He is very right...Watu wengi wanaona ugumu kuhudhuriaa midahalo na makongamano...
Inabidi hii kitu iwe CUSTOMER-TAILORED zaidi...kama inawezekana ishuke kwenye level za kaya, mtaa na such things!..
Si maandamano broda!
Kweli kabisa...Ishu ni hapo sasa...wenye kauli za NGUVU hawapo...walihama nchi...
Walihitajika sana watu wa namna hii, hasa kwa muda wa utulivu kama huo!
Nimependa mstari wake mmoja unaosema "Nimesoma hapa UD, nina uzoefu wankuwalazimisha watu kuelewa" kwa kumaanisha kutumia maandamano!!Mchangiaji mmoja anasema kunahitajika maandamo ya nchi nzima kwa sababu viongozi wetu sio wasikivu!!
Kwani ni special task kwa waandishi wa habari?
Unaonaje uikaweka you tube, labda kama wewe si mtu.
aaah hiyo kawaida naunga mkono hoja maandamano ndo kila kitu.nimependa mstari wake mmoja unaosema "nimesoma hapa ud, ninauzoefu wakuwalazimisha watu kuelewa" kwa kumaanisha kutumia maandamano!!
Wapi TBC1 televisheni ya umma??Tunashukuru ITV kwa uzalendo wenu.
we ni Mwana Habari nini?? kama ndivyo basi wajibika....ofcourse hiyo ni kazi yako..... mimi ningeipata ningeiweka... hivi unajua sifa moja ya mwandishi ni Contacts.... sasa inabidi awe nazo contact za kupata chochote kile...... so ni rahisi kwake hata bila kurecord huu mdahalo kuuchukua kwa mengi na ku-upload kwenye youtube.... just a few phone calls.
Wapi TBC1 televisheni ya umma??
Kweli kabisa njia rahisi hizi tunazotumia hatutapata katiba hivi karibuni.Nimependa mstari wake mmoja unaosema "nimesoma hapa UD, ninauzoefu wakuwalazimisha watu kuelewa" kwa kumaanisha kutumia maandamano!!
we ni Mwana Habari nini?? kama ndivyo basi wajibika....ofcourse hiyo ni kazi yako..... mimi ningeipata ningeiweka... hivi unajua sifa moja ya mwandishi ni Contacts.... sasa inabidi awe nazo contact za kupata chochote kile...... so ni rahisi kwake hata bila kurecord huu mdahalo kuuchukua kwa mengi na ku-upload kwenye youtube.... just a few phone calls.
wewe kama si mwanahabari, unawajibika wapi hadi usubiri kuwatafuniwa ili umeze?
Azaveli LWAITAMA is stil a doctor,
i like him az aktivist,very radical
wewe kama si mwanahabari, unawajibika wapi hadi usubiri kuwatafuniwa ili umeze?
nani kasema yauma muulizeni tido, hii nchi wengi hamuifahamu ilishauzwa kitambo sana.wapi tbc1 televisheni ya umma??
Nimependa mstari wake mmoja unaosema "nimesoma hapa UD, ninauzoefu wakuwalazimisha watu kuelewa" kwa kumaanisha kutumia maandamano!!
Kila mtu anakazi yake kama mimi kazi yangu ni kulima mpunga ili wewe ule.... basi wewe kama mwanahabari inabidi unipatie habari zote bila chenga nikizitaka.... Siku ukikosa mpunga basi njoo unilaumu.