Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Kuna jamaa kanifurahisha sana. Anadai tuepuke njia rahsi na nyepesi kuda katiba. Nchi yoyote ile yenye maendeleo imepita kwenye misuko suko na umwagaji damu. Awali Mabere Marando alisema katiba ilishaanza kuandikwa kwa umwagaji damu Arusha.

Hakuna kubembelezana hapa suala ni katiba mpya yenye kushirikisha wananchi.
 
Sasa si ndio mwanzo huo kesho tunaamia kwenye kaya mlango na Mlango!Baada ya watu kujua nini cha kufanya.
He is very right...Watu wengi wanaona ugumu kuhudhuriaa midahalo na makongamano...
Inabidi hii kitu iwe CUSTOMER-TAILORED zaidi...kama inawezekana ishuke kwenye level za kaya, mtaa na such things!..
Si maandamano broda!
 
Mchangiaji mmoja anasema kunahitajika maandamo ya nchi nzima kwa sababu viongozi wetu sio wasikivu!!
Nimependa mstari wake mmoja unaosema "Nimesoma hapa UD, nina uzoefu wankuwalazimisha watu kuelewa" kwa kumaanisha kutumia maandamano!!
 
Mzee Kaduma katoa challenge kwa vijana kusoma sana ili tuwe na uelewa mkubwa na hiyo itaturahisishia katika uandishi wa katiba mpya!!
 
Kwani ni special task kwa waandishi wa habari?

Unaonaje uikaweka you tube, labda kama wewe si mtu.

we ni Mwana Habari nini?? kama ndivyo basi wajibika....ofcourse hiyo ni kazi yako..... mimi ningeipata ningeiweka... hivi unajua sifa moja ya mwandishi ni Contacts.... sasa inabidi awe nazo contact za kupata chochote kile...... so ni rahisi kwake hata bila kurecord huu mdahalo kuuchukua kwa mengi na ku-upload kwenye youtube.... just a few phone calls.
 
nimependa mstari wake mmoja unaosema "nimesoma hapa ud, ninauzoefu wakuwalazimisha watu kuelewa" kwa kumaanisha kutumia maandamano!!
aaah hiyo kawaida naunga mkono hoja maandamano ndo kila kitu.
 
we ni Mwana Habari nini?? kama ndivyo basi wajibika....ofcourse hiyo ni kazi yako..... mimi ningeipata ningeiweka... hivi unajua sifa moja ya mwandishi ni Contacts.... sasa inabidi awe nazo contact za kupata chochote kile...... so ni rahisi kwake hata bila kurecord huu mdahalo kuuchukua kwa mengi na ku-upload kwenye youtube.... just a few phone calls.

wewe kama si mwanahabari, unawajibika wapi hadi usubiri kuwatafuniwa ili umeze?

Wapi TBC1 televisheni ya umma??

TBC1 wataonyesha comedy original. Bila shaka mtafurahi na kusuuza nyoyo pale masanja atakapokuwa natoa maoni yake jinsi ya kuunda katiba mpya.
 
Nimependa mstari wake mmoja unaosema "nimesoma hapa UD, ninauzoefu wakuwalazimisha watu kuelewa" kwa kumaanisha kutumia maandamano!!
Kweli kabisa njia rahisi hizi tunazotumia hatutapata katiba hivi karibuni.
 
we ni Mwana Habari nini?? kama ndivyo basi wajibika....ofcourse hiyo ni kazi yako..... mimi ningeipata ningeiweka... hivi unajua sifa moja ya mwandishi ni Contacts.... sasa inabidi awe nazo contact za kupata chochote kile...... so ni rahisi kwake hata bila kurecord huu mdahalo kuuchukua kwa mengi na ku-upload kwenye youtube.... just a few phone calls.

wewe kama si mwanahabari, unawajibika wapi hadi usubiri kuwatafuniwa ili umeze?

Siwaelewi!
 
wewe kama si mwanahabari, unawajibika wapi hadi usubiri kuwatafuniwa ili umeze?

Kila mtu anakazi yake kama mimi kazi yangu ni kulima mpunga ili wewe ule.... basi wewe kama mwanahabari inabidi unipatie habari zote bila chenga nikizitaka.... Siku ukikosa mpunga basi njoo unilaumu.
 
Katika mijadala ya katiba mpya tutumie njia ambazo hazitasababisha wananchi kupoteza maisha yao-Shivji...
 
Kila mtu anakazi yake kama mimi kazi yangu ni kulima mpunga ili wewe ule.... basi wewe kama mwanahabari inabidi unipatie habari zote bila chenga nikizitaka.... Siku ukikosa mpunga basi njoo unilaumu.

Sasa kwa nini unapoteza muda badala ya kwenda kusimamia vibarua watifue vizuri mashamba, halafu utafute dawa ya kuua ruba wanatesa sana hasa wakati wa kupanda na palizi.

Kawajibike acha kupoteza muda kusubiri video you tube. Nyie ndio mnaorudisha nyuma kukua kwa uchumi wa nchi hii.
 
Miaka 50 baada ya uhuru kuna watu hawajui kusoma wala kuandika!!!! Swali la kikatiba.
 
Kama kunauwezekano wa kutuwekea huo mjadala nasi tulio nje huku tuweze kuufuatilia itakuwa vizuri
 
Back
Top Bottom