Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Si jambo la kupuuza hilo...Wenzetu kule wanamaanisha...inabidi litazamwe kwa umakini stahiki hili!

Ni kweli wengi wao wanaona muungano si wa manufaa kwao,nafikiri maoni yao yafanyiwe kazi!
 
Ahahahahaaaah kuna mchangiaji toka Zanzibar anasema according to katiba mdahalo huu ni batili.

Naona inabidi kuwa na ruhusa ya KUBAN watu kwenye midahalo huyo jamaa inabidi atolewe nje nafasi hio apewe mwingine
 
No. Naye usimpuuze. Make Polisi wamewastahi sana walitakiwa kuwavamia na kuwapiga risasi. Katiba iliyopo inauma na kupuliza! Haitoi haki hiyo ya kuwasema watawala kama ilivyo leo, nadhani huo ndio mtazamo wangu kwa mchangiaji huyo.
 
Du jamaa anaongelea mahakama ya Kadhi na Muungano. Eti watu wanakebehi muafaka wa Zanzibar, eti watanganyika wanaona muafaka ni kero.
 
Katavi hadi lini sasa? Kwa muda gani? unataka kusema kilio kilele kile 2015
Mwanafunzi wa Sociologia hapo chuoni. Alisema mchakato unahitaji muda mrefu eti katiba haihitaji kuharakishwa.
 
Katiba inayomfanya mtu mmoja kuwa Mungu mtu haifai----Bw. Rugazia.
Mfano msamaha anaotoa rais kwa wafungwa........du!!
 
Du jamaa anaongelea mahakama ya Kadhi na Muungano. Eti watu wanakebehi muafaka wa Zanzibar, eti watanganyika wanaona muafaka ni kero.
Vpi anataka KADHI iingizwe kwenye katiba?....
Muafaka wa zanzibar ni kituko, maana umekigawa chama cha cuf bara na visiwani!..hahahaaaa
 
Hakuna sehemu yeyote naweza pata mjadala huu kwa kusikia mimi mwenyewe hata baadae?

Hili ni tatizo wanahabari wetu ni wazembe na ni kama picha tu...., Ingebidi mtu hii aiweke kwenye youtube au kwenye CD..
 
Du jamaa anaongelea mahakama ya Kadhi na Muungano. Eti watu wanakebehi muafaka wa Zanzibar, eti watanganyika wanaona muafaka ni kero.
unaona matatizo ya nchii hii ni mengi kuliko tunavyochukulia na kila sehemu inahitaji majibu, sasa nyinyi PONDENI RAHA IKULI TUUU!
 
Katiba inayomfanya mtu mmoja kuwa Mungu mtu haifai----Bw. Rugazia.
Mfano msamaha anaotoa rais kwa wafungwa........du!!
Ni kweli kabisa..
Nakumbuka kuna kipindi fulani iliongelewa kitu inaitwa PAROLE board...Sijui kama hii kitu ili-take off!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…