Huduma za kijamii ni lazima zitolewe ili kiuwajengea wananchi raha (the parsuit of happiness)
Naomba nieleze shughuli ambazo serikali haiwezi kuzishughulikia ila inaweza kuzipa nyenzo. Ni shughuli za jamii za kiraia ili kuondokana na matatizo mengi ya kijamii
Ninapoitazama tanzania pamoja na kujaa kwa hali ya umoja na udugu lakini tunaanza kuwa tofauti kwa sababu ya siasa na mifumo mibovyu ya kutawala. Ila watu hawana tatizo ila viongozi wao ndio wana matatizo.
Tumejenga kjamii ya makundi haya
Makundi ya wababaishaji. tumewajenga sisi pamoja na watwala wetu. Hawa wamefanya hatuamini hata kwa majirani zetu maana mara wtumeuza pamba iliyojza mawe au mafuta yaliyochakachuliwa.
Jamii ya watu waachawi ya kutumia search ingine kutafuta mchawi maarufu yuko wapi ili wawin na wengine wanaenda bungeni
tumekubali wito wa kuwa mjanja, chizika, pandisha mzuka, full kujirusha ambayo yote yametujaza upuuzi wa kibambucha.
Jamii isiyopenda kujifunza. Tumevifanya vitabu vitu visivyofaa kinyume na majirani zetu Kenya na ndio maana tunawaogopa. Bora waje wakenya kuliko kuwa na wajinga wakaharibu nchi hii
Watu wa kutoa majibu mepesi kwa maswali mazito (applause) kwa sababu hatupendi kutumia akili zetu.
WApiga kura wanauza kura zao kwa bakuli la kunde kisha kulalamika viongozi wasipowatendea haki
WATIU WASIOJUA MISINGI YA HAKI, LAKINI MWIZI WANAMCHAGUA KUMPELEKA BUNGE
KIMSINGI NI WATU NA JAMII ILIYOPOTEA
JAMII HII HAIWEZI KUANDIKA KATIBA, MPKA IADRESS MATATIZO HAYA
kama tume ya rais itakuwa na watu kutoka makundi mbalimbali na kwa watu wa aina hii, fanya unachoofanya ila tutakwama maana humo ndani kutakuwa na wezi, wazandiki, wababaishaji na wala rushwa huku kila mtu akiweka mambpo yake mbele
TUFANYE NINI: KUNA KITABU CHA MZEE KADUMA, TURUDI KWNEYE MISINGI KUPAMBANA NA MADUDU HAYA
1. BINADAMU WOTE NI NDUGU ZANGU NA AFRIKA NI MOJA
2. NITATUMIKIA NCHI YANGU NA WATU WAKE WOTE
3. NITAJITOLEA NAFSI YNAGU KUONDOA MARADHI, UJINGA NA RUSHWA
4. RUSHWA NI ADUI NA SITATUMIA WALA KUTOA RUSHWA
4. CHEO NI DHAMANA, SITATUMIA CHEO CHANGU KWA MANUFAA YANGU ILA YA JAMII
katika mchakato mzima wa kujadili katiba, tufike mahali tuwalazimishe watu wa naokuwa viongozi wetu waseme kauli hii na tuwapìme
5. NITAJIELIMISHA KWA KADIRI YA UWEZO WANGU NA KUITUMIA ELIMU YANGU KWA FAIDA YA NCHI. Je wanafunzi mnalielewa hili au wote mnalkmibilia kusoima ACCOUNTANCE
6. NITASEMA KWELI DAIMNA FITNA KWANGU MWIKO
7. NITAKUWA RAISA MWEMA WA TANZANIA, AFRIKA NA DUNIA NZIMA
TUYATAFAKARI HAYA, TUWE NA MUAFAKA WA KITAIFA, TUWE NA MARIDHIANO YA KITAIFA KISDHA TWENDE KWENYE MICHAKATO YA E EL MISINGI YA MAELEWANO NCHI TUNAPOELEKEA MCHAKATO WA KUJENGA TAIFA
MWISHO