Wahi mirembe wakusaidie kabla hali haijawa mbaya! Yaani wewe ni mjinga kuliko ujinga wenyewe!YAANI NDUGU HNAHAJA YA KUPANIC MAELEZO MBONA YANAJIELEZA MBOWE NI MTU HATARI SANA HIVI WEWE HUJIULIZI KWANINI KABLA MBOWE HAJAKAMATWA ALIKUWA HAFUATILII KESI YA HAO JAMAA YAANI ALIKUWA KAWATELEKEZA SASA WAMESEMA UKWELI HATA KAMA NI SHABIKI WA MBOWE KUBALI MATOKEO MBOWE GAIDI UKIBISHA UNAONEKANA HUNA AKILI HATA YA KUVUKIA BARABARA
Samia hana muda mchafu, angekuwa na muda huo angeshaonana na hao watu maana ndiyo walikuwa wa kwanza kumuandikia barua kuonana naye, kaonana na watu wote hao kawapuuzia! BTW Samia siyo MkapaKwa hiyo Mkapa alikuwa na muda wa kupoteza?
Kama naelekea kukuelewa ila bado.utetezi walifungua pingamizi dhidi ya huo ushahidi,
kua ulichukuliwa katika mazingira yasio sahihi (kua alie yasema aliteswa nakulazimishwa asaini vitu ambavyo yeye hakusema).
baada ya mahakama kuyatupilia mbali mapingamizi yoye mawili,
ndio leo hii ushahidi huo umetumika.
Nitakutafuta nikununulie chips kuku na Pepsi bonge! Kama hukusikia kingai anavyopaniki basi wewe ni kiziwi usiyesaidika hata Kwa mashine ya kusikiliza!Hahahaha, unapaniki? Mlikuja na porojo za PGO, mkatandikwa! Leo mmevuliwa nguo hadharani, Bado mnaendeleza porojo, baada ya siku 20 za kesi kupita nitakucheki tena kukukumbusha hizi pumba ulizoandika hapa, nyang'au wee...Mnatafuta kiki za kipuuzi mahakamani na vimaswali vyenu uchwara...Hao mawakili wenu vilaza watamlambisha miaka huyo bwana wako..
Ni kweli,lakini iwavyo vyovyote hata Kama watakosa haki ktk hii mahakama,,wataipata ktka mahakama ya rufaa. Akina kingai wanachoweza fanya ni kuwanyima uhuru Kwa muda. Giza linapokuwa nene,asubuhi imekaribia.Tuweke akiba ya maneno. Hata Ile kesi ndogo Kwa macho ya wengi ilikuwa jaji asipokee kile kilelezo lakini Jaji siyani alikipokea kile kielelezo na akajiyoa kusikiliza kesi. Mbaya zaidi hakukuwa na cha kumfanya.
Kwa hiyo huo ushahidi wa Kingai tuuangalie Kwa jicho la tahadhali sana. Ikumbukwe hawa majaji hawaaminiki tena.
Na kama ni gaidi na raisi akasema sio gaidi pia watashangilia.Tanzania kuna watanzania wanaamini kitu kichwa kichwa bila kutumia akili zao wenyewe (Akili za kuambiwa, changanya na zako)
Sikushangaa sana wakati wa mwenda zake pale unaposikia mbunge anamshtaki mkurugenzi watu wanashangilia. Ikitokea mkurugenzi katetewa na mwenda zake, utasikia shangwe zile zile za walioshangilia wakati anashtakiwa.
Hapa niligundua wengi ni fuata upepo tu. Leo Mh. Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi. Watanzania hawa ambao wanaamini kila kinachozungumzwa na viongozi ni vya kweli, wanashabikia kuwa Mbowe afungwe kwa ugaidi.
Hata Sabaya ikitokea mama kaenda chugastani pale kisongo akamnadi kua atolewe ni kijana mwema watanzania watashangilia na mitandaoni utakuta wanamsifia Sabaya kwamba ni mwema na alionewa.
Hivyo sishangai wajinga wanaoamini kwamba Mbowe ni gaidi kwa sababu najua upuuzi wa kuamini kila kibachozungumzwa na wa serikalini ni sahihi.
Enyi Watanzania. Ni nani aliyewaloga?
Ni kweli,lakini iwavyo vyovyote hata Kama watakosa haki ktk hii mahakama,,wataipata ktka mahakama ya rufaa. Akina kingai wanachoweza fanya ni kuwanyima uhuru Kwa muda. Giza linapokuwa nene,asubuhi imekaribia.
Maana yake ni kwamba Kama jaji angetupilia mbali ushahidi,,Leo hii kesi isingekuwepo. Jaji aliyeondoka alitaka kikombe akinywee MTU mwingine.Kama naelekea kukuelewa ila bado.
Kwahyo nyie mnamuona mbowe msafi sana? Yaan afanye uhuni asikamatwe kisa et ni mbowe!! pumbafuCCM badala ya kufanya siasa za ushindani tumegeukia siasa za UBABE....
Nchi inahitaji uponyaji
una uwezo duni sana !Kwahyo nyie mnamuona mbowe msafi sana? Yaan afanye uhuni asikamatwe kisa et ni mbowe!! pumbafu
Maelezo yanenyooka kabisa , kesi imemuangukia mbowe kabisa alafu mnajipa moyoWapishi wa hii kesi hawajui kupika kesi za kusingizia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]majaji tena siyo magufuli ...mimi nilijua shetani wenu ni magufuli sasa hayupo mnaanza kulia majaji niliwaambia waliofurahia kifo cha mzarendo jpm kuwa "halizao za mwisho zitakuwa mbaya kuliko za mwanzo wakabisha sasa kipusa yupo mjengoni anafanya yakeNimekosa ile "Zeal" ya kuendelea kufuatilia "Proceedings" za "Kesi" hii hasa baada ya kugundua kwamba kumbe Tanzania hatuna kabisa majaji tulionao ni wa kimkakati tu. [emoji14] 😛
Mbona mnahaha sana? Huyu ndiyo kwanza shahidi wa 1 upande wa serikali, kuna wengine 19 wanakuja, subirini!!