TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
2020 au 2021?MATATA: nikisema Mbowe Mmemkamata Mwanza 21 July 2020 kwa sababu ya kutaka Kufanya Kongamano la Katiba nitakuwa Nimekosea
Huyo ni msambaa , kila kitu kwao kinawezekanaHivi cheo cha mtu ni sehemu ya jina lake kisheria!?
Sidhani kama kingai ameelewa kwanini ameulizwa hilo swali 😀😀😀 Kuna vitu vinachekesha sana.Alikuwa nayo ya Nini mfukoni,mbona ya simu yake haijui kingai bwana!
Makosa madogovya uandishi tu2020 au 2021?
Wanaocomment hivyo kuwa tuweke akiba ya maneno wote ni wanafiki, wasome kwa kituo utawaelewa. Kwa yanayoendelea tuweke akiba ya maneno ili iweje!?Akiba ipi?? Kwamba it's obvious sheria itapindishwa au kuna ushahidi concrete so far?
Hakuna Chadema anayemuona mbowe ni malaika, tunataka muioneshe mahakamaHii kesi ilivokaa inanitia mashaka huwenda ni kweli kabisa mbowe alitaka kufanya mambo hayo ..
Kuna kitu kinanishangaza sana, wafuasi wa chadema wanamuona mbowe kama malaika kwamba hawezi kufanya mambo hayo.. ila kwa jinsi kesi inavoendelea sidhan kama atachomoka
Na kila kitu hapana, sasa kama hapana haya mashtaka yametokea wapi? Kuna watu wanatia hasira nyie!Kwa ushahidi wa kingai amna kesi hapo. Alijitahidi kuremba mashtaka ili ionekane wamemkamata lakini alipofika kwenye maswali kila kitu hajui.
Sikikiza maelezo, hawafanyi hiyo kazi bure. Ni sehemu ya ajira yao mpya ya "Ulinzi binafsi" na hii ikikuwa assignment ya kwanza kuoima uwezo wao😴😴either tuamue kuamini ushahidi ni wauongo au ushahidi niwaukweli.....Je tunajuaje ushahidi ni wauongo au waukweli?..... huyo Urio aliyetajwa naye yupo kwenye kutoa ushahidi?,
Figure za hela zinazotajwa wahusika kupewa mbona hazilingani na kazi tunayoambiwa walipewa?..
Sijaona mahala popote wahusika wanapewa kazi kwa makubaliano fulani, Je wahusika waliahidiwa nini baada ya hiyo kazi ya hatari?...hivi mtu anaweza tu kufanya kazi ya hatari kama hiyo bure?...maswali ni mengi ngoja tuendelee kujiuliza..
Subirini, haraka ya nini? Au mmesahau ishu ya PGO? Mlishangilia mapemaa kabla mechi haijaisha matokeo yake mkagaragazwa, sheria siyo sawa na porojo za JFSasa kama shahidi wa kwanza anayetarajiwa kupigilia msumari katika kesi ushahidi wake ni huo wa kakipande cha karatasi, amekiri kabisa hana Fingerprints, wala DNA, hao mashahidi wengine 18 watakuja na vielelezi gani kama sio kutupotezea muda tu?
Pelekeni kesi haraka mtoe hukumu acheni kutupotezea muda. Mpelelezi mwaka mzima unakuja na kielelezo hiki kama ushahidi? oneni aibu!
Hiyo mamlaka ya Urais nani anaiongoza? Huyo aliyewaalika kwenye hiyo picha baadaye si mlimgeuzia kibao na kumuita dhaifu, hafai, anachekacheka? Mkasema mnataka Rais dikteta!! Hamna jema jamaa, hata mfanyiwe nini!! Sasa mamlaka ya Rais mnayoitaka (Inayoongozwa na Samia) imeshaghairi kukutana nanyi kutokana na utovu wenu wa nidhamu na matusi mnayomtukana kila siku, pambaneni na hali yenu sasa....tunachoomba kukutana nacho ni mamlaka ya Urais tu , lakini Samia ni wa kawaida sana , usijisahau utachekwa , angalia picha hii halafu waulize wanaokulipa kwamba ilikuwaje .
View attachment 1987762
And matokeo yakawaje at the end?Hata kwenye kesi ndogo walipanga mashaidi Kumi maswali yalipowabana wakaleta watatu tu.
Umesahau mambo ya PGO mara hii? Mlishangilia humu mkaja lazwa na viatu! Kifupin Kingai ni shahidi tu, ila leo kascore kuliko wanasheria wenu wote! How come unamuuliza Kingai kuhusu kauli ya Rais?? Kibatala anauliza maswali kwa mihemko ya stories za wanasiasaWanakuja kutoa ushahidi au kuuza sura ili wapewe vyeo? Kingai kajikingai Tena Leo, au hujausoma muhtasari wa ushahidi wake? Hana facts Bali hisia zake ndizo anazoziwakilisha mahakamani! Hatumii vifungu vya Sheria kuthibitisha kosa Bali anatumia uzoevu wa kudhania! Leo kabanwa vibaya na Kibatala Hadi akapanic! Huyu anakwenda kukipoteza cheo chake mapema TU, yangu maskio!
Mahakama itaamua, tufuatilie tu hii kesi, bado mbichi sanaTusubiri nini Sasa?kwa hiyo uko hapa ukiamini kwamba Mbowe ni gaidi au unatamani ionekani ni gaidi?
Waliopaniki ni wale waliosimama wote kwa pamoja, usisahau kwenye kesi ndogo mlisema Kingai kabanwa na Kibatala mpaka akaenda haja, matokeo unayajua!Nitakutafuta nikununulie chips kuku na Pepsi bonge! Kama hukusikia kingai anavyopaniki basi wewe ni kiziwi usiyesaidika hata Kwa mashine ya kusikiliza!
KabisaMbowe ni shetani aisee
Ameuwa watu wengi sanaHuyu makengeza wamfunge miaka ta shetani...mjinga kabisa
Hakuna binadamu mkamilifu.Kwahyo nyie mnamuona mbowe msafi sana? Yaan afanye uhuni asikamatwe kisa et ni mbowe!! pumbafu
CCM tupo vizuri. Achana na huyo poyoyo maana hatuna wasiojielewa chamaniJifunze kwanza kuandika...hopeless person kabisa hovyo tu CCM ndio maana kichwani ni zero Sasa huyu anaeza hata kufrem kesi ya kubumba jinga sana