Yaliyojiri kilele cha wiki ya mwananchi uwanja wa Mkapa

Hali halisi, kwa nkapa.
Your browser is not able to display this video.
 
Ha ha , karibu NAWATAFUNA. kwenye uzi
Nipo Mwanalumango kwa babu,anapiga manyanga ili mvua kubwa sana inyeshe kuzunguka maeneo ya keko,chang'ombe,sabasaba,Temeke polisi.
Lipige vua moja kubwa sana likatike saa mbili usiku.
 
Sasa kama wako wachache wewe inakuuma nini hata hao Mbumbumbu/Mikia wakiujaza uwanja wewe umeongezewa shibe nyumbani kwako waachie Yanga mambo yao wewe endelea ba kituo chako cha kulelea wazee
 
Tupe update kwasasa watu wameongezeka kwa kiasi gani?
 
Kwa nyomi lilopo uwanjani hadi sasa hivi nahamini kufikia saa kumi na moja uwanja utakua unatapika kuna watu wengi uwanjani pia nje bado kuna mistari ya Watu wengi Sana wanaingia uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…