NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
Hakuna sehemu yeyote naweza pata mjadala huu kwa kusikia mimi mwenyewe hata baadae?
Mkuu ninavyowafahamu ITV na ratiba zao, lazima utarudiwa tu....we fuatilia kwa makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sehemu yeyote naweza pata mjadala huu kwa kusikia mimi mwenyewe hata baadae?
Ahahahahaaaaaah ngoja mjadala uishe tutawasuluhisha!!!Ugomvi mkubwa huu...nadhani hawa wanaishi mtaa mmoja na walinyimana chumvi!
mama kichwa huyo duuuu!amechangia mmoja na mama ananilea nkya ndio anakaribishwa...........
Si jambo la kupuuza hilo...Wenzetu kule wanamaanisha...inabidi litazamwe kwa umakini stahiki hili!
Utapata, usicheze mbali na thread hii...utapata audio, hiyo isikupe shida kabisa!Hakuna sehemu yeyote naweza pata mjadala huu kwa kusikia mimi mwenyewe hata baadae?
Kasema makundi yote yanahitaji kuhusishwa katika mchakato wa kujadili hii ishu ya katiba mpya!!!Endelea kutujuaza anasemaje huyo mama?
Ahahahahaaaah kuna mchangiaji toka Zanzibar anasema according to katiba mdahalo huu ni batili.
Binafsi nampenda sana huyu...ni kichwa kuliko wanaume wengi tu!mama kichwa huyo duuuu!
Point...Point....Point...!Kasema makundi yote yanahitaji kuhusishwa katika mchakato wa kujadili hii ishu ya katiba mpya!!!
Jamaa njaa imemshika...nadhani wamruhusu akale. Nilimuunga mkono kdiogo kwa kukosekana uhalali wa Muungano maana katiba haina uhalali kwa kutotokana na wananchi, ila hili la Mjadala kukosa uhalali, nadhani nja imemshika mpaka uwezo wake wa kufikiri umeshuka
Mwanafunzi wa Sociologia hapo chuoni. Alisema mchakato unahitaji muda mrefu eti katiba haihitaji kuharakishwa.
Hopefully sio Zomba, Jeykei wa Ukweli au MS....
Vpi anataka KADHI iingizwe kwenye katiba?....Du jamaa anaongelea mahakama ya Kadhi na Muungano. Eti watu wanakebehi muafaka wa Zanzibar, eti watanganyika wanaona muafaka ni kero.
Hakuna sehemu yeyote naweza pata mjadala huu kwa kusikia mimi mwenyewe hata baadae?
Sio mimi niliyesema ni mdada mmoja aliyechangia, na ndio maana akazomewa!Katavi hadi lini sasa? Kwa muda gani? unataka kusema kilio kilele kile 2015
unaona matatizo ya nchii hii ni mengi kuliko tunavyochukulia na kila sehemu inahitaji majibu, sasa nyinyi PONDENI RAHA IKULI TUUU!Du jamaa anaongelea mahakama ya Kadhi na Muungano. Eti watu wanakebehi muafaka wa Zanzibar, eti watanganyika wanaona muafaka ni kero.
Ni kweli kabisa..Katiba inayomfanya mtu mmoja kuwa Mungu mtu haifai----Bw. Rugazia.
Mfano msamaha anaotoa rais kwa wafungwa........du!!