Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

YAANI NDUGU HNAHAJA YA KUPANIC MAELEZO MBONA YANAJIELEZA MBOWE NI MTU HATARI SANA HIVI WEWE HUJIULIZI KWANINI KABLA MBOWE HAJAKAMATWA ALIKUWA HAFUATILII KESI YA HAO JAMAA YAANI ALIKUWA KAWATELEKEZA SASA WAMESEMA UKWELI HATA KAMA NI SHABIKI WA MBOWE KUBALI MATOKEO MBOWE GAIDI UKIBISHA UNAONEKANA HUNA AKILI HATA YA KUVUKIA BARABARA
Wahi mirembe wakusaidie kabla hali haijawa mbaya! Yaani wewe ni mjinga kuliko ujinga wenyewe!
 
Kwa hiyo Mkapa alikuwa na muda wa kupoteza?
Samia hana muda mchafu, angekuwa na muda huo angeshaonana na hao watu maana ndiyo walikuwa wa kwanza kumuandikia barua kuonana naye, kaonana na watu wote hao kawapuuzia! BTW Samia siyo Mkapa
 
utetezi walifungua pingamizi dhidi ya huo ushahidi,

kua ulichukuliwa katika mazingira yasio sahihi (kua alie yasema aliteswa nakulazimishwa asaini vitu ambavyo yeye hakusema).

baada ya mahakama kuyatupilia mbali mapingamizi yoye mawili,

ndio leo hii ushahidi huo umetumika.
Kama naelekea kukuelewa ila bado.
 
Hahahaha, unapaniki? Mlikuja na porojo za PGO, mkatandikwa! Leo mmevuliwa nguo hadharani, Bado mnaendeleza porojo, baada ya siku 20 za kesi kupita nitakucheki tena kukukumbusha hizi pumba ulizoandika hapa, nyang'au wee...Mnatafuta kiki za kipuuzi mahakamani na vimaswali vyenu uchwara...Hao mawakili wenu vilaza watamlambisha miaka huyo bwana wako..
Nitakutafuta nikununulie chips kuku na Pepsi bonge! Kama hukusikia kingai anavyopaniki basi wewe ni kiziwi usiyesaidika hata Kwa mashine ya kusikiliza!
 
Tuweke akiba ya maneno. Hata Ile kesi ndogo Kwa macho ya wengi ilikuwa jaji asipokee kile kilelezo lakini Jaji siyani alikipokea kile kielelezo na akajiyoa kusikiliza kesi. Mbaya zaidi hakukuwa na cha kumfanya.

Kwa hiyo huo ushahidi wa Kingai tuuangalie Kwa jicho la tahadhali sana. Ikumbukwe hawa majaji hawaaminiki tena.
Ni kweli,lakini iwavyo vyovyote hata Kama watakosa haki ktk hii mahakama,,wataipata ktka mahakama ya rufaa. Akina kingai wanachoweza fanya ni kuwanyima uhuru Kwa muda. Giza linapokuwa nene,asubuhi imekaribia.
 
Tanzania kuna watanzania wanaamini kitu kichwa kichwa bila kutumia akili zao wenyewe (Akili za kuambiwa, changanya na zako)

Sikushangaa sana wakati wa mwenda zake pale unaposikia mbunge anamshtaki mkurugenzi watu wanashangilia. Ikitokea mkurugenzi katetewa na mwenda zake, utasikia shangwe zile zile za walioshangilia wakati anashtakiwa.

Hapa niligundua wengi ni fuata upepo tu. Leo Mh. Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi. Watanzania hawa ambao wanaamini kila kinachozungumzwa na viongozi ni vya kweli, wanashabikia kuwa Mbowe afungwe kwa ugaidi.

Hata Sabaya ikitokea mama kaenda chugastani pale kisongo akamnadi kua atolewe ni kijana mwema watanzania watashangilia na mitandaoni utakuta wanamsifia Sabaya kwamba ni mwema na alionewa.

Hivyo sishangai wajinga wanaoamini kwamba Mbowe ni gaidi kwa sababu najua upuuzi wa kuamini kila kibachozungumzwa na wa serikalini ni sahihi.

Enyi Watanzania. Ni nani aliyewaloga?
Na kama ni gaidi na raisi akasema sio gaidi pia watashangilia.

Enyi Watanzania. Ni nani aliyewaloga?🤣

Binafsi naona hii kesi kama ya kisiasa lakini mahakama itaamua, hakuna namna.
 
Waipate wap????kamuulize babu seya na wanae ndugu nchi hii mwenye pesa au cheo akikukamia waweza potea hvhv hata kama haki ya kwako
Ni kweli,lakini iwavyo vyovyote hata Kama watakosa haki ktk hii mahakama,,wataipata ktka mahakama ya rufaa. Akina kingai wanachoweza fanya ni kuwanyima uhuru Kwa muda. Giza linapokuwa nene,asubuhi imekaribia.
 
SISI TUNASEMA SISIEMU BILA YA MAGUFULI NI MAFII YA KUKU [emoji90][emoji90]NA MBOWE NI GAIDI TU nashangaa hadi sasa bado amjachinjana mahakamani kwa kuwa ni faida kwetu sisi WAZARENDO WA LEGACY YA MAGUFULI NA NYERERE tunawaona team chadema mnavyo vurugana na team msoga [emoji83][emoji83]
 
Hii kesi ilivokaa inanitia mashaka huwenda ni kweli kabisa mbowe alitaka kufanya mambo hayo ..

Kuna kitu kinanishangaza sana, wafuasi wa chadema wanamuona mbowe kama malaika kwamba hawezi kufanya mambo hayo.. ila kwa jinsi kesi inavoendelea sidhan kama atachomoka
 
CCM badala ya kufanya siasa za ushindani tumegeukia siasa za UBABE....

Nchi inahitaji uponyaji
Kwahyo nyie mnamuona mbowe msafi sana? Yaan afanye uhuni asikamatwe kisa et ni mbowe!! pumbafu
 
Nimekosa ile "Zeal" ya kuendelea kufuatilia "Proceedings" za "Kesi" hii hasa baada ya kugundua kwamba kumbe Tanzania hatuna kabisa majaji tulionao ni wa kimkakati tu. [emoji14] 😛
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]majaji tena siyo magufuli ...mimi nilijua shetani wenu ni magufuli sasa hayupo mnaanza kulia majaji niliwaambia waliofurahia kifo cha mzarendo jpm kuwa "halizao za mwisho zitakuwa mbaya kuliko za mwanzo wakabisha sasa kipusa yupo mjengoni anafanya yake
 
C490E97D-2838-45BA-B9C7-393769B0C1F3.jpeg



Kwa mujibu wa ‘the prevention of terrorism act 2002’ kupanga njama tu za kufanya ugaidi ni kosa la kisheria; sio lazima ukutwe na ushahidi wa vifaa au utende kosa lenyewe. Ipo ivyo kwenye sheria za nchi zote linapokuja swala la ugaidi. Hizi sio sawa na kesi zingine za jinai.

Issue ni kwamba je wana audio clips, text messages or any evidence ya mipango yao.

Kutumia confessions tu za watuhumiwa huku wakifanyiwa mahojiano bila ya mawakili wao, whose to say they were not forced to confess by means of torture; na baadhi ya watuhumiwa wameshasema hilo.

Kesi inakosa moral authority as days go, it lucks sufficient evidence (it doesn’t mean hiyo mipango aikuwepo).
 
Back
Top Bottom