VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
bwa ha ha haaaa speed yangu ya konokono, naogopa msije anza kuiquestion speed yangu ya kureport.
Acha hizo Beggars are not Choosers, kuwa mzalendo utuletee habari..... PLEASE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bwa ha ha haaaa speed yangu ya konokono, naogopa msije anza kuiquestion speed yangu ya kureport.
Katika kongamano la Katiba mpya Jenrali amesema kuwa Harakati za Kudai katiba mpya zisilengwe katika kuiondowa CCM madarakani.
Hii imekaavipi na mapambano dhidi ya CCM?
Wakimbizi utawajua tu kwa ulalamishi, ngumu kuwaridhisha.
Duh nani kasema hayo Ulimwengu au Shvji...Wakimbizi utawajua tu kwa ulalamishi, ngumu kuwaridhisha.
sawasawa kabisa...Polisi na ccm hawajui kwamba matendo yao yanawafanya watu wadai katiba kwa haraka kuliko ilivyotarajiwa...well and good!ulimwengu;polisi si mtawala wa wananchi bali ni mtumishi wa wananchi.tuendelee kufanya kampeni ya katiba hii maana hatuna uhakika kuwa katiba hii tunaweza kuipata muda mfupi yaweza kuwa baada ya miaka 5 au zaidi
AMA ndiye kasema.Duh nani kasema hayo Ulimwengu au Shvji...
Ulimwengu haamini kama katiba mpya inawezekana ndani ya miaka 5 ijayo.
Mimi nadhani anamaanisha ili tuwe na katiba iliyo makini na ambayo ina manufaa kwa wananchi mchakato wake unatakiwa uwe wa muda mrefu.Ulimwengu haamini kama katiba mpya inawezekana ndani ya miaka 5 ijayo.
Katiba ya Soth Africa imeandaliwa kwa miaka 100..and is the best in Africa right now!Mimi nadhani anamaanisha ili tuwe na katiba iliyo makini na ambayo ina manufaa kwa wananchi mchakato wake unatakiwa uwe wa muda mrefu.