Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu,hata robo awajafikia.Vipi uwanja umeshajaa?
Depotivo de la UtopoloView attachment 1552983
hawa ndo wanaenda FIFA hawa?
Ha ha , karibu NAWATAFUNA. kwenye uziThubutu,hata robo awajafikia.
Hapa hawaongezeki tenaHali halisi, kwa nkapa.
View attachment 1553015
Nipo Mwanalumango kwa babu,anapiga manyanga ili mvua kubwa sana inyeshe kuzunguka maeneo ya keko,chang'ombe,sabasaba,Temeke polisi.Ha ha , karibu NAWATAFUNA. kwenye uzi
Tupe update kwasasa watu wameongezeka kwa kiasi gani?Kwanza nijitambulishe, mimi ni Simba Sc fun, naipenda Simba Sc to the Climax/Fullest. Leo ni kilele cha wiki ya mwananchi, uwanja wa mkapa, nimefungua uzi maana naona dalili mbaya , nawaonea huruma wana yanga, Leo wanakwenda kuaibika, unajua kwanii ?!
1. Unajua siku zote wanaoujaza uwanja katika mechi za Dar Young Africans ni Simba Sc ndio huwa tunawasaidia kuujaza uwanja, lakini kwa masikitiko Leo tunajambo letu Arusha, hivo hamtapata watu.
2.Washabiki wengi wa vilabu vya Simba Sc na Dar Young Africans ni wanasiasa na wasanii, mfano Mo, Jk, Mwigulu,Diamond, Harmonize, Mboto, JB, Nandy, Piere Liquid. mbaya zaidi kupindi hiki wapo bize na kampeni, hivo hawahamasishi nawala hawatahudhuria.
Karibuni,
Kapicha nimeweka, ilikuwa 1104Hrs.View attachment 1552880
Au kwaya ya mt. Sesilia 😂View attachment 1552967
au kwaya ya Ulyankulu Barabara ya 11
Aliimba nani?Yanga baba lao
Kabisa.Aliimba nani?
Ratiba haifuatwi.View attachment 1552983
hawa ndo wanaenda FIFA hawa?