, utaajiri vipi insane person awe mlinzi wako wa karibu?? So mkiti wa chama kikuu cha upinzani alikuwa anaokota okota tu vibaka mtaani ili wamlinde bila kuwafanyia vetting yeyote? Mtu mzembe kama huyu ndiyo anataka apewe hii nchi aongoze? Stupid kabisa...
Ni vitu gani walivyokutwa navyo ambavyo vilikuwa ni viashiria vya kufanya ugaidi mamiloo?Mbowe kishakaangwa na watu wake ambao walipokuwa ndani yeye akiwa nje aliwatelekeza kumbe walishaga toa ushahidi mzuri tu juu yake sasa mambo hazarani maovu ya mbowe yanajulikana sasa waliokuwa wanamuona kama malaika hakosei waanze kufumba midomo yao wa kwanza erythrocyte
Nilisikia walikamatwa na kiberiti lakini nacho walisahau kukileta Kama kielelezo.Kuna yale madawa na bastola waliyombakizia mmoja wa hao washtakiwa! Ila katika hali ya kushangaza, kati ya hivyo vitu viwili, hakuna hata kimoja kilichofikishwa mahakamani kama ushahidi!!
Kiukweli kuna mambo yanafurahisha sana!!
Lakini utashangaa mahwkama zita watia hatiani. Bila kujali kwamba ina chafua cv zao. Ili mradi wamridhishe alie wahonga vyeo.Heshima kwa wote.
Nafuatilia hii kesi ya Mbowe na wenzake watatu najikuta nacheka na kusikitika kwa wakati mmoja.
Mosi Magaidi wanampango wa kwenda kulipua vituo vya mafuta na kukata Miti hawana Mabomu wala mapanga au Cheingso.
Pili katika hati ya mashtaka hakuna ushahidi kwamba walikuwa na mkutano au kulikuwa na ushahidi wa kilichopangwa na kupangika.
Tatu kulikuwa na mpango wa kumdhuru Sabaya lakini hakuna aina yoyote ya silaha iliyokamatwa kama kielelezo
Aina hii ya kesi ipo Tanganyika pekee yake yaani Polisi anaweza kukamata na kuandaa mashtaka bila ushahidi wenye mashiko na ukakaa mahabusu muda wa kutosha.
Ipo haja Police wetu kurejea upya darasani na kujifunza namna bora ya kuandaa mashtaka, kupeleleza na hatimaye kupelekea kesi Mahakamani, kinyume chake ni kupoteza fedha za walipa kodi buuure.
![]()
Kwa hiyo Mkapa alikuwa na muda wa kupoteza?Yaani Samia apoteze muda wake kuja kuhojiwa na wakili kilaza kama Kibatala? Samia huyu huyu mnayempigia magoti kila siku kuomba kuonana naye? Unaota...
Wewe andazi uwe unasikiliza ama kusoma ndani ya mistari ili uione dhima! Aliyetoa fedha ni Urio na siyo Mbowe! Rejea maelezo na maandiko ya Kingai! Hakuna mahali amemtaja Mbowe kutoa fedha na Kwa taarifa Yako hizo fedha zote zimetoka ofisi ya umma ili kuinogesha picha Yao iliyochezwa chini ya kiwango! Dci ndio mshitaki na siyo polisi! Mmejiaibisha Sana ninyi mataga!Dont panick, mchezo hautaki hasira huu! Kesi bado mbichi sana, kuna ushahidi wa mawasiliano na transactions huko mbele...Tuendelee kufuatilia!
Hahahaha, unapaniki? Mlikuja na porojo za PGO, mkatandikwa! Leo mmevuliwa nguo hadharani, Bado mnaendeleza porojo, baada ya siku 20 za kesi kupita nitakucheki tena kukukumbusha hizi pumba ulizoandika hapa, nyang'au wee...Mnatafuta kiki za kipuuzi mahakamani na vimaswali vyenu uchwara...Hao mawakili wenu vilaza watamlambisha miaka huyo bwana wako..Hivi, huko ndani ya kichwa chako una uhakika hakujajaa kinyesi? Aliyekuwa anawatafuta feki ni dci ambaye alimtumia wakala aitwaye Urio! Unashindwaje kuliona hilo wewe mjaa kinyesi kichwani? Rudi shule ukafundishwe jinsi ya kuiona logic inayofichwa na Kingai kwani naye ni scape goat TU! Unahemkwa kindezi Sana yaaani na elimu Yako ya kujua kuandika sms TU!
utetezi walifungua pingamizi dhidi ya huo ushahidi,... Ile trial within a trial kimsingi haikuwa na ulazima sana zaidi ya kuendelea kuwaweka Mbowe na makomandoo mahabusu unnecessarily! Japo imetufumbua macho wengi, kwa ushahidi aliotoa RPC Kingai leo, kesi ndogo haikuwa na umuhimu.