jamani sitaweza kuangalia konagamano mwanzo mpaka mwisho, lakini nondo zilizomo ni nzuri na nimezipenda. Najua nawakilisha wengi ambao kwa namna moja au nyingine watakosa, ama kukosa vijisehemu.
Dr. Kitila na wahusika wengine, fanyeni uwezekano tupate video na audio za mjadala huu muhimu. Na ikiwa kama huduma kwa taifa hili nashauri copyright idhibiti watu kupunguza au kuongeza chochote bali iruhusiwe ku copy and distribute verbatim.
Please Dr. And the co, tusaidieni tuzipate na hongera kwa kongamano zuri!