PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
kivipi mkuu?Tuna mfumo usioeleweka, wa kibunge au wa kirais....................................tujadili ni mfumo upi unatufaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kivipi mkuu?Tuna mfumo usioeleweka, wa kibunge au wa kirais....................................tujadili ni mfumo upi unatufaa.
Wana jamii wenzangu angalieni itv kumekucha mambo ya katiba
Na ndio wanao'remote-control nchi yetu!Ulimwengu... tumekuwa wanaigeria wa kanda hii ya africa.... "matapeli"
Ishu ya rais kuteua wabunge, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa....................na pia wananchi kuchagua wabunge.. Kunakuwa na muingiliano mfano bungeni kunakuwa na wawakilishi wengi wa serikali kuliko wa wananchi!!kivipi mkuu?
Uteuzi wa wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa kwa misingi ipi! Darasa la saba, fomu four, PhD, hadi Makoplo wa jeshi.
Wengine wanateuliwa kwa sababu ni shemeji wa mtu fulani au mchumba wa wakuu.......du jenerali anaua live!!
Watu ni wema ila watawala ndio wabaya-ulimwengu
Kwani mjadala unafanywa kumpendeza mtu au tunahitaji facts.Du...Ma-RC na ma-DC watapenda mjadala huu kweli?...kibarua kinachungulia kaburi!..ha ha haaa!