Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Hii kesi ilivokaa inanitia mashaka huwenda ni kweli kabisa mbowe alitaka kufanya mambo hayo ..

Kuna kitu kinanishangaza sana, wafuasi wa chadema wanamuona mbowe kama malaika kwamba hawezi kufanya mambo hayo.. ila kwa jinsi kesi inavoendelea sidhan kama atachomoka
Hakuna Chadema anayemuona mbowe ni malaika, tunataka muioneshe mahakama
kuwa mbowe ni gaidi kwa ushahidi usiotia shaka sio hii mbeleko ya majaji mnayoitegemea.
 
Kwa ushahidi wa kingai amna kesi hapo. Alijitahidi kuremba mashtaka ili ionekane wamemkamata lakini alipofika kwenye maswali kila kitu hajui.
Na kila kitu hapana, sasa kama hapana haya mashtaka yametokea wapi? Kuna watu wanatia hasira nyie!

Halafu Rais ni nani alimdanganya kuwa watuhumiwa wengine walishashitakiwa? Kwanini hakujipa muda kujiridhisha juu ya kinachoendelea? Kwa sasa anaona kinachoendelea na je kinaendana na maelezo aliyoiambia dunia? Aibu kubwa!
 
Kumbe ndio maana mwamba alikuwa anatamba kuwa ndani ya masaa sabini na mbili atakuwa waziri mkuu? Ha ha ha. Saa hizi anasota Segerea.
 
either tuamue kuamini ushahidi ni wauongo au ushahidi niwaukweli.....Je tunajuaje ushahidi ni wauongo au waukweli?..... huyo Urio aliyetajwa naye yupo kwenye kutoa ushahidi?,

Figure za hela zinazotajwa wahusika kupewa mbona hazilingani na kazi tunayoambiwa walipewa?..

Sijaona mahala popote wahusika wanapewa kazi kwa makubaliano fulani, Je wahusika waliahidiwa nini baada ya hiyo kazi ya hatari?...hivi mtu anaweza tu kufanya kazi ya hatari kama hiyo bure?...maswali ni mengi ngoja tuendelee kujiuliza..
Sikikiza maelezo, hawafanyi hiyo kazi bure. Ni sehemu ya ajira yao mpya ya "Ulinzi binafsi" na hii ikikuwa assignment ya kwanza kuoima uwezo wao😴😴
 
Sasa kama shahidi wa kwanza anayetarajiwa kupigilia msumari katika kesi ushahidi wake ni huo wa kakipande cha karatasi, amekiri kabisa hana Fingerprints, wala DNA, hao mashahidi wengine 18 watakuja na vielelezi gani kama sio kutupotezea muda tu?

Pelekeni kesi haraka mtoe hukumu acheni kutupotezea muda. Mpelelezi mwaka mzima unakuja na kielelezo hiki kama ushahidi? oneni aibu!
Subirini, haraka ya nini? Au mmesahau ishu ya PGO? Mlishangilia mapemaa kabla mechi haijaisha matokeo yake mkagaragazwa, sheria siyo sawa na porojo za JF
 
tunachoomba kukutana nacho ni mamlaka ya Urais tu , lakini Samia ni wa kawaida sana , usijisahau utachekwa , angalia picha hii halafu waulize wanaokulipa kwamba ilikuwaje .

View attachment 1987762
Hiyo mamlaka ya Urais nani anaiongoza? Huyo aliyewaalika kwenye hiyo picha baadaye si mlimgeuzia kibao na kumuita dhaifu, hafai, anachekacheka? Mkasema mnataka Rais dikteta!! Hamna jema jamaa, hata mfanyiwe nini!! Sasa mamlaka ya Rais mnayoitaka (Inayoongozwa na Samia) imeshaghairi kukutana nanyi kutokana na utovu wenu wa nidhamu na matusi mnayomtukana kila siku, pambaneni na hali yenu sasa....
 
Wanakuja kutoa ushahidi au kuuza sura ili wapewe vyeo? Kingai kajikingai Tena Leo, au hujausoma muhtasari wa ushahidi wake? Hana facts Bali hisia zake ndizo anazoziwakilisha mahakamani! Hatumii vifungu vya Sheria kuthibitisha kosa Bali anatumia uzoevu wa kudhania! Leo kabanwa vibaya na Kibatala Hadi akapanic! Huyu anakwenda kukipoteza cheo chake mapema TU, yangu maskio!
Umesahau mambo ya PGO mara hii? Mlishangilia humu mkaja lazwa na viatu! Kifupin Kingai ni shahidi tu, ila leo kascore kuliko wanasheria wenu wote! How come unamuuliza Kingai kuhusu kauli ya Rais?? Kibatala anauliza maswali kwa mihemko ya stories za wanasiasa
 
Nitakutafuta nikununulie chips kuku na Pepsi bonge! Kama hukusikia kingai anavyopaniki basi wewe ni kiziwi usiyesaidika hata Kwa mashine ya kusikiliza!
Waliopaniki ni wale waliosimama wote kwa pamoja, usisahau kwenye kesi ndogo mlisema Kingai kabanwa na Kibatala mpaka akaenda haja, matokeo unayajua!
 
Kwahyo nyie mnamuona mbowe msafi sana? Yaan afanye uhuni asikamatwe kisa et ni mbowe!! pumbafu
Hakuna binadamu mkamilifu.

Lakini hatupaswi kuutumia ubinadamu wetu kukandamiza wengine.

Hebu tuelezee usafi wa Kingai anayeapa kwa Quran kisha anadanganya mahakamani
 
Jifunze kwanza kuandika...hopeless person kabisa hovyo tu CCM ndio maana kichwani ni zero Sasa huyu anaeza hata kufrem kesi ya kubumba jinga sana
CCM tupo vizuri. Achana na huyo poyoyo maana hatuna wasiojielewa chamani
 
Back
Top Bottom