Kwanza nijitambulishe, mimi ni Simba Sc fun, naipenda Simba Sc to the Climax/Fullest. Leo ni kilele cha wiki ya mwananchi, uwanja wa mkapa, nimefungua uzi maana naona dalili mbaya , nawaonea huruma wana yanga, Leo wanakwenda kuaibika, unajua kwanii ?!
1. Unajua siku zote wanaoujaza uwanja katika mechi za Dar Young Africans ni Simba Sc ndio huwa tunawasaidia kuujaza uwanja, lakini kwa masikitiko Leo tunajambo letu Arusha, hivo hamtapata watu.
2.Washabiki wengi wa vilabu vya Simba Sc na Dar Young Africans ni wanasiasa na wasanii, mfano Mo, Jk, Mwigulu,Diamond, Harmonize, Mboto, JB, Nandy, Piere Liquid. mbaya zaidi kupindi hiki wapo bize na kampeni, hivo hawahamasishi nawala hawatahudhuria.
Karibuni,
Kapicha nimeweka, ilikuwa 1104Hrs.
View attachment 1552880