Yaliyojiri kilele cha wiki ya mwananchi uwanja wa Mkapa

Yaliyojiri kilele cha wiki ya mwananchi uwanja wa Mkapa

Kuweka ladha kipindi cha pili.. mechi ya kiurafiki... nashauri wageni wetu waruhusiwe kuongeza mtu mmoja.. tucheze wote 11 kwa 11 ili tuone ubora wa wachezaji wetu kwa uhakika
Kadi imewaua. Ushauri mzuri.
 
Manara fala sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],ila daah Konde begi lile limekuwa kama shock obsorber la sivyo angeumia.


IMG_1493.jpg
 
Kwanza nijitambulishe, mimi ni Simba Sc fun, naipenda Simba Sc to the Climax/Fullest. Leo ni kilele cha wiki ya mwananchi, uwanja wa mkapa, nimefungua uzi maana naona dalili mbaya , nawaonea huruma wana yanga, Leo wanakwenda kuaibika, unajua kwanii ?!
1. Unajua siku zote wanaoujaza uwanja katika mechi za Dar Young Africans ni Simba Sc ndio huwa tunawasaidia kuujaza uwanja, lakini kwa masikitiko Leo tunajambo letu Arusha, hivo hamtapata watu.
2.Washabiki wengi wa vilabu vya Simba Sc na Dar Young Africans ni wanasiasa na wasanii, mfano Mo, Jk, Mwigulu,Diamond, Harmonize, Mboto, JB, Nandy, Piere Liquid. mbaya zaidi kupindi hiki wapo bize na kampeni, hivo hawahamasishi nawala hawatahudhuria.

Karibuni,
Kapicha nimeweka, ilikuwa 1104Hrs.View attachment 1552880
Aibu yako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uwanja tumeujaza na mechi tunashinda
 
Back
Top Bottom