Achana nae alitaka abembelezwe kuleta taarifa akiwa kwenye mdahalo, sasa hakuna aliyembembeleza kanuna ana kisasi.Kila mtu anakazi yake kama mimi kazi yangu ni kulima mpunga ili wewe ule.... basi wewe kama mwanahabari inabidi unipatie habari zote bila chenga nikizitaka.... Siku ukikosa mpunga basi njoo unilaumu.
UDOM nao inabidi wabadilike kwakeli!waige mfano huo!Ninawapongeza wasomi wa Chuo Kikuu cha Dsm kwa mjadala wa leo juu ya Katiba mpya. Wamedhihirisha kuwa wao ni taasisi muhimu kwa mustakabli wa nchi hii. Ninatoa wito kwa taasisi nyingine zinazofanana nayo kufanya hivyo bila woga.
UDOM nao inabidi wabadilike kwakeli!waige mfano huo!
Hivi alipewa kazi ili atikise viberiti..... Tena ingebidi ajiuzulu... kama ni kutikisa viberiti hata mimi naweza....
Ni kweli katika hali ya kawaida ccm wangeizuwia..Jamani wana JF Prof Shivji ameongea kwenye kongamano leo kwamba kupeleka hoja ya katiba mpya bungeni ni hatari kwani CCM watachukua advantage ya uwingi wao bungeni kuikwamisha,does it make sense,kweli bado tuna bunge la watu wa kujali maslahi ya chama,naomba michango kwa hili.
It was great indeed and I believe we're in the right course as a country
chuo cha kiislamu morogoro nacho msikisahau