n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Mabeberu yanapenda magaidi.Dunia sambamba na Mwamba. They should rethink
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeberu yanapenda magaidi.Dunia sambamba na Mwamba. They should rethink
Bora Hitler mpango wake ungefanikiwa tu, Africa yote iwe shamba la katani. Ugaidi unafadhiliwa kwa laki 6??? Wakati hiyo haitoshi hata kuwa mahari ya demu aliyekuwa mlezi wa wana kitaa. Kmmae walahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]magaidi watatu walipanga kulipua sheli nchi nzima kwa laki 6. tuuite nini kama sio ushuzi
Ni vitu ambavyo havi make sense kabisa yaan unaona wamejiandaa tu kunyanyasa hakuna mtuhumiwa apo ni basi na CHIEF HANGAYA naye katulia anafikiri dunia hii ni yake, yaan matukio hatarishi kiasi iko yanapangwa na watu wanne nchi nzima afu mkubwa wao wanamwacha huru adi uchunguzi unakamilika baada ya mwaka ndo anakuja kukamatwa, muda woote huo hajafanya tukio hata mojaUneona eh? Halafu polisi wanaochunguza jambo wasilojua litafanyika lini hawatoi taarifa kwa kamati za ulinzi za wilaya/mikoa, OCD au RPC wa maeneo husika!! Wanajua mpaka vituo vitakavyolipuliwa lakini wasiwataarifu wamiliki wala kuvifunga! Sababu ni rahisi, walikuwa wanajua jambo hili halipo. La sivyo wangechukua tahadhari! Watu wanamshutumu Kibatala lakini anajaribu kujenga narrative kuwa swala la ugaidi ni la kufikirika zaidi kuliko kupangwa!!
Binafsi ninadhani itakuwa interesting kupata kumsikia Dennis Urio. Yeye hasa ndio shahidi muhimu. Imenishangaza Kingai kusema Adamoo mpaka anakwenda Moshi alikuwa hajui habari za Ugaidi - akiwa huko kabla ya kuonana na Mbowe alikamatwa. Kwanini anashitakiwa kwa jambo ambalo hakuhusika nalo???
Mkuu 'Mzee Chayai', ilibidi nitafakari kidogo kuhusu uamzi wa Siyayi (hawa watu naona sana hata kuwapa hadhi zao za 'Jaji), pengine nawe ukiangalia kutoka upande huo, itakulazimu uuone mwanga kama nilivyouona mimi.Tuweke akiba ya maneno. Hata Ile kesi ndogo Kwa macho ya wengi ilikuwa jaji asipokee kile kilelezo lakini Jaji siyani alikipokea kile kielelezo na akajiyoa kusikiliza kesi. Mbaya zaidi hakukuwa na cha kumfanya.
Kwa hiyo huo ushahidi wa Kingai tuuangalie Kwa jicho la tahadhali sana. Ikumbukwe hawa majaji hawaaminiki tena.
Good for you.Personally nakujua na yaliyokupata nayajua.Tatizo mnajisahau mnapokuwa mnaandika.Kama hujajifunza kwa pigo Mungu alilokupa linalokuja utakuja kusimulia time will tell.We vipi tena? Gaidi linaelekea kutiwa kwenye mnyororo wa chuma
ndio style yako ya kunichokoza?Good for you.Personally nakujua na yaliyokupata nayajua.Tatizo mnajisahau mnapokuwa mnaandika.Kama hujajifunza kwa pigo Mungu alilokupa linalokuja utakuja kusimulia time will tell.
Narudia tena acha kuchuma laana ,wasimulie wenzako kilicho kupata.
Ndio nilivyosema au?Asipofungwa utatembea uchi mtaani kwako?...
Si kuchokozi nakuambua ukweli .Ruhusu niandike yote .I know you.ndio style yako ya kunichokoza?
Hata kwenye kesi ndogo walipanga mashaidi Kumi maswali yalipowabana wakaleta watatu tu.Mbona mnahaha sana? Huyu ndiyo kwanza shahidi wa 1 upande wa serikali, kuna wengine 19 wanakuja, subirini!!
Andika tu...Si kuchokozi nakuambua ukweli .Ruhusu niandike yote .I know you.