Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Katiba hii haina uhalali......................Lipumba.
 
Lipumba-kama nyerere alikuwa na uhalali wa kisiasa na umaarufu na sio katiba je na walimfuatia ni hivyo hivyo?
 
Ilani ya CCM hakuna katiba, hotuba ya rais bungeni hakuna ishu ya katiba.....................yale ambayo tuna wasiwasi nayo ndio ya kuyaondoa, tuwe na mshikamano wa kitaifa!
 
Lipumba-tufanye kazi na watanzania hawahawa wenye mapungufu.
 
Mkinga huyu mzee mtata kapewa dakika tatu!!!
 
Katiba zote zina mapungufu..................huyu mzee anamuua Lowassa, mawaziri wanaonywa na huyu mzee wamshauri rais...
 
Let me be honest to myself...CCM wamefulia mazima...
 
Du huyu mzee Mkinga mtata!!!! Tume ya Nyalali, ya Kisanga zilifanya nini.....eti na nyingine anaunda Kikwete!!!
 
Back
Top Bottom