Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Ninauliza tu. Wale walioshinda wakaachwa ni kwamba walishinda kwa rushwa au ni kwamba waliopiga kura hawakuheshimiwa. ninachelea kwamba haya mambo yakiendelea hivi yanaweza yakaleta vurugu lakini CCM ni wajanja sana. Watakutuliza tu kwa njia yeyote ile maana wana nguvu ya pesa na dola. Kama yakiwa hivi ndani ya CCM je uchaguzi mkuu utakuwaje. Ahsante Mungu kwa kuwa watanzania ni watu wapole na
Mungu aendelee kutupigania maana hivi vita si vya kimwili na nyama bali ni vita vya kiroho na wenye kujua hayo waendelee kumlilia Mungu.
 
Huyo kila mwaka anagombea anapigwachini .mbowe anapita saa 4 asubuhi.
Kagombea mwaka gani tena? Acha uongo huyu dogo mfaume alikuwa utumishi ofisi ya Ras geita kabla ya kuhamisiwa Dodoma hivi karibuni, hajawai gombea.
 
CCM majimbo mengi wanayabeba, hakuna kuremba.

Chama makini,

Chama Dola.
 
Kapuya nae kapigwa chini.
 
Tunduma tunaijua sisi silinde hakubaliki ccm wala chadema mpinzani mkubwa wa chadema angekuwa adeni mwakyonde ameanza kutia nia na kujenga chama mda sana
Huyo Aden sasa ndio angeleta joto kwa upinzani sababu anakubalika sana na wanatunduma aswaa masuhala ya kijamii!
 
Tuwekee na wale wa viti maalum tuwaone.
 
Charles tizeba
Amos makalla
Mary mwanjelwa
Serukamba
Adadi rajab
[emoji23][emoji23] wote chali
 

Mkuu tuwekee na majina ya wale wa viti Maalum
 
Charles tizeba
Amos makalla
Mary mwanjelwa
Serukamba
Adadi rajab
[emoji23][emoji23] wote chali
Yule Sengerema aliyewahi kuwa waziri wa nishati? (jina lake limenitoka kabisa). Alilamika Sana kwamba amechezewa rafu na Tabasamu. Kapita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…