Yaliyojiri kilele cha wiki ya mwananchi uwanja wa Mkapa

Huu ni uchawi ukiwa bado kijana, wachawi hawapendi siku zote maendeleo ya wengine, mnatafuta kila namna kuondoa furaha ya wanajangwani lakini Mungu mkubwa hamtafanikiwa maisha.
Huwezi kuanza kuongelea uchawi kama wewe sio mchawi tunaongelea mpira ushakimbilia kwenye tunguri
 
Umasikini wako na uvivu wa wazazi wako waliokuwa wavivu wakati wazee wengne wanasaka hela ndio chanzo cha chuki hizi
 
Umasikini wako na uvivu wa wazazi wako waliokuwa wavivu wakati wazee wengne wanasaka hela ndio chanzo cha chuki hizi
Wewe umelala kwenye kochi la shemeji yako unaishi kwa fadhila za dada yako akitimuliwa na wewe unarudi kwenu chokoraa mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…